Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
German au Spain.unahisi ni taifa gani litaibuka kidedea tofauti na Brazil?
German au Spain.unahisi ni taifa gani litaibuka kidedea tofauti na Brazil?
Mkuu taja nchi na siku.unajua atako nchi gani? na itakua lini
Aisee.mi natabiri hivi huyo mchezaji atapata ugonjwa wa moyo ndio lakini atapatiwa matababu ya haraka na atarejewa na fahamu zake..kwa ufupi ni kwamba hatakufa.
German au Spain.
Mkuu taja nchi na siku.
mi natabiri ghana kufika nusu fainali
Mfungaji wa goli la kwanza kwenye michuano hii ni Mario Manzukic.
Utabiri wako uko njiani kubuma.brazil 2-1 croatiaMwenyeji brazili kufungwa mechi ya kwanza
brazil imeshinda ndio.magoli yamebumacor 1 bra 2