Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

Tafadhali Magufuli: Matatizo Haya Mengine Mnajitakia Bure

Issue hapa ni hela kutumika bila ridhaa ya Bunge; na hili ndilo CAG alilosema...
 
Issue hapa ni hela kutumika bila ridhaa ya Bunge; na hili ndilo CAG alilosema...

Absolutely; na hilo ni mfano mmoja tu wa mambo yaliyomo ndani ya ripoti ya CAG. Kuna issues nyingi sana ambazo zimerudiwa tena kwenye ripoti hii.. issues ambazo bado hazijapatiwa dawa. Kutumika nje ya mamlaka ya Bunge (bajeti) ni jambo moja wapo. Kuna na uhalifu mkubwa tu..
 
Ushauri - Watumie TV STATIONS ZOTE KWA MASAAA YOTE YA WIKI NZIMA KUKANUSHA HILI , na wawatumie wanachama wao mahiri akiwemo huyu mleta mada , Bali wafahamu kwamba ripoti ya CAG Haiwezi kufutwa na bunduki ama watu wasiojulikana .

Hii sasa ni watu kuwa emotional instead of being rational... hatukomoani.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , nalitazama suala la 1.5T katika mtazamo tofauti na 'kuchelewa kujibu'
Moja ya sifa za Mwl Nyerere ni uwezo kutambua wapi serikali haieleweki.

Sifa hiyo iliambatana na uwezo wa kuieleza jamii tatizo lililopo (address) katika lugha rahisi sana (effective communication)

Zitto kama Raia na kiongozi amehoji. Inawezekana hakuelewa kitu. Kwa kiongozi kama Zitto kutoelewa jambo kuna maana moja, sehemu kubwa ya jamii haikuelewa.

Ndiyo maana akauliza 1.5 imekwenda wapi au ipo wapi!
Kwa hilo ametimiza wajibu kama kiongozi na Raia na alipaswa kujibiwa kwa hoja

Jamii yetu imepoteza uwezo wa kuhoji au kujibu hoja kwa hoja.

Viongozi wanatazama wataelewekaje wakisema abcd kwa wakubwa zao badala ya 'wataelewekaje kwa hoja inayozungumziwa'

Zitto amehoji 1.5 hazionekani. Majibu anayopewa 'halmashauri ya Kigoma ina hati chafu'
Amehoji 1.5 mbona haionekani, majibu anayopewa ' Kuna ubadhirifu Chadema'

Pole pole anamjibu Zitto kwa hoja ya 'ashtakiwe'. Yaani kuhoji ni kosa la jinai siku hizi

Kwakuwa hakuna anayejibu hoja za Zitto kwa hoja na lugha rahisi, hoja zake zinasimama wima na kuiweka serikali katika mazingira ya utatanishi bila sababu

Lini viongozi watajifunza kujibu hoja kwa mantiki na lugha inayoeleweka kwa walipa kodi?

Kwa hili la 1.5 serikali ieleze kwa lugha rahisi tu, zipo wapi au zimetumika wapi na kwa utaratibu upi
Kuna uwezekano hakuna tatizo lolote, bila kueleza hilo hoja za Zitto zitabaki kuwa na mantiki

Nitashangaa kama lugha itakyotumika ni ile ya '' expenditure, account receivable, liquidity, bond, collection , overhead' na madudu mengine yatakayowachanganya wananchi zaidi.

Itumike lugha rahisi tu, 1.5 zipo wapi au kwanini hesabu hazionekani kukokotolewa kwa usahihi. Hilo tu
 
Mara nyingi mzee mwanakijiji huwa unanichanganya sana ule uwezo wako wa kuchambua mambo ya kisiasa kijamii na kiuchumi naona kama unayumba kama sio kupotea kabisa..

Toka mwanzo 2015 ulionyesha mapenzi ya kutokuzuilika kwa mh. JPM ulijitoa kwa kila hali kumtetea mpaka uwezo wako wa uchambuzi unanitia shaka.. Sijawa na upande wa chama Fulani kwa muda wote tz but kinachonifurahisha huwa nakifurahia bila kujali limetoka upande gani na linalonichukiza huwa silisaport bila kujali amesema nani au amefanya nani.

Tuache kuwa tunaelekeza mawazo kama makatibu wenezi wa vyama vya siasa...
 
