Kuuza migodi mitatu kwa dola milion 630: Je, ni reincarnation ya Chifu Mangungo wa Msovero?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Tumewekwa busy na ushindi wa yanga kutinga nusu fainali na SIMBA kuishia robo fainali.. Hizo ndio trending mada kwa sasa.. Lakini la kuuzwa migodi yetu yenye madini adimu duniani kwa mikataba kama ile aliyoingia chifu Mangungo wa Msevoro sio habari tena

Chief Mangungo wa Msovero ni nani?

HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.

Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Mjerumani. Ni mmojawapo ya aina ya ile mikataba iliyofanywa kwa hila na Mjerumani Dk. Karl Peters dhidi ya watawala wa Kiafrika ambayo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuitishwa kwa Mkutano wa Kuligawa Bara la Afrika mwaka 1884-1885 kule Berlin na kuanza kwa ukoloni barani humu.

Mkutano huo ambao pia unafahamika kama Congo Conference ulifanyika siku ya Jumamosi, Novemba 15, 1884 katika makazi rasmi ya Chancellor Otto von Bismarck huko Wilhelmstrasse.

Mataifa 14 yaliyohusika na mkutano huo muhimu yalikuwa Muungano wa Austria-Hungary, Ubelgiji, Denmark, Ufaransa, Dola ya Ujerumani yenyewe, Italia, Uholanzi, Dola ya Ottoman (Uturuki ya sasa), Ureno, Russia, Hispania, Muungano wa Sweden-Norway, Uingereza na Marekani.

Bismarck alikubali kuwa mwenyekiti. Mwakilishi wa Uingereza alikuwa Sir Edward Malet (Balozi wa Uingereza katika Dola ya Ujerumani). Henry Morton Stanley alihudhuria kama mwakilishi wa Marekani.

Akitumia ‘ujinga’ wa watawala wetu wa jadi ambao hawakujua kusoma wala kuandika, achilia mbali kuijua lugha ya Kijerumani, Karl Peters alitumia hila na kuwasainisha mikataba ya kilaghai ambapo bila wenyewe kuelewa, walijikuta wakimkabidhi, kwa niaba ya Ujerumani, himaya zao zote na wao wakawa watawaliwa.

Ni mkataba wa ulaghai ambao umekuwa ukipigiwa mfano zaidi nchini Tanzania. Mkataba kati ya Karl Peters na Chifu Mangungo wa Usagara huko Msovero, Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.

Vizawadi vidogo vidogo na hila nyingi, huku akitumia watumishi wake Waafrika ‘kutafsiri’ Kijerumani – ambacho pia hawakukijua – viliweza kumfanya Karl Peters amrubuni Chifu Mangungo aisalimishe himaya yake yote kwa Wajerumani bila kutambua.

Karl Peters, akiwa na miaka 28 tu wakati huo, na rafiki zake Dk. Karl Juhlke, Pfeil na August Otto waliondoka Ujerumani mwezi Septemba 1884. Walisafiri wakijifanya mafundi makenika huku wakitumia majina ya bandia hadi walipoingia Zanzibar ambako waliwasili Novemba 4, 1884. Baadaye wakavuka kuingia bara. Waliondoka Sadani mnamo Novemba 10 wakiwa na wapagazi 36.

Wakasafiri hadi Uzigua (ambako walimsainisha mkataba wa kwanza kabisa wa kilaghai Chifu Mbwela wa Wazigua) wakipitia Mto Wami hadi kuingia Uluguru, ambako kote walifanya mikataba ya ulaghai (bogus treaties) katika kila walikopitia. Chifu Mangungo wa Msowero katika Usagara mara nyingi ndiye anayetajwa kwenye mikataba hiyo ya kilaghai.

Mkataba wa ulaghai baina ya Karl Peters na Mangungo, ambao ndio maarufu unasomeka hivi kwa Kiingereza:

Mangungo, Sultan of Msovero in Mwenyisagara, and Dr. Karl Peters. Mangungo simultaneously for all his people and Dr. Peters for alt his present and future associates hereby concluded a treaty of Eternal Friendship.

Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.

Dr. Karl Peters, in the name of the Society for German Colonization declares his willingness to take over the territory of the Sultan Mangungo with all rights for German Colonization subject to any existing suzerainty of Mwenyi Sagara.

In pursuance thereof, Sultan Mangungo hereby cedes all the territory of Msovero, belonging to him by inheritance or otherwise for all time, to Dr. Karl Peters, making over to him at the same time all his rights.

Dr. Karl Peters in the name of the Society for German Colonization undertakes to give special attention to Msovero when colonizing Usagara.

This treaty has been communicated to the Sultan Mangungo by the interpreter Ramzan in a clear manner and has been signed by both sides, with the observation of the formalities valid in Usagara the Sultan on direct enquiry having declared that he was not in anyway dependent upon the Sultan of Zanzibar, and that he did not even know the existence of the latter.

