Tabora tunataka RC Muislam sasa

Tabora tunataka RC Muislam sasa

Tukisema haya majamaa hamnazo mnachukulia poa angalia sasa maono yake.
 
Wana Tabora tuletewe RC Muislam, mshika dini kama Abbas Kandoro safi kabisa ili kuendeleza mkoa wetu. Igembe N'sabo.
Udini utakufikisha wapi? Tuache udini.
CCM inawapenda watu wa namna hii
Kuna uhusiano gani ya uongozi maendeleo na dini?kwani viongozi wakristo wameshindwa kuleta maendeleo? Je wapi umeona mifano kwamba viongozi wa dini yako ndo waleta maendeleo?
Mkoa wenyewe umejaa wapagani huo!

Dini zipo mijini tu na kwenye visenta kama Bukene kwingineko vijijini ni vibuyu na ramli chonganishi.😀
INAFIKIRISHA SANA.
 
Back
Top Bottom