Mkuu mwanakijiji umejaribu kumtetea zitto na kuwalaumu wanaserikali lakini hutaki kutambua kuwa wapo wapinzani wa magufuli ambao kazi yao ni kumvuruga tu kwa maslahi yao binafsi....Serikali ikisema chochote lazima waspin ili wapate popularity na ujira wao.

Naona ungefanya vyema kwa kuwakumbusha wapinzani wa Magufuli kihoji matatizo ya kweli yanayofanywa na Serikali.

Leo hii wapinzani wakihoji kwa nguvu zote juu ya upungufu wa bajeti ya afya ...hilo litakuwa ni tatizo la kweli na lenye manufaa kwao na kwa jamii.
Hawatakiwi kuspin ukweli ili uonekana kama uongo...wanatakiwa wahoji kwa manufas ya wananchi na nchi.

Geremy Corbyn amemuhoji Theresa May kuhusu kuishambuli Syria kwa ustadi mkubwa sana wapinzani wajifunze kuhoji kwa style hii.
 
Ukweli ni kwamba serikali kila muda inasubiri yenyewe kuwekwa kwenye kona badala ya kufafanua vitu kwa mapana ambayo wananchi wataelewa. Ndio maana wengine wameamua kuhukumu tu kuwa zimeibiwa kinyume na hoja ya msingi ya Zitto na hata ripoti ya CAG.

Hili sakata linatoa taswira halisi ya siasa zetu lakini pia uzembe wa watendaji wa serikali kuhakikisha taarifa zao hazileti taharuki kwasababu ya ufafanuzi finyu kwenye swala zito.

Hata kama tunamchukia vipi JPM haiwezi kuingia akili kubeba Trilioni 1.5 kwa kipindi kifupi na mazingira haya ya uadui aliojijengea kwa wahujumu uchumi. Hoja ya Zitto ipo pale pale na sasa bunge lifanye kazi yake.

Hoja yako imeniacha nacheeka. Katika mazingira ambayo 1.5t haina vielelezo vya kutosha unatarajia watu waseme nini? Halafu unashangaa nini kwamba hiyo hela inaweza kuchotwa? Na ikichotwa ni taasisi gani inaweza kudhubutu kusema kwamba zimechotwa na huyo unayemtetea kwa lugha za hadaa eti hata kama mnamchukia?

Ni hivi, uwezekano wa kuzichota upo sana na watu wasifanye lolote, kwani hizo za Richmond, escrow, kagoda nk zilizochotwa waliotajwa walifanywa nini zaidi ya kelele za kisiasa. Hizo 1.5 sio lazima zote ziwe zimewekwa mfukoni, bali zimeingizwa kwenye shuguli au miradi ambayo ingeleta kelele ba ndio maana zina utata kwenye vidhibitisho. Huu utetezi wa eti kama hata mnamchukia ni utetezi wa kujipendekeza pendekeza hivi ambao sio poa ndugu.
 
It is a real bomb...naona wale jamaa wanaoaminiwa ni social media moguls sasa wako kazini.

Jifunzeni kutumia fedha za umma kwa uadilifu.vitisho havisaidii

Kesho usisahau kumwambia na dr slaa aandike makala nyingine ya kutetea haya
 
Serikali Iwe "Active"

[emoji121] [emoji121] [emoji121]

Hili jambo la msingi sana mkuu.
 
Mkuu mwanakijiji umejaribu kumtetea zitto na kuwalaumu wanaserikali lakini hutaki kutambua kuwa wapo wapinzani wa magufuli ambao kazi yao ni kumvuruga tu kwa maslahi yao binafsi....Serikali ikisema chochote lazima waspin ili wapate popularity na ujira wao.

Naona ungefanya vyema kwa kuwakumbusha wapinzani wa Magufuli kihoji matatizo ya kweli yanayofanywa na Serikali.

Leo hii wapinzani wakihoji kwa nguvu zote juu ya upungufu wa bajeti ya afya ...hilo litakuwa ni tatizo la kweli na lenye manufaa kwao na kwa jamii.
Hawatakiwi kuspin ukweli ili uonekana kama uongo...wanatakiwa wahoji kwa manufas ya wananchi na nchi.

Geremy Corbyn amemuhoji Theresa May kuhusu kuishambuli Syria kwa ustadi mkubwa sana wapinzani wajifunze kuhoji kwa style hii.