Sgd. Dr. KARL PETERS
Sgd. MANGUNGO

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);

Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);

Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);

Graf Pfeil August Otto;

Mark of the intepreter Ramazan etc.

Dr. Karl Juhlke.

Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:

Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO

Mkataba huu umefanyika kihalali kabisa na umehuishwa kwa nyakati zote mbele za mashahidi wengi, ambao tunakiri hapa:
Kwagakinga (dole gumba);
Golola mtoto wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Draman mtoto wa pili wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Graf Pfeil August Otto.

Dole gumba la mkalimani Ramazan etc.

Dk. Karl Juhlke.

Msovero Usagara Novemba 29, 1884.

Hii ndiyo ilikuwa aina ya mikataba ambayo Karl Peters aliisaini na watawala wa jadi. Ni ukweli ulio wazi kwamba Chifu Mangungo, na kwa kiongozi yeyote wa Kiafrika kwa maana hiyo, angeweza kuingia mkenge na kuiachia ardhi yake na mamlaka yake kwa mgeni laghai kama Karl Peters.

Ni dhahiri kwamba Mangungo hakujua kusoma wala kuandika Kijerumani. Inaonekana pia kupitia kwenye maelezo ya mkataba kwamba mkalimani mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika kabisa.

Kwa gharama yoyote ile, ikumbukwe kwamba Ramazan alikuwa ameajiriwa na Karl Peters na alitakiwa kufuata maelekezo yake.

Karl Peters aliwasili Ujerumani Februari 7, 1885 akiwa na lundo la mikataba. Peters alitumia mikataba hiyo kupata kibali maalum - Schutzbrief – ili kutambuliwa kwa madai yake Februari 27, 1885.

Kwa maneno mengine, Otto von Bismarck, Chancellor mkuu wa Ujerumani wakati huo, alikuwa amebadili sera yake ya awali dhidi ya Ujerumani katika kutafuta makoloni.

Sina la kuongeza lakini ni wazi kwenye huu mkataba chief Mangungo wa Msovero amerudi tena.

Screenshots_2023-05-01-08-17-04.jpg
 
Common denominator hapo ni Uislamu, Sultani Mangungo alikuwa ni Muislamu.
Christianity (Western) umejenga Dunia na kuondoa mabilioni ya watu out of poverty, Dunia ya leo ukitaka kuendelea lazima ufwate Christianity(Western) economic system, China wanafwata, Japan walifwata hata Waarabu wa Emirate na Saudia wanafwata Western christian economic system na ndio maana wamefanikiwa tofauti na Chad, Mali, Somalia, Sudani au Tanzania na Zanzibar na Comoro ambapo usanii na incompetence umetamalaki kila mahali nchi yote imegeuka ya uchuuzi tu hakuna productivity yoyote zaidi ya utapeli, wizi, fitina na majungu!
 
Christianity (Western) umejenga Dunia na kuondoa mabilioni ya watu out of poverty, Dunia ya leo ukitaka kuendelea lazima ufwate Christianity(Western) economic system, China wanafwata, Japan walifwata hata Waarabu wa Emirate na Saudia wanafwata Western christian economic system na ndio maana wamefanikiwa tofauti na Chad, Mali, Somalia, Sudani au Tanzania na Zanzibar na Comoro ambapo usanii na incompetence umetamalaki kila mahali ncho yote imegeuka ya uchuuzi tu hakuna productivity yoyote zaidi ya wizi, utapeli na majungu!
Common denominator hapo ni Uislamu, Sultani Mangungo alikuwa ni Muislamu.
 
AFADHALI CHIFU MANGUNGO ALISAINI HUKU HAJUI KUSOMA NA KUANDIKA NA ALIKUWA NA UZALENDO NA ANGEJUA ASINGESAINI

YULE MWINGINE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA ILA HANA UZALENDO NA NI MNAFIKI SANA NA HAKUBALIKI NA WATU
 
Halafu kumbe ni 667milion dollars
 
Tumewekwa busy na ushindi wa yanga kutinga nusu fainali na SIMBA kuishia robo fainali.. Hizo ndio trending mada kwa sasa.. Lakini la kuuzwa migodi yetu yenye madini adimu duniani kwa mikataba kama ile aliyoingia chifu Mangungo wa Msevoro sio habari tena

Chief Mangungo wa Msovero ni nani?

HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.

Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Mjerumani. Ni mmojawapo ya aina ya ile mikataba iliyofanywa kwa hila na Mjerumani Dk. Karl Peters dhidi ya watawala wa Kiafrika ambayo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuitishwa kwa Mkutano wa Kuligawa Bara la Afrika mwaka 1884-1885 kule Berlin na kuanza kwa ukoloni barani humu.

Mkutano huo ambao pia unafahamika kama Congo Conference ulifanyika siku ya Jumamosi, Novemba 15, 1884 katika makazi rasmi ya Chancellor Otto von Bismarck huko Wilhelmstrasse.

