Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Kuweka sahihi kwenye kutoa pesa sio issue. Kwani hao walioweka sahihi sio wazi kuwa walitumika kwa mbele tu. Tunajua kweli kuwa hizo pesa walizichukua na kwenda kuwapa ccm! Na ndio maana wanalindwa. Kwanza hujaweka timeline ya uchukuzi wa pesa na matumizi yake. Hapa tunaenda na word of mouth. You have not given us evidence on the contrary! Kwani hizi pesa zilitumika kwenye primaries za ccm tu? Kama mliona kuchezewa rafu wakati ule, kwa nini hamkutoka live na kukemea? Mbona hii ishu mmeimeza na sasa ndio mnajifanya kuipangua?

- Unaenda kumfunga mtu kwasababu ya kutumia the word of mouth kuiba hela bank, you are a genius bro!

William @ NYC, USA.
 
- Walifikishwa mahakamani kwa sababu hawkutakiwa kuhusika na kukopa zile hela, na waliofikishwa mahakamani ni kwa sababu kulikuwepo saini zao kwenye makaratasi ya mikopo, je la Malecela lilikuwepo kati ya waliosaini?

William @ NYC, USA.

wacha kuwa zuzu na mnafiki wewe .... mbona Binti Zakia Meghji akiwa waziri wa fedha alikurupuka hadharani na kusema alidanganywa na Governor Daudi Balali baada ya mimicking kuwa balali amekufa.... ha haaaa .... tukimpata balali mahali alipo atasema yote .... watch your words
 
- Unaenda kumfunga mtu kwasababu ya kutumia the word of mouth kuiba hela bank, you are a genius bro!

William @ NYC, USA.

Soma post vizuri! Inaelekea unasoma kile unataka kuona! Nimesema wewe hujatoa evidence yeyote kuwa Malecela hakutumia pesa! Weka timeline hapa ya kutoka pesa za EPA kuchukuliwa mpaka kutumika katika kampeni! Hao walioweka sahihi sio issue! Tunajua kuwa wao walitumika tu kuchukua hizo pesa. Wewe mwenyewe unajua hilo na post zako zinadhihirisha hilo, maana umeshakubali kuwa pesa za EPA zilitumika na watu wa ccm.
 
- Kwa hiyo unasema the case ya Slaa against Malecela ni kutumia hela za EPA sio kusaini kwenye makaratasi ya kuziiiba bank, kweli you are a genius bro!

William @ NYC, USA.
 
- The bottom line ni amefanya! au?

William @ NYC, USA.

Hajafanya! Hilo hata wewe unalijua.
Pengine ni vagalies of history kwamba with 80% of (debatable ) vote, hakueza kuchukua hatua kurekebisha mwelekeo wa nchi yetu. Bado ana miaka minne - lakini kama wahenga walivyosema - siku unaiona mapazukoni.
 
wacha kuwa zuzu na mnafiki wewe .... mbona Binti Zakia Meghji akiwa waziri wa fedha alikurupuka hadharani na kusema alidanganywa na Governor Daudi Balali baada ya mimicking kuwa balali amekufa.... ha haaaa .... tukimpata balali mahali alipo atasema yote .... watch your words

- Another genius now what this has anything to do na maneno ya leo ya Slaa kwamba Malecela ni mmoja wa mafisadi wa EPA meaning kwamba alisani makaratasi ya kuchukua hizo hela benki kuu au?

William @ NYC, USA.
 
CCM has swallowed the bait from CHADEMA.
Its going to be very tough for CCM to start beating the drum again. Right now CCM is dancing to CDM tune.

I will elaborate later, right now I am so disappointed. For starters:-

- How could CCM use Slaa's list of Shame as reference?
 
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!

wewe umelipwa na mafisadi toka humu!!
 
- Majina ya watu wote waliohusika na EPa yalitajwa na kufikishwa mahakamani ni kwa sababu walisaini makaratasi, sijui unawezaje kumfunga mwananchi kwa sababu kundi moja la chama chake lilihusika na kuchukua pesa za EPA, I mean is this a great thinking?

