Fredrick Sanga
JF-Expert Member
- Jan 27, 2011
- 3,153
- 699
W.J.Malecela kama umesoma na kuelewa alichokisema pasco ctarajii kuona unaendelea kuandikika PUMBA ZAKO HAPA.Big up PASCO
Mtafutane mfanye mjadala, inaonekana mna point.:alien:
W.J.Malecela kama umesoma na kuelewa alichokisema pasco ctarajii kuona unaendelea kuandikika PUMBA ZAKO HAPA.Big up PASCO
inawezekana, ila kumbuka kuna mafisadi viwembe katika chadema, wakiongozwa na huyo mtaja mafisadi!
hayo mambo ya hapo penye bold, nadhai kwenye kampeni za 2010 waliyafafanua vya kutosha, ulisoma chapisho lao la ilani?
- Mkuu majina yote ya waliochota hela za EPA yalitajwa na waliepelekwa kwenye sheria, ni waliotajwa wana kesi only kwa sababu majina yao yapo kwenye kusaini makaratasi yaliotumika kuchota hela benki, waliochukua hela za EPA ni Mtandao, sasa Malecela alihusika vipi kuchota hela za vita against himself ndio ninapomuona Slaa akijishusha hadhi na wengine kama wewe mnaojaribu kushabikia bila FACTS!Mkuu W. J. Malecela, with due respect, ninazo facts 3 zifuatazo kuhusu EPA.
1. Sio kweli kuwa majina ya watu wote waliohusika na kashfa yalitajwa. Majina yote yaliyotajwa ni ya baadhi tuu, ndio maana mpaka leo, majina ya watu walio behindi baadhi ya makampuni yaliyochota EPA, hakutajwa na kamwe hayata tajwa!.
- Waliotajwa wote kuhusika na EPA walifikishwa mahakamani ni kwa sababu walisaini makaratasi na ushahidi wa kisheria upo, wale ambao hawakutajwa ni kwa sababu hakuna ushahidi wa kisheria wa kuwahusisha na kuvunja sheria, taifa haliwezi kuendeshwa kwa majungu kwamba fulani ni fisadi wa EPA ingawa hakutajwa na sisi wanannchi tunatakwia kukubali eti kwa sababu aliyesema ni Slaa, mkuu vipi litakuwa taifa au Banana Republic?2. Pia sio kweli kuwa majina ya wale wote waliotajwa kuhusika na EPA, walifikishwa mahakamani. Kati ya waliotajwa, ni baadhi tuu ndio waliofikishwa mahakamani, kuna wengi miongoni mwa waliotajwa, hawatafikishwa mahakamani kamwe!.
- Well now ndio umeonyesha your true color, kwamba ni makosa kwangu kuuliza some serious question kwa sababu ya jina langu kufanana na la Malecela, ninarudia tena kukopa hela za EPA sio kuvunja sheria, isipokuwa kuchukuliwa kwa hela hizo na wasiohusika ndio kuvunja sheria, sasa huvunji sheria ya taifa kwa sababu kuna baadhi ya wezi ndani ya chama chako, yaani ni kama vile kusema kwa vile CCM ina mafisadi basi Wa-Tanzania wote ni mafisadi kwa nini wamekubali kutawaliwa nao for 50 years, mkuu vipi Slaa anatakiwa kuweka wazi ushahidi alionao kwamba Malecela ni mmoja wa waliosaini makaratasi yaliyoishia kuwaruhusu wasiohusika kuchukua hela za EPA.4. Huu ni ushauri tuu, itetee CCM kama chama, that they did nothing wrong with EPA money, in so doing, utakuwa umekisafisha chama chako na viongozi wake including Mzee Malecela. Ukimsafisha Mzee peke yake, trying to single him out from the rest, utetezi wako utaishia kuonekana ni utetezi nasaba, wa damu nzito kuliko maji.
Nina maoni yafuatayo kuhusu hii list mpya ya Mafisadi:
1. Uwezekano mkubwa ni kuwa CHADEMA wanataka sasa kuisambaratisha CCM baada ya kuona hoja yao ya UFISADI ya awali "imemtoa nyoka pangoni" kwa CCM "kujivua gamba" na "kuwa na nia ya kufukuza mafisadi katika chama".
2. Leo hii katika CCM: Mang'ula; Malecela na Magufuli ni members ambao kwa macho ya wana CCM na mashabiki wao walio wengi ni WASAFI na si MAFISADI. Kwa hiyo ina maana kwa kuwaweka katika kundi la mafisadi na kama kuna ushahidi mzito na unaokubalika kisheria na kisiasa ina maana CCM kwa asilimia kubwa itakuwa imejaa ufisadi.
3. Kama CCM au individuals waliotajwa hawatasimama na kutoa ushahidi wa kutosha na kuridhisha ku-prove their innocence na kuwa allegations za CHADEMA ni za uongo, basi mafisadi katika list ya awali hawatatoka katika chama. Wakilazimishwa kutoka, nao watadai walio katika list mpya watoke: this will mean mkorogano mkuu katika CCM na kama itakuwa handled vibaya ina maana CCM itaporomoka zaidi.
4. for sure kutakuwa na list mpya itakayohusisha mafisadi wa "Stimulus Package" lakini inawezekana unasubiriwa wakati mwafaka na ushahidi upatikane.
5. CCM wataendelea kucheza ngoma ya CHADEMA na wadau wengine mpaka hapo CCM itakapovaa nia ya dhati ya kukisafisha chama na kuwafukuza mafisadi wote CCM na Serikalini na kuwachukulia hatua za kisheria sambamba na kufanya mageuzi ya kweli katika matumizi ya pesa za walipa kodi.
Respect.
QED.
Hivi alizikwa Iringa?Katika orodha ya mwaka 2007, Dk. Slaa aliwataja aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT), ambaye sasa ni marehemu, Dk. Daudi Balali,
Mimi hapa,sina harufu ya ufisadi kabisa
Naomba kujuzwa kiongozi gani wa Tanzania ambaye ni msafi?jana Slaa ametaja orodha mpya ya mafisadi ila nakumbuka kuna wakati fulani Slaa nae alishatajwa ktk kashfa ya ufisadi akiwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu,mbowe nae ameshalaumiwa ku2mia fedha za chama kwa matumizi yake binafsi,zitto nae ndo huyo anashutumiwa kila mara kuwa kambi ya mafisadi wa ccm[/QUO
Sijakuelewa SENIOR MEMBER, Hebu nisaidie mie SENIOR EXPERT MEMBER