Mataifa 14 yaliyohusika na mkutano huo muhimu yalikuwa Muungano wa Austria-Hungary, Ubelgiji, Denmark, Ufaransa, Dola ya Ujerumani yenyewe, Italia, Uholanzi, Dola ya Ottoman (Uturuki ya sasa), Ureno, Russia, Hispania, Muungano wa Sweden-Norway, Uingereza na Marekani.

Bismarck alikubali kuwa mwenyekiti. Mwakilishi wa Uingereza alikuwa Sir Edward Malet (Balozi wa Uingereza katika Dola ya Ujerumani). Henry Morton Stanley alihudhuria kama mwakilishi wa Marekani.

Akitumia ‘ujinga’ wa watawala wetu wa jadi ambao hawakujua kusoma wala kuandika, achilia mbali kuijua lugha ya Kijerumani, Karl Peters alitumia hila na kuwasainisha mikataba ya kilaghai ambapo bila wenyewe kuelewa, walijikuta wakimkabidhi, kwa niaba ya Ujerumani, himaya zao zote na wao wakawa watawaliwa.

Ni mkataba wa ulaghai ambao umekuwa ukipigiwa mfano zaidi nchini Tanzania. Mkataba kati ya Karl Peters na Chifu Mangungo wa Usagara huko Msovero, Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.

Vizawadi vidogo vidogo na hila nyingi, huku akitumia watumishi wake Waafrika ‘kutafsiri’ Kijerumani – ambacho pia hawakukijua – viliweza kumfanya Karl Peters amrubuni Chifu Mangungo aisalimishe himaya yake yote kwa Wajerumani bila kutambua.

Karl Peters, akiwa na miaka 28 tu wakati huo, na rafiki zake Dk. Karl Juhlke, Pfeil na August Otto waliondoka Ujerumani mwezi Septemba 1884. Walisafiri wakijifanya mafundi makenika huku wakitumia majina ya bandia hadi walipoingia Zanzibar ambako waliwasili Novemba 4, 1884. Baadaye wakavuka kuingia bara. Waliondoka Sadani mnamo Novemba 10 wakiwa na wapagazi 36.

Wakasafiri hadi Uzigua (ambako walimsainisha mkataba wa kwanza kabisa wa kilaghai Chifu Mbwela wa Wazigua) wakipitia Mto Wami hadi kuingia Uluguru, ambako kote walifanya mikataba ya ulaghai (bogus treaties) katika kila walikopitia. Chifu Mangungo wa Msowero katika Usagara mara nyingi ndiye anayetajwa kwenye mikataba hiyo ya kilaghai.

Mkataba wa ulaghai baina ya Karl Peters na Mangungo, ambao ndio maarufu unasomeka hivi kwa Kiingereza:

Mangungo, Sultan of Msovero in Mwenyisagara, and Dr. Karl Peters. Mangungo simultaneously for all his people and Dr. Peters for alt his present and future associates hereby concluded a treaty of Eternal Friendship.

Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.

Dr. Karl Peters, in the name of the Society for German Colonization declares his willingness to take over the territory of the Sultan Mangungo with all rights for German Colonization subject to any existing suzerainty of Mwenyi Sagara.

In pursuance thereof, Sultan Mangungo hereby cedes all the territory of Msovero, belonging to him by inheritance or otherwise for all time, to Dr. Karl Peters, making over to him at the same time all his rights.

Dr. Karl Peters in the name of the Society for German Colonization undertakes to give special attention to Msovero when colonizing Usagara.

This treaty has been communicated to the Sultan Mangungo by the interpreter Ramzan in a clear manner and has been signed by both sides, with the observation of the formalities valid in Usagara the Sultan on direct enquiry having declared that he was not in anyway dependent upon the Sultan of Zanzibar, and that he did not even know the existence of the latter.

Sgd. Dr. KARL PETERS
Sgd. MANGUNGO

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);

Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);

Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);

Graf Pfeil August Otto;

Mark of the intepreter Ramazan etc.

Dr. Karl Juhlke.

Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:

Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO

Mkataba huu umefanyika kihalali kabisa na umehuishwa kwa nyakati zote mbele za mashahidi wengi, ambao tunakiri hapa:
Kwagakinga (dole gumba);
Golola mtoto wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Draman mtoto wa pili wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Graf Pfeil August Otto.

Dole gumba la mkalimani Ramazan etc.

Dk. Karl Juhlke.

Msovero Usagara Novemba 29, 1884.

Hii ndiyo ilikuwa aina ya mikataba ambayo Karl Peters aliisaini na watawala wa jadi. Ni ukweli ulio wazi kwamba Chifu Mangungo, na kwa kiongozi yeyote wa Kiafrika kwa maana hiyo, angeweza kuingia mkenge na kuiachia ardhi yake na mamlaka yake kwa mgeni laghai kama Karl Peters.

Ni dhahiri kwamba Mangungo hakujua kusoma wala kuandika Kijerumani. Inaonekana pia kupitia kwenye maelezo ya mkataba kwamba mkalimani mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika kabisa.

