Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,534
- 32,757
Fainali itakuwa argntna vs germany
Chele 2 v austelia 1
Bantu lady nilikuaminia jana.shabiki acha roho ya korosho basi, mimi nilitabiri saa 1 usiku, mpira tukaona kuanzia saa 5 ya usiku. Sasa wewe utasemaje ilikuwa baada ya mechi? hivi unajua kusoma muda vizuri? nina mashaka nawewe kaka
utabiri huu ushabuma game haijaisha,half time chile 2-1 australiachile 1 2 australia ni hayo 2
Bantu lady nilikuaminia jana.
Chele 2 v austelia 1
German au Spain.
Brazil hatoki round ya kwanza hata kwa greda. Hii imekaa kisiasa zaidi. Fuatilia mivutano inayoendelea sasa hivi huko Brazil kuhusu kombe la dunia utaelewa.Brazil ataondolewa kwenye makundi
Gana atavuka round ya kwanza
Ureno watacheza nusu fainal
Ujerumani watasuasua lakini watacheza fainal
Brazir Atavuka Makundi Lakin Hafikimbali
belgij Anafika Nusu Fainal Ikitokea Ghana Kavuka Makund Bac Anafika Nusu Final.mess Na Neymer Watang'aa Kuliko Ronaldo
Mmh hii gem mkuu bado hapaelewek apa...si wao c cc