msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 475
- 360
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Hivi huwa unafikiria kwa kutumia nn
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Asante mkuu kwa Elimu hiyo.No...Af google sio mtandao wa kijamii bali ni search engine.
Alikosea swali,swali lilikuwa:-Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
Ajiudhulu tu, anashindwaje kuhoji ziliko 1.5trilion? AkwendeHabari wakuu.
Pamoja na yote unayokumbana nayo ktk kazi yako. Tafadhali CAG usijiuzulu.
Kitendo cha leo ulichofanyiwa ikulu mbele ya vyombo vya usalama na umma najua kimekuudhi sana.
Ila nakuomba sana usijiuzulu. Ukikosea ukafanya hivyo itakuwa Sherehe kubwa sana kwa fisadi mkuu jiwe. Hilo ndio lengo lake.
Wewe tulia pamoja na visa vyote anavyokufanyia hadharani na sirini.
Ukweli watu wameujua.
Namba hazijibiwi na porojo au vitisho na ubabe..
Swali uliloulizwa umejibu sahihi kabisa.
Ni sawa na mtu aniulize leo. Eti Ben Saanane ameuwawa. Jibu ni Hapana.
Maelezo yake ndo HAJULIKANI ALIPO.
Bado tunasema serikali iseme ipo wapi trillion 1.5?!!!
Alimteua hadharani na sio chumbani kwa hiyo lazima aulizwe hadharani. Over
ingekuwa mimi CAG ningejiudhuru sio tu kwa kusimamishwa bali kwa kudhalilisha u profesa wake,kwa maelezo ya naibu waziri fedha ina manisha CAG hakujua kuwa zile ni recevable! na hakujua kuwa TRA wanatumia mfumo wa accrual basis richa ya kupelekewa nyaraka na serikali na kwa maana hiyo ile report yake yote haina maana na ni takataka
Amemzarau sana CAG.
If that the case mbona hawakumpelekea hayo maelezo mapema!
WAMEVULIWA NGUO......WACHUTAME.
Utendaji hauendi namna hiyo, namba zinajibiwa kwa namba na maelezo ya kutosha. Tafsiri ya kumsimamisha CAG mbele ya kandamnasi ni kumtisha
Alikosea swali,swali lilikuwa:-
Eti sh 1.5 trilion hazijulikani zimefanya kazi gani? Hapo jibu lilikuwa NDIO,bila kupepesa macho.
Swali kama zimeibiwa sio sahihi kwani hakuna anaejua kwa sasa kama zimeibiwa au la zimetumiwa kinyume cha sheria.
HuendaHawezi kujiuzulu sababu anafahamu kabisa hakuna chochote kitakachomkuta, ila angekuwa kwenye nchi ya watu wenye akili timamu tayari tungekuwa tulishamsahau kama alikuwa ni CAG
Kama wewe ndie uliyemteua basi atajiuzuru,ajiuzuru kwa lipi?kwa hizo habari za akina Zitto au hizi za upuuzi wa mitandaoni.Habari wakuu.
Pamoja na yote unayokumbana nayo ktk kazi yako. Tafadhali CAG usijiuzulu.
Kitendo cha leo ulichofanyiwa ikulu mbele ya vyombo vya usalama na umma najua kimekuudhi sana.
Ila nakuomba sana usijiuzulu. Ukikosea ukafanya hivyo itakuwa Sherehe kubwa sana kwa fisadi mkuu jiwe. Hilo ndio lengo lake.
Wewe tulia pamoja na visa vyote anavyokufanyia hadharani na sirini.
Ukweli watu wameujua.
Namba hazijibiwi na porojo au vitisho na ubabe..
Swali uliloulizwa umejibu sahihi kabisa.
Ni sawa na mtu aniulize leo. Eti Ben Saanane ameuwawa. Jibu ni Hapana.
Maelezo yake ndo HAJULIKANI ALIPO.
Bado tunasema serikali iseme ipo wapi trillion 1.5?!!!
hapo Sasa...China wakianza kutembea uchi ..atasema pia hata China hawavai nguo ..periodEti "china google haiko huru".sasa kwani sisi wachina?
Accrue basis taasisi za kiserikali? kuna jambo halipo sawa!ingekuwa mimi CAG ningejiudhuru sio tu kwa kusimamishwa bali kwa kudhalilisha u profesa wake,kwa maelezo ya naibu waziri fedha ina manisha CAG hakujua kuwa zile ni recevable! na hakujua kuwa TRA wanatumia mfumo wa accrual basis richa ya kupelekewa nyaraka na serikali na kwa maana hiyo ile report yake yote haina maana na ni takataka
Kesho kutwa tunawafurusha..Hawa mbwa ccm wanayemfuga huyu mbwa anayeharibu nchi laana ipo juu yao....
Onesheni zilipo 1.5T acheni ujingawasemaji wa CAG Mnapambana !