Kwa gharama yoyote ile, ikumbukwe kwamba Ramazan alikuwa ameajiriwa na Karl Peters na alitakiwa kufuata maelekezo yake.

Karl Peters aliwasili Ujerumani Februari 7, 1885 akiwa na lundo la mikataba. Peters alitumia mikataba hiyo kupata kibali maalum - Schutzbrief – ili kutambuliwa kwa madai yake Februari 27, 1885.

Kwa maneno mengine, Otto von Bismarck, Chancellor mkuu wa Ujerumani wakati huo, alikuwa amebadili sera yake ya awali dhidi ya Ujerumani katika kutafuta makoloni.

Sina la kuongeza lakini ni wazi kwenye huu mkataba chief Mangungo wa Msovero amerudi tena.

View attachment 2605737
Sasa unalalamika nini?mala kwa mala umnasema kuwa wazungu ni watu wazuli wanatupenda ss watu weusi hawatubagui,mkisema waarabu ndio wabaya wetu leo vipi tena?
 
CHADEMA ndio wanaililia nchi kwa sasa,lakini mlimpinga mwenda zake kukataa urafiki na hawa walaghai mmeona sasa na bado mtaona mengi sana,hakuna safari za Magharibi zililiacha Taifa salama.
 
Ach
Common denominator hapo ni Uislamu, Sultani Mangungo alikuwa ni Muislamu.
Christianity (Western) umejenga Dunia na kuondoa mabilioni ya watu out of poverty, Dunia ya leo ukitaka kuendelea lazima ufwate Christianity(Western) economic system, China wanafwata, Japan walifwata hata Waarabu wa Emirate na Saudia wanafwata Western christian economic system na ndio maana wamefanikiwa tofauti na Chad, Mali, Somalia, Sudani au Tanzania na Zanzibar na Comoro ambapo usanii na incompetence umetamalaki kila mahali nchi yote imegeuka ya uchuuzi tu hakuna productivity yoyote zaidi ya utapeli, wizi, fitina na majungu!
Acha chuki za udini,kwa kina kwame Nkurumah hawakupigwa ulaghai wakatawaliwa?
 
Sasa unalalamika nini?mala kwa mala umnasema kuwa wazungu ni watu wazuli wanatupenda ss watu weusi hawatubagui,mkisema waarabu ndio wabaya wetu leo vipi tena?
Magufuli(Marehemu) walimpinga sana leo wanaanza kulia lia, ukikubali kuolewa sharti ukabali kulala uchi.
 
Ach

Acha chuki za udini,kwa kina kwame Nkurumah hawakupigwa ulaghai wakatawaliwa?

Tofautisha kati ya chuki na ukweli, ukweli ni kwamba Uchumi wa Dunia unafwata christian (Western) na nchi zote zilizoendelea na zinazofanikiwa kiuchumi leo hii zinafwata Western christian economic system, au unafikiri Emirate na Saudia wanafwata Islamic economic sytem? Unafikiri China, Korea au hata Japan wanafwata Budhism? Labda nikuulize kwa nini Dunia nzima wanasherehekea New Year ya kikristu (western) ambapo ni wiki moja baada ya Christmas ambayo ni sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Masiha Yesu Kristu? Kuanzia Saudia, Emirate mpaka China na Japan wote wanasherehekea New Year inayofwata Gregorian Calender kwa nini unafikiri?

Kwa nini mwaka mpya wa Kiislamu hausherehekewi au Mwaka mpya wa Budhism huko China? Hivyo kabla ya kuweka neno chuki angalia facts kwanza, …
 
Tumewekwa busy na ushindi wa yanga kutinga nusu fainali na SIMBA kuishia robo fainali.. Hizo ndio trending mada kwa sasa.. Lakini la kuuzwa migodi yetu yenye madini adimu duniani kwa mikataba kama ile aliyoingia chifu Mangungo wa Msevoro sio habari tena

Chief Mangungo wa Msovero ni nani?

HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.

Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Mjerumani. Ni mmojawapo ya aina ya ile mikataba iliyofanywa kwa hila na Mjerumani Dk. Karl Peters dhidi ya watawala wa Kiafrika ambayo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuitishwa kwa Mkutano wa Kuligawa Bara la Afrika mwaka 1884-1885 kule Berlin na kuanza kwa ukoloni barani humu.

Mkutano huo ambao pia unafahamika kama Congo Conference ulifanyika siku ya Jumamosi, Novemba 15, 1884 katika makazi rasmi ya Chancellor Otto von Bismarck huko Wilhelmstrasse.

Mataifa 14 yaliyohusika na mkutano huo muhimu yalikuwa Muungano wa Austria-Hungary, Ubelgiji, Denmark, Ufaransa, Dola ya Ujerumani yenyewe, Italia, Uholanzi, Dola ya Ottoman (Uturuki ya sasa), Ureno, Russia, Hispania, Muungano wa Sweden-Norway, Uingereza na Marekani.