Hivi unadhani sisi ni wajinga sana hatujui ipi hoja ya chuki dhidi ya Magufuli na ipi chuki ya Magufuli dhidi ya walio kinyume na yeye? Hiyo 1.5t sio lazima ziwe ni hela zilizochotwa kuwekwa mifukoni, bali ni kuingiza fedha hizo kwenye miradi ya kibinafsi na ndio maana inakosa vielelezo kwani itakuwa ni miradi yenye utata na ukakasi kwenye jamii. Na hata sehemu ya hizo hela zinaweza kuwekwa mfukoni kabisa, kwani za escrow, richmond nk zilipoibiwa ni hatua gani zimechukuliwa mpaka leo kwa waliohusika?
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji , nalitazama suala la 1.5T katika mtazamo tofauti na 'kuchelewa kujibu'
Moja ya sifa za Mwl Nyerere ni uwezo kutambua wapi serikali haieleweki.

Sifa hiyo iliambatana na uwezo wa kuieleza jamii tatizo lililopo (address) katika lugha rahisi sana (effective communication)

Zitto kama Raia na kiongozi amehoji. Inawezekana hakuelewa kitu. Kwa kiongozi kama Zitto kutoelewa jambo kuna maana moja, sehemu kubwa ya jamii haikuelewa.

Ndiyo maana akauliza 1.5 imekwenda wapi au ipo wapi!
Kwa hilo ametimiza wajibu kama kiongozi na Raia na alipaswa kujibiwa kwa hoja

Jamii yetu imepoteza uwezo wa kuhoji au kujibu hoja kwa hoja.

Viongozi wanatazama wataelewekaje wakisema abcd kwa wakubwa zao badala ya 'wataelewekaje kwa hoja inayozungumziwa'

Zitto amehoji 1.5 hazionekani. Majibu anayopew 'halmashauri ya Kigoma ina hati chafu'
Amehoji 1.5 mbona haionekani, majibu anayopewa ' Kuna ubadhirifu Chadema'

Pole pole anamjibu Zitto kwa hoja ya 'ashatakiwe'. Yaani kuhoji ni kosa la jinai siku hizi

Kwakuwa hakuna anayejibu hoja za Zitto kwa hoja na lugha rahisi, hoja zake zinasimama wima na kuiweka serikali katika mazingira ya utatanishi bila sababu

Lini viongozi watajifunza kujibu hoja kwa mantiki na lugha nyepesi inayoeleweka kwa walipa kodi?

Kwa hili la 1.5 serikali ieleze kwa lugha rahisi tu, zipo wapi au zimetumika wapi na kwa utaratibu upi
Kuna uwezekano hakuna tatizo lolote, bila kueleza hilo hoja za Zitto zitabaki kuwa na mantiki

Nitashangaa kama lugha itakyotumika ni ile ya '' expenditure, account receivable, liquidity, bond, collection , overhead' na madudu mengine yatakayowachanganya wananchi zaidi.

Itumike lugha rahisi tu, 1.5 zipo wapi au kwanini hesabu hazionekani kukokotolewa kwa usahihi. Hilo tu
Mbona alijibiwa zilipo na akakataa?
Halafu, mbona TRA kwenye website yao hawakuripoti mapato ya 15.3T? Na records zipo hadi leo in excel, kila idara kila mkoa na refunds etc.. Na CAG hakusema TRA imepotosha mapato by 2.2T, na akijibiwa maswali yake anakataa majibu bila kutoa sababu za kimahesabu.
Tatizo siyo lugha nyepesi, wala si kuchelea kujibu. Tatizo ni kushikilia hoja kisiasa kwa manufaa ya kisiasa. Kujiondoa uelewa makusudi, ili unufaike kisiasa. Hilo ndiyo tatizo na lipo wazi.
 
Lumumba pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja nzito humu JF.
Ana balance mambo na mnafiki.

Anyway nikirudi kwenye point nadhani kutumia pesa nje ya mipango ni utovu wa nidhamu na JPM ana kesi ya kujibu hapa,
Haitaji kua mkali.
Tena fedha ni za kwetu.sio zake

Yeye analipwa mshahara
 
Mzee mwenzangu Mzee Mwanakijiji, Mh. Tundu Antiphas Lissu kwa kutufahamisha wananchi kwamba ndege yetu ya Bombadier imekamatwa Canada kwa sababu tunadaiwa, aliitwa msaliti. Siku Magufuli anaongea na makamanda wetu wa vyombo vyote vya usalama alitoa kauli jinsi, katika vita yoyote ile, msaliti anavyotakiwa kushughulikiwa.

Siku chache baada ya hiyo kauli Mh. Tundu Antiphas Lissu alishughulikiwa...alimiminiwa risasi za kuweza kumuangusha tembo. Mambo hayakuishia hapo jana Spika wa Bunge Ndugai katufahamisha kwamba zipo taasisi ambazo hazikuwa tayari kutoa kibali kwa Mh. Tundu Antiphas Lissu kutibiwa nje kwa gharama za Bunge kama sheria inavyosema.

Ni hayo tu mzee mwenzangu.
 
Mbona alijibiwa zilipo na akakataa?
Halafu, mbona TRA kwenye website yao hawakuripoti mapato ya 15.3T? Na records zipo hadi leo in excel, kila idara kila mkoa na refunds etc.. Na CAG hakusema TRA imepotosha mapato by 2.2T, na akijibiwa maswali yake anakataa majibu bila kutoa sababu za kimahesabu.
Tatizo siyo lugha nyepesi, wala si kuchelea kujibu. Tatizo ni kushikilia hoja kisiasa kwa manufaa ya kisiasa. Kujiondoa uelewa makusudi, ili unufaike kisiasa. Hilo ndiyo tatizo na lipo wazi.
Nani alimjibu zitto na alimjibuje? Kwa nini jibu hilo halikutolewa wakati ukaguzi unafanyika?
 
Ni hatari sana, mambo serious kama haya yanaletewa mchezo kiasi cha kuleta mkanganyiko.

Inawezekanaje ofisi nyeti kama ya CAG ikaleta taarifa Kwenye chombo kama Bunge halafu kukawa na mkanganyiko kwenye hesabu kiasi cha kuchanganya jamii na bado kirahisi rahisi tena majibu yanayoonyesha CAG kutokuwa makini au kutokujua masuala muhimu ambayo hata mwenezi wa chama anayajua yanatolewa na inaonekana ni sawa wakati kwenye ripoti husika hayo maelezo hayapo..

Kwa fikra zangu na kuelewa kwangu maelezo ya Naibu waziri na mwenezi wa chama fulani naona kabisa wanatuambia CAG hafai na kazi yake haifanyi sawasawa kiasi cha kushindwa kuelewa ABC ya hizo 1.5...
 
"Sasa mwisho wa siku Rais anakasirishwa kwa nini watu wanaandika kwenye mitandao na kuhoji kwenye forum mbalimbali kana kwamba tatizo ni mitandao! "
Je auditing inahusisha mapato na matumizi au pia actuarial? Wahasibu mtusaidie hapa
 
Nani aliyekwambia zimeanza jana? We vipi?
Angalia cash budget za BoT. Kuna tofauti yeyote ya maana kwenye mapato na matumizi?
Mbona exchequer releases ni 20T? Hizo zingine zimeenda wapi?
13.16 recurrent na 6.9 development. Makusanyo, Grants na disbursed loans 3.1T na Revenue za ndani 16.34T.
Hiyo ni cash budget, easily explainable. Na BOT anakwambia (July, MER) cumulative domestic debt due ni 5.9T, waka-rollover 4.6T. Sasa explanations za leo zina tofauti gani na MER au BER? Au unaongea kishabiki tu?
Halafu nani kasema Assad ni mweupe? Are you serious?
Assad hakuuliza 1.5 hata sehemu moja. Kwenye appendix za Central Govt expenditure audits kuna hoja ya 325billions TRA ilizokusanya kwa ajili ya other agencies kuwa entered twice kwenye consolidated accounts[3.2: 4(m)].
List of qualified opinions zipo kuanzia ukurasa wa 307 mpaka 315. Hakuna 1.5T ilipotajwa, nada!
Usilazimishe mambo.
kwani hapa unashindwa kujiongeza kwenye kujumlisha na kutoa!!!

Kati ya
Shilingi
bilioni 25,307.48 zilizokusanywa,
Shilingi
bilioni
23,792.30 zilitolewa kwa ajili ya mishahara ya watumishi,
matumizi mengine, matumizi ya maendeleo na fedha kwa ajili ya
kulipa madeni yatokanayo na amana za Serikali pamoja na riba
 
Back
Top Bottom