John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,373
Kuna tumbili watakuja hapa kukwambia hizo ndizo imani zetu za mababu waliotutangulia kuishi duniani na hatutakiwi kuziacha kamwe!Hiyo mikoa; Tabora, Shinyanga, Kigoma, Rukwa sijui lini watu wake watabadilika na kuachana na hizi imani za giza/ushirikina.
Viongozi wetu wa dini wanapaswa wafanye jitihada katika maeneo haya ili kuondoa imani hizi ambazo mwisho wake ni mauaji.
Du very sad.Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na kumkata shoka kichwani, shingoni na mikono yote miwili.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora Kamishina Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea Februari 28, 2022 majira ya saa 1 jioni ambapo mtuhumiwa amekuwa akisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa kifafa ambao amekuwa akiuhusisha kulogwa na baba yake mzazi.
“Mzee Jacobo alijeruhiwa vibaya katika tukio hilo, akakimbizwa katika Hispitali ya Misheni ya Ndala, hali yake ilikuwa mbaya na akafariki usiku wa tukio, pia mtuhumiwa alimjeruhi ndugu yake mwingine Magdalena Jacobo ambaye alipatiwa matibabu na kuruhusiwa kutoka.
“Mtuhumiwa amekiri kuhusika na mauaji hayo na alikutwa na shoka aliyoitumia. Nitoe wito kwa wakazi wa Tabora kuacha kuwa na Imani za kishirikina ambazo zinasababisha matatizo kama haya,” anasema ACP Richard Abwao.
Source: Wasafi Digital
Baba yako akuzae mwenyewe kisha Akuroge Mwenyewe?/ Haingii akilini...Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na kumkata shoka kichwani, shingoni na mikono yote miwili.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora Kamishina Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea Februari 28, 2022 majira ya saa 1 jioni ambapo mtuhumiwa amekuwa akisumbuliwa na tatizo la ugonjwa wa kifafa ambao amekuwa akiuhusisha kulogwa na baba yake mzazi.
“Mzee Jacobo alijeruhiwa vibaya katika tukio hilo, akakimbizwa katika Hispitali ya Misheni ya Ndala, hali yake ilikuwa mbaya na akafariki usiku wa tukio, pia mtuhumiwa alimjeruhi ndugu yake mwingine Magdalena Jacobo ambaye alipatiwa matibabu na kuruhusiwa kutoka.
“Mtuhumiwa amekiri kuhusika na mauaji hayo na alikutwa na shoka aliyoitumia. Nitoe wito kwa wakazi wa Tabora kuacha kuwa na Imani za kishirikina ambazo zinasababisha matatizo kama haya,” anasema ACP Richard Abwao.
Source: Wasafi Digital
Kama huwajui binadamu nyamaza, nikumuomba Mungu usizaliwe katika familia inayobeba hayo mamboBaba yako akuzae mwenyewe kisha Akuroge Mwenyewe?/ Haingii akilini...
Viongozi wa dini siku hizi wanahubiri zaidi sadaka na michangoHiyo mikoa; Tabora, Shinyanga, Kigoma, Rukwa sijui lini watu wake watabadilika na kuachana na hizi imani za giza/ushirikina.
Viongozi wetu wa dini wanapaswa wafanye jitihada katika maeneo haya ili kuondoa imani hizi ambazo mwisho wake ni mauaji.
Uchawi upo mzee...na watu wanafanyiwa hayoHiyo mikoa; Tabora, Shinyanga, Kigoma, Rukwa sijui lini watu wake watabadilika na kuachana na hizi imani za giza/ushirikina.
Viongozi wetu wa dini wanapaswa wafanye jitihada katika maeneo haya ili kuondoa imani hizi ambazo mwisho wake ni mauaji.
wewe endelea na uchawi wako halafu utaona mwisho wake.Uchawi upo mzee...na watu wanafanyiwa hayo
Kaka huko si ndiko tunajizolea kura za kishindo? Wacha ibaki hivyo hivyo tutawale milele. Usiwashtue!Hiyo mikoa; Tabora, Shinyanga, Kigoma, Rukwa sijui lini watu wake watabadilika na kuachana na hizi imani za giza/ushirikina.
Viongozi wetu wa dini wanapaswa wafanye jitihada katika maeneo haya ili kuondoa imani hizi ambazo mwisho wake ni mauaji.