Bismarck alikubali kuwa mwenyekiti. Mwakilishi wa Uingereza alikuwa Sir Edward Malet (Balozi wa Uingereza katika Dola ya Ujerumani). Henry Morton Stanley alihudhuria kama mwakilishi wa Marekani.

Akitumia ‘ujinga’ wa watawala wetu wa jadi ambao hawakujua kusoma wala kuandika, achilia mbali kuijua lugha ya Kijerumani, Karl Peters alitumia hila na kuwasainisha mikataba ya kilaghai ambapo bila wenyewe kuelewa, walijikuta wakimkabidhi, kwa niaba ya Ujerumani, himaya zao zote na wao wakawa watawaliwa.

Ni mkataba wa ulaghai ambao umekuwa ukipigiwa mfano zaidi nchini Tanzania. Mkataba kati ya Karl Peters na Chifu Mangungo wa Usagara huko Msovero, Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.

Vizawadi vidogo vidogo na hila nyingi, huku akitumia watumishi wake Waafrika ‘kutafsiri’ Kijerumani – ambacho pia hawakukijua – viliweza kumfanya Karl Peters amrubuni Chifu Mangungo aisalimishe himaya yake yote kwa Wajerumani bila kutambua.

Karl Peters, akiwa na miaka 28 tu wakati huo, na rafiki zake Dk. Karl Juhlke, Pfeil na August Otto waliondoka Ujerumani mwezi Septemba 1884. Walisafiri wakijifanya mafundi makenika huku wakitumia majina ya bandia hadi walipoingia Zanzibar ambako waliwasili Novemba 4, 1884. Baadaye wakavuka kuingia bara. Waliondoka Sadani mnamo Novemba 10 wakiwa na wapagazi 36.

Wakasafiri hadi Uzigua (ambako walimsainisha mkataba wa kwanza kabisa wa kilaghai Chifu Mbwela wa Wazigua) wakipitia Mto Wami hadi kuingia Uluguru, ambako kote walifanya mikataba ya ulaghai (bogus treaties) katika kila walikopitia. Chifu Mangungo wa Msowero katika Usagara mara nyingi ndiye anayetajwa kwenye mikataba hiyo ya kilaghai.

Mkataba wa ulaghai baina ya Karl Peters na Mangungo, ambao ndio maarufu unasomeka hivi kwa Kiingereza:

Mangungo, Sultan of Msovero in Mwenyisagara, and Dr. Karl Peters. Mangungo simultaneously for all his people and Dr. Peters for alt his present and future associates hereby concluded a treaty of Eternal Friendship.

Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.

Dr. Karl Peters, in the name of the Society for German Colonization declares his willingness to take over the territory of the Sultan Mangungo with all rights for German Colonization subject to any existing suzerainty of Mwenyi Sagara.

In pursuance thereof, Sultan Mangungo hereby cedes all the territory of Msovero, belonging to him by inheritance or otherwise for all time, to Dr. Karl Peters, making over to him at the same time all his rights.

Dr. Karl Peters in the name of the Society for German Colonization undertakes to give special attention to Msovero when colonizing Usagara.

This treaty has been communicated to the Sultan Mangungo by the interpreter Ramzan in a clear manner and has been signed by both sides, with the observation of the formalities valid in Usagara the Sultan on direct enquiry having declared that he was not in anyway dependent upon the Sultan of Zanzibar, and that he did not even know the existence of the latter.

Sgd. Dr. KARL PETERS
Sgd. MANGUNGO

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);

Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);

Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);

Graf Pfeil August Otto;

Mark of the intepreter Ramazan etc.

Dr. Karl Juhlke.

Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:

Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO

Mkataba huu umefanyika kihalali kabisa na umehuishwa kwa nyakati zote mbele za mashahidi wengi, ambao tunakiri hapa:
Kwagakinga (dole gumba);
Golola mtoto wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Draman mtoto wa pili wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Graf Pfeil August Otto.

Dole gumba la mkalimani Ramazan etc.

Dk. Karl Juhlke.

Msovero Usagara Novemba 29, 1884.

Hii ndiyo ilikuwa aina ya mikataba ambayo Karl Peters aliisaini na watawala wa jadi. Ni ukweli ulio wazi kwamba Chifu Mangungo, na kwa kiongozi yeyote wa Kiafrika kwa maana hiyo, angeweza kuingia mkenge na kuiachia ardhi yake na mamlaka yake kwa mgeni laghai kama Karl Peters.

Ni dhahiri kwamba Mangungo hakujua kusoma wala kuandika Kijerumani. Inaonekana pia kupitia kwenye maelezo ya mkataba kwamba mkalimani mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika kabisa.

Kwa gharama yoyote ile, ikumbukwe kwamba Ramazan alikuwa ameajiriwa na Karl Peters na alitakiwa kufuata maelekezo yake.

Karl Peters aliwasili Ujerumani Februari 7, 1885 akiwa na lundo la mikataba. Peters alitumia mikataba hiyo kupata kibali maalum - Schutzbrief – ili kutambuliwa kwa madai yake Februari 27, 1885.

