zanzibar wapo kombe gani la dunia?la kucheza mpira wa miguu au la kula urojo?Zanzibar watavuka hatua ya makundi,
uingereza watachukua ubingwa
Vipi naruhusika kutabiri sasa hivi
england itatolewa kwenye hatua ya makundiTabiri tu hamna shida ila usitabiri tukio ambalo lishatokea!lol
m nawaona wahaolanz wakivuka hatua ya makund.brazil watadraw mech yao ijayo.
Hapa ulitisha kwa asilimia nyingiUholanzi,Ujerumani,Italia na Brazil wataingia Nusu Fainali