William @ NYC, USA.
Mkuu W. J. Malecela, with due respect, ninazo facts 3 zifuatazo kuhusu EPA.
1. Sio kweli kuwa majina ya watu wote waliohusika na kashfa yalitajwa. Majina yote yaliyotajwa ni ya baadhi tuu, ndio maana mpaka leo, majina ya watu walio behindi baadhi ya makampuni yaliyochota EPA, hakutajwa na kamwe hayata tajwa!.
2. Pia sio kweli kuwa majina ya wale wote waliotajwa kuhusika na EPA, walifikishwa mahakamani. Kati ya waliotajwa, ni baadhi tuu ndio waliofikishwa mahakamani, kuna wengi miongoni mwa waliotajwa, hawatafikishwa mahakamani kamwe!.
3. Japo siungi mkono Mzee Malecela kuitwa fisadi, ila kama ni kweli, CCM ilitumia fedha za EPA kwenye kampeni yake, huu ni ufisadi tosha, sasa wether Makamo Mwenyekiti wa CCM, wakati wa ufisadi huo, alihusika, alishiriki, au hata aliujua tuu ufisadi huo, anaingia direct kwenye collective resiponsibility ya kilichotendwa na Chama chake.
4. Huu ni ushauri tuu, itetee CCM kama chama, that they did nothing wrong with EPA money, in so doing, utakuwa umekisafisha chama chako na viongozi wake including Mzee Malecela. Ukimsafisha Mzee peke yake, trying to single him out from the rest, utetezi wako utaishia kuonekana ni utetezi nasaba, wa damu nzito kuliko maji.

Pasco
 
- Another genius now what this has anything to do na maneno ya leo ya Slaa kwamba Malecela ni mmoja wa mafisadi wa EPA meaning kwamba alisani makaratasi ya kuchukua hizo hela benki kuu au?

William @ NYC, USA.

childish ......fold the cadres and not mere citizens ... usanii ...wote huo ni usanii ...hata kama wewe hukusain lakini ulichukua ..period
 
Gamba Jipya, si busara hata kidogo ku-single out watu wa rangi fulani kwa makosa yanayofanywa na watu wa tabaka/kabila mbali mbali. Neno ulilotumia linaashiria kama 'wahindi' tu ndio wanautuhumiwa kwa ufisadi hapa nchini. Huu ni ubaguzi na upofu hatari sana kwani unataka tuamini kuwa ni jamii fulani tu ndio mafisadi. Ukweli ni kuwa ndani ya wanaotuhumiwa kuwa mafisadi wapo wamatumbi etc etc. Mimi nashauri usijenge mazingira ya ku-single out jamii fulani (i.e uhundi, uhaya, or whatever) kama ndio watuhumiwa wakuu. Please check your facts sheet (Mwembeyanga list, 2007).

Hata hivyo, I am very umpressed na bidii uliyonesha jioni hii hapa jamvini ya ku-parade your obsession kwa Chadema. Ni hivi punde tu umeleta post inayoonesha kuwa 'umaarufu wa Dr Slaa umeshuka'!!!. Sasa umekuja na hii reportage kutoka Tabora.

Sijui unawakilisha mawazo yako binafsi au/na ya kikundi fulani ila ningeshauri sana sana ubadilishe hii strategy ya ki-propaganda maana ni mtu aliyekosa mishipa ya aibu ndio anaweza kutoa hoja dhaifu kiasi hiki. Kwa kifupi hoja yajo haijengi, inabomoa. Tafadhali tuletee fito maana tunataka kujenga nyumba imara -Taifa imara. Karibu!
Mkuu JF imevamiwa! Gamba jipya ni sehemu ya mkakati.ndugu mliotumwa jipangeni sawasawa maana daima ukweli hujitenga na uongo,
 
Dr. Slaa nakukubali siku zote lakini kwenye hili umefanya makosa makubwa.

Sasa hivi mipango ya EL & Rostam ni kuwahusisha watu wengi kuwa ni mafisadi ili iwe vigumu wao kutoswa rasmi. Ingekuwa vizuri Chadema wasubiri kwanza vita kubwa inayokuja kati ya EL, RA & Chenge against CCM. Hapo Chadema wanachotakiwa kufanya ni kusubiri, ili NEC ikiwatosa hao watu rasmi, ndio sasa Chadema waseme wapelekwe mahakamani, wafukuzwe ubunge nk kama hoja ya msingi.

Unapoanza kugroup watu kama kina Magufuli, Malecela, JK na hawa Mafisadi papa, unacheza mchezo unaowafaidisha kina EL. Hata kama kina Mangula, Malecela wanamakosa madogo, lakini sio Mafisadi POINT BLANK.

This is a War, lazima kuwe na mipango inayoona mbali.

Sasa hivi ni kuwaisolate kwanza EL, RA, Chenge ili wao watumie pesa zao kuvunja CCM, na chadema wao itakuwa rahisi kuingia uko mbele na ndio uanze kuleta vioja mbalimbali.
 
- Mkuu tunaongela hela zilizochuliwa Benki kwa jina la EPA, unasema una ushahidi kwamba Malecela alisaini moja ya hayo makaratasi ya kuchukua hizo hela? Na ndio maana Slaa akamtaja kwamba anahusika na EPA au?

- Well, naomba kuondoka kidogo, later people!

William @ NYC, USA.

Mkuu Mzee.malechela amekuwa kiongozi katika hierachy yachama na serikali sasa sijui unakwepa kwepa nini.

