Prospectus ya UDSM ya mwaka 2006 kifungu 2.7.7 kilisema mwanafunzi wa full time wa PhD minimum muda wa kumaliza ni miaka 3 na mwanafunzi wa kutoka kazini ni miaka 5.
Like chapisho alikopi kutoka kwa Dr J Y Philip ambaye alikuwa anafanya sandwich program limaitwa "The potential of anarcadic acid self assembled monopolymers from cashewnut shell liquid as corrosion protection coating"
Supervisor wake alikuwa Prof Bucheschwaija ambaye alimsimamia Dr J Y Phillip as well.
Mwaka 2016 alipopata uRais wa Tanzania akampa Prof Bucheschwaija uwenyekiti wa Bodi ya TIB kama kumpoza kwa kwa kazi aliyomlinda kwenye fake PhD.
Halafu
Kichuguu upuuzi wa kusema Magufuli alianza research ya PhD baada ya kumliza masters kadanganye wanao mkiwa sebuleni