Kwa maneno mengine, Otto von Bismarck, Chancellor mkuu wa Ujerumani wakati huo, alikuwa amebadili sera yake ya awali dhidi ya Ujerumani katika kutafuta makoloni.

Sina la kuongeza lakini ni wazi kwenye huu mkataba chief Mangungo wa Msovero amerudi tena.

View attachment 2605737
Unataka kuniharibia sikuu yetu sisi wafanyakazi , mimi hata sisomi sitaki kuharibu siku

USSR
 
Sasa unalalamika nini?mala kwa mala umnasema kuwa wazungu ni watu wazuli wanatupenda ss watu weusi hawatubagui,mkisema waarabu ndio wabaya wetu leo vipi tena?
Hebu nikumbushe wapi niliwahi kusema wazungu ni watu wazuri
 
CHADEMA ndio wanaililia nchi kwa sasa,lakini mlimpinga mwenda zake kukataa urafiki na hawa walaghai mmeona sasa na bado mtaona mengi sana,hakuna safari za Magharibi zililiacha Taifa salama.
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana sijui leo hii nchi ingekuwa kwenye hali gani.. Maana hizo kesi za madai na fidia kimataifa zilizosababishwa na ubabe wake zitaikamua nchi si kidogo
 
Akitumia ‘ujinga’ wa watawala wetu wa jadi ambao hawakujua kusoma wala kuandika, achilia mbali kuijua lugha ya Kijerumani, Karl Peters alitumia hila na kuwasainisha mikataba ya kilaghai ambapo bila wenyewe kuelewa, walijikuta wakimkabidhi, kwa niaba ya Ujerumani, himaya zao zote na wao wakawa watawaliwa.
 
Tabia inapohama kutoka kizazi kimoja kwenda kingine huwa inajizidisha mara kadhaa,
Kama Baba alikuwa mdokozi usishangae Mtoto wake au mjukuu wake kuwa jambazi.
...................................................
Sawa Chifu Mangungo alikosea ila kitukuu chake usishangae kikikosea zaidi.
Mangungo laid the foundation........
 
Tumewekwa busy na ushindi wa yanga kutinga nusu fainali na SIMBA kuishia robo fainali.. Hizo ndio trending mada kwa sasa.. Lakini la kuuzwa migodi yetu yenye madini adimu duniani kwa mikataba kama ile aliyoingia chifu Mangungo wa Msevoro sio habari tena

Chief Mangungo wa Msovero ni nani?

HUU DIO MKATABA WA KARL PETERS NA CHIEF MANGUNGO ULITUFANYA TUNAWEKWA CHINI YA MJERUMANI.

Ni MKATABA ambao umekuwa maarufu linapokuja suala la mikataba ya ULAGHAI ambayo iliiweka ardhi ya Tanganyika chini ya ukoloni wa Mjerumani. Ni mmojawapo ya aina ya ile mikataba iliyofanywa kwa hila na Mjerumani Dk. Karl Peters dhidi ya watawala wa Kiafrika ambayo ndiyo ilikuwa mwanzo wa kuitishwa kwa Mkutano wa Kuligawa Bara la Afrika mwaka 1884-1885 kule Berlin na kuanza kwa ukoloni barani humu.

Mkutano huo ambao pia unafahamika kama Congo Conference ulifanyika siku ya Jumamosi, Novemba 15, 1884 katika makazi rasmi ya Chancellor Otto von Bismarck huko Wilhelmstrasse.

Mataifa 14 yaliyohusika na mkutano huo muhimu yalikuwa Muungano wa Austria-Hungary, Ubelgiji, Denmark, Ufaransa, Dola ya Ujerumani yenyewe, Italia, Uholanzi, Dola ya Ottoman (Uturuki ya sasa), Ureno, Russia, Hispania, Muungano wa Sweden-Norway, Uingereza na Marekani.

Bismarck alikubali kuwa mwenyekiti. Mwakilishi wa Uingereza alikuwa Sir Edward Malet (Balozi wa Uingereza katika Dola ya Ujerumani). Henry Morton Stanley alihudhuria kama mwakilishi wa Marekani.

Akitumia ‘ujinga’ wa watawala wetu wa jadi ambao hawakujua kusoma wala kuandika, achilia mbali kuijua lugha ya Kijerumani, Karl Peters alitumia hila na kuwasainisha mikataba ya kilaghai ambapo bila wenyewe kuelewa, walijikuta wakimkabidhi, kwa niaba ya Ujerumani, himaya zao zote na wao wakawa watawaliwa.

Ni mkataba wa ulaghai ambao umekuwa ukipigiwa mfano zaidi nchini Tanzania. Mkataba kati ya Karl Peters na Chifu Mangungo wa Usagara huko Msovero, Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro.

Vizawadi vidogo vidogo na hila nyingi, huku akitumia watumishi wake Waafrika ‘kutafsiri’ Kijerumani – ambacho pia hawakukijua – viliweza kumfanya Karl Peters amrubuni Chifu Mangungo aisalimishe himaya yake yote kwa Wajerumani bila kutambua.

