Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Bro nimesoma Tabora Boys pale 2005/07 at the Heart of Tabora, ukiangalia waliokua wanakuja kama intake ya either form one au Five 98.5% ni wageni hasa toka Kanda ya ziwa na huku dsm, moro, kusini na kaskazini. Wazawa shule zao ni zile za kawaida za day pale mjini na wengi utawakuta wakisaka CREDIT kwa kureseat ili wapate japo nafasi za uaskari.
Kikubwa mwamko wa elimu alipokaa mwarabu hua mdogo sana. Kwanza ukipata div2 unajulikana pale town pote na mara nyingi tulikua tunaheshmika sana wanafunzi wa Tabora boys kwa kua walikua wakituona kama malaika wa mji ule. Kuna zaidi ya elimu kuwapatia wananchi wa Tabora coz resources walizonazo ni zaidi ya wanavyodhaniz.
Mzalendo JR; you are right BUT in a wrong way! Kumbuka wewe na wenzio mliokwenda Tabora Boys - (and it is a special school remember) - na shule nyingine za serikali MLICHAGULIWA kwenda huko. Inawezekana hulijui hili, ila kuna sera ya kuchagua wanafunzi kutoka mkoa/mikoa mingine. Kwa mfano, mimi kwetu ni Tabora lakini nilisoma Mazengo - na nilikuwa na wenzangu kama 10 hivi (japo toka wilaya tofauti za mkoa wa Tabora) na hakukuwa na mwanafunzi hata mmoja kutoka Dodoma kwenye darasa letu.
Ningekuelewa ungesema kuwa hata shule za day wazawa hawapo.