Tafadhali CAG usijiuzulu

CAG ni mcha Mungu sana ana mbwembwe ukikutana naye anapokuwa anatoka maikitini uwezi amini kama ni yule kichwa mwenye CV ya kurasa 14. Anamwamini sana Mungu hivyo tusiwe na wasiwasi na visokoeokwino kumfanyia chochote. Hata Utoh anamwamini sana yeye chakula yake ni sala tuu
 
Niulize CAG ana umri gani? Naona ka anakaribia kustaafu au ni macho yangu?
 
Bunge badala ya kuchunguza matumizi ya serikali wanachunguza mayai ya mtu kama ni viza au la? Hebu JPM watumikie watanzania, hivi nyalandu yupo?
 
IMG_20180421_082732.jpg
 
Habari wakuu.

Pamoja na yote unayokumbana nayo ktk kazi yako. Tafadhali CAG usijiuzulu.
Kitendo cha leo ulichofanyiwa ikulu mbele ya vyombo vya usalama na umma najua kimekuudhi sana.

Ila nakuomba sana usijiuzulu. Ukikosea ukafanya hivyo itakuwa Sherehe kubwa sana kwa fisadi mkuu jiwe. Hilo ndio lengo lake.

Wewe tulia pamoja na visa vyote anavyokufanyia hadharani na sirini.

Ukweli watu wameujua.

Namba hazijibiwi na porojo au vitisho na ubabe..

Swali uliloulizwa umejibu sahihi kabisa.
Ni sawa na mtu aniulize leo. Eti Ben Saanane ameuwawa. Jibu ni Hapana.
Maelezo yake ndo HAJULIKANI ALIPO.

Bado tunasema serikali iseme ipo wapi trillion 1.5?!!!
Issue Kwa sasa ipo bungeni, wabunge wanahaki ya kuibana serikali, wewe hapa unafanya siasa kwenye suala nyeti
 
wasemaji wa CAG Mnapambana !
,walimsifu kinyama, kuanzia Jana wameanza kumgeuka na kumwambia ajiuzuru, wajinga Sana, Majibu ya naibu waziri wa fedha, hakuna mchadema wa Zitto awezaye pangua Majibu hayo, wamebaki Jukwaani Kaa ID fake wakigugumia
 
Mnatajirisha jf tu! Yaani mliozoezi kick za wizi tafuteni hoja nyingine hapa ni Kazi tu!
Eleza trillion 1.5 ilipo? Leo ndo umekumbuka kuwa tunaitajirisha JF!!!... Kwa nini mna wivu na utajiri wa wenzenu?
 
Back
Top Bottom