Karl Peters, akiwa na miaka 28 tu wakati huo, na rafiki zake Dk. Karl Juhlke, Pfeil na August Otto waliondoka Ujerumani mwezi Septemba 1884. Walisafiri wakijifanya mafundi makenika huku wakitumia majina ya bandia hadi walipoingia Zanzibar ambako waliwasili Novemba 4, 1884. Baadaye wakavuka kuingia bara. Waliondoka Sadani mnamo Novemba 10 wakiwa na wapagazi 36.

Wakasafiri hadi Uzigua (ambako walimsainisha mkataba wa kwanza kabisa wa kilaghai Chifu Mbwela wa Wazigua) wakipitia Mto Wami hadi kuingia Uluguru, ambako kote walifanya mikataba ya ulaghai (bogus treaties) katika kila walikopitia. Chifu Mangungo wa Msowero katika Usagara mara nyingi ndiye anayetajwa kwenye mikataba hiyo ya kilaghai.

Mkataba wa ulaghai baina ya Karl Peters na Mangungo, ambao ndio maarufu unasomeka hivi kwa Kiingereza:

Mangungo, Sultan of Msovero in Mwenyisagara, and Dr. Karl Peters. Mangungo simultaneously for all his people and Dr. Peters for alt his present and future associates hereby concluded a treaty of Eternal Friendship.

Mangungo offers all his territory with all its civil appurtenances to Dr. Karl Peters, as the representative of the Society for German Colonization, for the exclusive and universal utilization for German colonization.

Dr. Karl Peters, in the name of the Society for German Colonization declares his willingness to take over the territory of the Sultan Mangungo with all rights for German Colonization subject to any existing suzerainty of Mwenyi Sagara.

In pursuance thereof, Sultan Mangungo hereby cedes all the territory of Msovero, belonging to him by inheritance or otherwise for all time, to Dr. Karl Peters, making over to him at the same time all his rights.

Dr. Karl Peters in the name of the Society for German Colonization undertakes to give special attention to Msovero when colonizing Usagara.

This treaty has been communicated to the Sultan Mangungo by the interpreter Ramzan in a clear manner and has been signed by both sides, with the observation of the formalities valid in Usagara the Sultan on direct enquiry having declared that he was not in anyway dependent upon the Sultan of Zanzibar, and that he did not even know the existence of the latter.

Sgd. Dr. KARL PETERS
Sgd. MANGUNGO

This contract has been executed legally and made valid for all time before a great number of witnesses, we testify herewith:
Kwagakinga (mark);

Sultan Mangungo’s son of Golola (mark);

Sultan Mangungo’s second son of Draman (mark);

Graf Pfeil August Otto;

Mark of the intepreter Ramazan etc.

Dr. Karl Juhlke.

Msovero Usagara November 29, 1884.

Kwa tafsiri isiyo rasmi, kwa Kiswahili unasomeka hivi:

Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa Urafiki wa Kudumu.

Mangungo amekubali kutoa himaya yake yote pamoja na watu wake na hadhi yake kwa Dk. Karl Peters, kama mwakilishi wa Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani (Society for German Colonization), kwa ajili ya matumizi ya moja kwa moja ya koloni la Kijerumani.

Dk. Karl Peters, kwa niaba ya jina la Umoja wa Ukoloni wa Ujermani anatangaza dhamira yake ya kuitwaa himaya yote ya Sultan Mangungo na haki zote kwa ajili ya Koloni la Ujerumani inayohusisha kila kona na amali za Mwenyi Sagara.

Katika kutekeleza hilo, Sultan Mangungo anakabidhi himaya yote ya Msovero, inayomilikiwa na yeye mwenyewe kwa urithi au kwa namna yoyote ile kwa nyakati zote, kwa Dk. Karl Peters, na wakati huo huo kumkabidhi haki zake zote.

Dk. Karl Peters kwa niaba ya Umoja wa Ukoloni wa Kijerumani anakusudia kuweka mkazo maalum kwa eneo la Msovero wakati wa kuitawala Usagara.

Mkataba huu umewasilishwa kwa Sultan Mangungo na mkalimani Ramzan katika dhana ya wazi kabisa na umesainiwa na pande zote, kwa kuzingatia taratibu zilizopo katika Usagara, Sultan baada ya kuhojiwa moja kwa moja alikiri kwamba hakuwa na ushirika ama kutegemea kwa namna yoyote Sultan wa Zanzibar, na kwamba hakuwa hata akimfahamu.

Imesainiwa. Dk. KARL PETERS
Imesainiwa. MANGUNGO

Mkataba huu umefanyika kihalali kabisa na umehuishwa kwa nyakati zote mbele za mashahidi wengi, ambao tunakiri hapa:
Kwagakinga (dole gumba);
Golola mtoto wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Draman mtoto wa pili wa Sultan Mangungo (dole gumba);
Graf Pfeil August Otto.

Dole gumba la mkalimani Ramazan etc.

