Tafadhali CAG usijiuzulu

Tafadhali CAG usijiuzulu

Kwa kudhalilishwa kulikotokea leo anaweza kabisa kuamua kubwaga manyanga jiwe atafurahi sana hilo likitokea kwani ni nafasi ya kupewa kikaragosi chake ambacho hakitaandika chochote kibaya dhidi ya hili genge la wahuni na majizi wanaojichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge.
Hahahah kujiuzulu angefanya hivo akiwa mgeni 2014 saivi ni ngumu mnoo...
 
Tuombe iwe hivyo maana hawataki aendelee kuwepo hapo ndiyo sababu wanamshambulia na kumdhalilisha. Msalimie baby.

Hahahah kujiuzulu angefanya hivo akiwa mgeni 2014 saivi ni ngumu mnoo...
 
Wewe unafikiri hata asipojiudhuru atafanya kazi kawaida kama mwanzo?

Huyu CAG hamu yote ya kazi hana kwa vitisho vile kuanzia saiv usishangae hata matv wakatumwa kwenda kumuhoji ili atoe ufafanuzi mwengine wa iyo pesa kama anavotumiwa kafulila.
 
Back
Top Bottom