Norton82
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,187
- 1,060
Kama mifumo iko vizuri na inafanya kazi kwa sheria, kanuni na taratibu bila kuvunja katiba ya nchi, sioni sababu ya kuulizana maswali kama mko darasani kwa lengo la kupata publicity, if you act smart jamii itakuelewa tu, hauna haja ya kuuliza maswali ya kutafuta sympathy kwa wananchi, shukrani!