Dk. Karl Juhlke.

Msovero Usagara Novemba 29, 1884.

Hii ndiyo ilikuwa aina ya mikataba ambayo Karl Peters aliisaini na watawala wa jadi. Ni ukweli ulio wazi kwamba Chifu Mangungo, na kwa kiongozi yeyote wa Kiafrika kwa maana hiyo, angeweza kuingia mkenge na kuiachia ardhi yake na mamlaka yake kwa mgeni laghai kama Karl Peters.

Ni dhahiri kwamba Mangungo hakujua kusoma wala kuandika Kijerumani. Inaonekana pia kupitia kwenye maelezo ya mkataba kwamba mkalimani mwenyewe hakujua kusoma wala kuandika kabisa.

Kwa gharama yoyote ile, ikumbukwe kwamba Ramazan alikuwa ameajiriwa na Karl Peters na alitakiwa kufuata maelekezo yake.

Karl Peters aliwasili Ujerumani Februari 7, 1885 akiwa na lundo la mikataba. Peters alitumia mikataba hiyo kupata kibali maalum - Schutzbrief – ili kutambuliwa kwa madai yake Februari 27, 1885.

Kwa maneno mengine, Otto von Bismarck, Chancellor mkuu wa Ujerumani wakati huo, alikuwa amebadili sera yake ya awali dhidi ya Ujerumani katika kutafuta makoloni.

Sina la kuongeza lakini ni wazi kwenye huu mkataba chief Mangungo wa Msovero amerudi tena.

View attachment 2605737
Mkuu mshanar!

Hata kama ungekua wewe kwenye kile kiti ungechagua mawili Kati ya haya!!

1.uwe mtata ugome kusaini na kushirikiana na mabeberu ufumue mkataba halafu ujitoe sadaka ufe!!!kama mzilankende muyango!

Au
2.Uibe ule na familia yako halafu uwadanganye WA z KWA spin za hapa na pale kama Ilivyo!

Ndio maana Bwana yule alisema amejitoa mhanga KWA AJILI ya watz alijua vita ile hatoshinda na ataishia kuonyesha njia tu!!!

Mimi nawaonea huruma viongozi wa kiafrika coz huiona meli ya afrika ikizama na hawana la kufanya!

Kuna kampuni mbili tu kubwa za wayahudi zinazo miliki vito vya THAMANI Duniani nazo ni De beers na Barrik hivyo vikampuni vingine ni sub company za hao jamaa yaani vinafuata baba zao!!!

Nyerere na dr. Williamson wanawajua SANA!!

Uhuru wa benders tuliopewa tukiingia mkataba wa kulinda mali zao zilizopo kwenye ardhi yetu Africa!!!

Jiulize mkapa alikuwa mjinga, nyerere alikua mjinga (kukubaliana na demokrasia na ubepari), mwinyi snr alikua mjinga!?na kikwete nae!!!? Na hutu mama unafikiri nae mjinga!!!?

Jpm aliekua mwerevu yuko wapi!!?

Mambo mengine TUWE tunakunywa maji siku ziende,

Labda hizo faida zinazopatikana walau KWA uchache tungegawana walau KWA usawa KWA wote na hilo lilipaswa kusimamiwa na jamhuri na sio na chama na mwenyekiti wake kama ilivyo SASA!!!

Hivyo TU mkuu!!
 
Tofautisha kati ya chuki na ukweli, ukweli ni kwamba Uchumi wa Dunia unafwata christian (Western) na nchi zote zilizoendelea na zinazofanikiwa kiuchumi leo hii zinafwata Western christian economic system, au unafikiri Emirate na Saudia wanafwata Islamic economic sytem? Unafikiri China, Korea au hata Japan wanafwata Budhism? Labda nikuulize kwa nini Dunia nzima wanasherehekea New Year ya kikristu (western) ambapo ni wiki moja baada ya Christmas ambayo ni sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa Masiha Yesu Kristu? Kuanzia Saudia, Emirate mpaka China na Japan wote wanasherehekea New Year inayofwata Gregorian Calender kwa nini unafikiri?

Kwa nini mwaka mpya wa Kiislamu hausherehekewi au Mwaka mpya wa Budhism huko China? Hivyo kabla ya kuweka neno chuki angalia facts kwanza, …
Acha uongo wewe,Mfumo wa Dini ya kiislamu ndio baba wa maendeleo Duniani kote,katika tawala zote ambazo uislamu ulishika Dola zilikuwa imara kiuchumi na maendeleo pia,hujui kitu kuhusu uislamu ni bora utulie kimya na sio kuja kuleta chuki binafsi.
 
Mungu aliamua ugomvi mkubwa sana sijui leo hii nchi ingekuwa kwenye hali gani.. Maana hizo kesi za madai na fidia kimataifa zilizosababishwa na ubabe wake zitaikamua nchi si kidogo
Kwa hiyo kwa sasa hakuna madeni,wizi na janja janja ?
 
Back
Top Bottom