Kwani Professor mahalu kufikishwa mahakami kuhusu ufisadi wa jengo la ubalozi italy yeye ndo aliandika vocha. hawa wakubwa wajanja sasa wao wanaagizaga kwa maneno waandikaji wanaosani ndio vidagaaa. Hulijui hilo.?????? Usinga'angnie EPA tunakupa na mifano ya Vi EPA vingine. So tell your Mzee akubali kuomba msamaha wa dhati watanzania.

Kama unasema hakuna tatizo lolote kubwa ambalo haliwezi kumuhusisha kiongozi kwa namna moja ama nyingine basi tumbie labda naweza kukuelewa where you are coming from Kinachotakiwa CCM na wezee wakiri makosa waombe msamaha.

Sio Msekwa aseme ni Mkapa mkapa asema ni malechela malechela aseme ni Kikwete. No No no.
 
childish ......fold the cadres and not mere citizens ... usanii ...wote huo ni usanii ...hata kama wewe hukusain lakini ulichukua ..period

Labda anataka tumjie EPA version ya wizara ya mabo ya nje ambayo yeye ni mnufaika wake. Anataka kumficha mzee nyuma ya gamba la mtandao.
 
- Kwa hiyo unasema the case ya Slaa against Malecela ni kutumia hela za EPA sio kusaini kwenye makaratasi ya kuziiiba bank, kweli you are a genius bro!

William @ NYC, USA.

duh! kweli kazi tunayo! upo very limited mkuu!
 
Mkuu Mzee.malechela amekuwa kiongozi katika hierachy yachama na serikali sasa sijui unakwepa kwepa nini.

Kwani Professor mahalu kufikishwa mahakami kuhusu ufisadi wa jengo la ubalozi italy yeye ndo aliandika vocha. hawa wakubwa wajanja sasa wao wanaagizaga kwa maneno waandikaji wanaosani ndio vidagaaa. Hulijui hilo.?????? Usinga'angnie EPA tunakupa na mifano ya Vi EPA vingine. So tell your Mzee akubali kuomba msamaha wa dhati watanzania.

Kama unasema hakuna tatizo lolote kubwa ambalo haliwezi kumuhusisha kiongozi kwa namna moja ama nyingine basi tumbie labda naweza kukuelewa where you are coming from Kinachotakiwa CCM na wezee wakiri makosa waombe msamaha.

Sio Msekwa aseme ni Mkapa mkapa asema ni malechela malechela aseme ni Kikwete. No No no.

achana naye. Hana point ndio maana anang'ang'ania sahihi! Anadhani kama babake hakuweka sahihi basi ina maana hakugusa hizo pesa! Hii ndio thinking ya ccm! Wanadhani sisi bado wajinga!
 
Slaa is just another thug

Ningekubaliana na wewe kama ningekua na mimi nafaidi utajiri wa nchi yangu. Lakini naona facts ziko against me kufikiri kama wewe unavyofikiri, Infact watanzania wengi wamechoka kufikiri kama wewe sababu ya reality i.e. We have the resources but we can not get access to those resources. That means; "some people, somewhere are enjoying on our behalf"
 
Dr. Slaa nakukubali siku zote lakini kwenye hili umefanya makosa makubwa.

Sasa hivi mipango ya EL & Rostam ni kuwahusisha watu wengi kuwa ni mafisadi ili iwe vigumu wao kutoswa rasmi. Ingekuwa vizuri Chadema wasubiri kwanza vita kubwa inayokuja kati ya EL, RA & Chenge against CCM. Hapo Chadema wanachotakiwa kufanya ni kusubiri, ili NEC ikiwatosa hao watu rasmi, ndio sasa Chadema waseme wapelekwe mahakamani, wafukuzwe ubunge nk kama hoja ya msingi.

Unapoanza kugroup watu kama kina Magufuli, Malecela, JK na hawa Mafisadi papa, unacheza mchezo unaowafaidisha kina EL. Hata kama kina Mangula, Malecela wanamakosa madogo, lakini sio Mafisadi POINT BLANK.

This is a War, lazima kuwe na mipango inayoona mbali.

Sasa hivi ni kuwaisolate kwanza EL, RA, Chenge ili wao watumie pesa zao kuvunja CCM, na chadema wao itakuwa rahisi kuingia uko mbele na ndio uanze kuleta vioja mbalimbali.

Duh! umeua! nilifikiri ni mimi tu nawaza tofauti kumbe wengi wameona hiyo blunder
 
Ningekubaliana na wewe kama ningekua na mimi nafaidi utajiri wa nchi yangu. Lakini naona facts ziko against me kufikiri kama wewe unavyofikiri, Infact watanzania wengi wamechoka kufikiri kama wewe sababu ya reality i.e. We have the resources but we can not get access to those resources. That means; "some people, somewhere are enjoying on our behalf"

Which reality? your thug is earning about more than 12 millions.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom