Tabiri matukio magumu kutokea world cup 2014

Tabiri matukio magumu kutokea world cup 2014

Mfungaji wa goli la kwanza kwenye michuano hii ni Mario Manzukic, lakini nasisitiza Africa mwaka huu tuna chukua ubingwa. Nani anabisha?
 
algeria itatutoa kimasomaso waafrika

uruguay na belgium zitaishangaza dunia

welbeck atakuwa mfungaji bora

msitarajie jipya kutoka kwa messi kwani atapwaya sana

hapo pekundu ikitokea basi kwa uhakika utakuwa umetabiri vema utabiri mgumu kabisa,messi namchukia tangia ana miaka 16 aliifunga ghana world cup ya watoto kisha "akatunyasanyasa" sisi manchester ktk fainali mbili hamu naye sina kabisa!avurunde tuuuu
 
Mleta uzi ameomba tutupie matukio magumu kutokea world cup 2014 huko Brazil, ni kama vile wakuu wanatupia matukio rahisi kutokea huko Brazil; mie natupia langu sasa:

Brazi kutolewa mpema.

Hili ni tukio gumu sana kutokea, endapo litatokea basi nitaacha kufutilia World Cup yote tangu Brazil itolewe.
 
Wasalaam wana sport?

Tunapo elekea kwenye ufunguzi wa kombe la dunia Mengi yametabiriwa je yatatimia?
Angalia yafuatayo!

1:Hakuna timu kutoka Africa hitakayo vuka hatua ya makundi?

2: Christiano Ronaldo kutofunga goli hata moja kwenye michuano hii?

3. Mess kung'ara kwenye michuano hii?

4:Timu ya Brazil kutolewa hatua ya nusu fainali?

5:Timu moja kutoka Ulaya kuchukua kombe hili?

6:Kutatokea vurugu ambazo zitapelekea makabiliano makali kati ya Polisi na waandamanaji na kupeleKea watu kuuwawa.

7..........

8::::::

NB: Utabiri huu si wangu!

Karibuni wana sport!
 
Mleta uzi ameomba tutupie matukio magumu kutokea world cup 2014 huko Brazil, ni kama vile wakuu wanatupia matukio rahisi kutokea huko Brazil; mie natupia langu sasa:

Brazi kutolewa mpema.

Hili ni tukio gumu sana kutokea, endapo litatokea basi nitaacha kufutilia World Cup yote tangu Brazil itolewe.

uko makini mkuu,asante kwa kuelewa na kutoa ufafanuzi!ni kweli Brazil kuchukua ubingwa wala si jambo gumu kutokea ila kutolewa mapema hata kiziwi hataamini masikio yake!!!!!!

anyway dadavua basi mapema ipi,group stage?au round ya pili?
 
Mkuu mi utabiri wangu upo hivi.
Group A
Brazil
Cameroon
Croatia
Mexico

Matokeo yao
Brazili 2-0 Croatia
Mexico 0-0 Cameroon
Brazil 2-0 Mexico
Cameroon 0-0 Croatia
Cameroon 0-2 Brazili
Croatia 1-1 Mexico
Brazili na Mexico wanapita

Group B
Australia
Chile
Spain
Netherlands

Spain 0-0 Netherlands
Chile 2-1 Australia
Australia 0-2 Netland
Nethlds 1-1 Chile
Spain 1-0 chile
Australia 0-2 Spain
Spain na Nethelands wanapita

Group C
Cot D Voire
Colombia
Greece
Japan

Colombia 1-0 Greece
CIV 1-1 Japan
Colombia 1-0 CIV
Japan 1-1 Greece
Greece 1-1 CIV
Japan 1-1 Colombia

Colombia na Greece wanapita


Group D

Costa Rica
England
Italy
Uruguay

Uruguay 2-0 CRC
England 0-0 Italy
Uruguay 1-1 England
Italy 2-0 CRC
CRC 0-2 England
Italy 1 - 1 Uruguay
Italy na Uruguay wanapita


Group E
Ecuador
France
Honduras
Switl

Swit 1-1 Ecuador
France 1-0 Honduras
Swt 0-0 France
Honduras 1-1 Ecuador
Ecuador 0-1 France
Honduras 1 -1 Swt

France na Swt wanapita

Group F
Argentina
Bosnia H
Iran
Nigeria
Argentina 2-0 Bosnia
Iran 0-0 Nigeria
Nigeria 0 -0 Bosnia
Argentina 2-0 Iran
Bosnia 1-0 Iran
Nigeria 0-2 Argentina
Argentina na Bosnia wanapita

Group G
Germany
Ghana
Portugal
USA

Germany 1-0 Portugal
Ghana 1-1 USA
German 2-0 Ghana
USA 1-1 Portugal
Portugal 1-0 Ghana
USA 0-22 Germany
Germany na Portugal wanapita


Group H
Algeria
Belgium
Korea
Russia

Belgium 1-0 Algeria
Russia 1-0 Korea
Belgium 1-0 Russia
Korea 1-1 Algeria
Algeria 0-1 Russia
Korea 0-2 Belgium
Belgium na Russia wanapita
 
Brazil anachukua ndoo, Neema anatwaa kiatu cha dhabu na kua mchezaji bora wa mashindano.
Kuna mchezaji mmoja atafia uwanjani kwa ugonjwa wa moyo. Over
 
Mkuu mi utabiri wangu upo hivi.
Group A
Brazil
Cameroon
Croatia
Mexico

Matokeo yao
Brazili 2-0 Croatia
Mexico 0-0 Cameroon
Brazil 2-0 Mexico
Cameroon 0-0 Croatia
Cameroon 0-2 Brazili
Croatia 1-1 Mexico
Brazili na Mexico wanapita

Group B
Australia
Chile
Spain
Netherlands

Spain 0-0 Netherlands
Chile 2-1 Australia
Australia 0-2 Netland
Nethlds 1-1 Chile
Spain 1-0 chile
Australia 0-2 Spain
Spain na Nethelands wanapita

Group C
Cot D Voire
Colombia
Greece
Japan

Colombia 1-0 Greece
CIV 1-1 Japan
Colombia 1-0 CIV
Japan 1-1 Greece
Greece 1-1 CIV
Japan 1-1 Colombia

Colombia na Greece wanapita


Group D

Costa Rica
England
Italy
Uruguay

Uruguay 2-0 CRC
England 0-0 Italy
Uruguay 1-1 England
Italy 2-0 CRC
CRC 0-2 England
Italy 1 - 1 Uruguay
Italy na Uruguay wanapita


Group E
Ecuador
France
Honduras
Switl

Swit 1-1 Ecuador
France 1-0 Honduras
Swt 0-0 France
Honduras 1-1 Ecuador
Ecuador 0-1 France
Honduras 1 -1 Swt

France na Swt wanapita

Group F
Argentina
Bosnia H
Iran
Nigeria
Argentina 2-0 Bosnia
Iran 0-0 Nigeria
Nigeria 0 -0 Bosnia
Argentina 2-0 Iran
Bosnia 1-0 Iran
Nigeria 0-2 Argentina
Argentina na Bosnia wanapita

Group G
Germany
Ghana
Portugal
USA

Germany 1-0 Portugal
Ghana 1-1 USA
German 2-0 Ghana
USA 1-1 Portugal
Portugal 1-0 Ghana
USA 0-22 Germany
Germany na Portugal wanapita


Group H
Algeria
Belgium
Korea
Russia

Belgium 1-0 Algeria
Russia 1-0 Korea
Belgium 1-0 Russia
Korea 1-1 Algeria
Algeria 0-1 Russia
Korea 0-2 Belgium
Belgium na Russia wanapita
Mkuu Viol hapo kwenye kundi la Argentina mimi naona anapita Agertina na Nigeria.
 
Last edited by a moderator:
Brazil anachukua ndoo, Neema anatwaa kiatu cha dhabu na kua mchezaji bora wa mashindano.
Kuna mchezaji mmoja atafia uwanjani kwa ugonjwa wa moyo. Over
Mkuu hapo kwenye red umenistua duu lets wait na mimi naomba utabiri huu usitimie.

Hapo kwa Brazil kutwaa ndoo mimi napinga.
 
Brazil anachukua ndoo, Neema anatwaa kiatu cha dhabu na kua mchezaji bora wa mashindano.
Kuna mchezaji mmoja atafia uwanjani kwa ugonjwa wa moyo. Over
mi natabiri hivi huyo mchezaji atapata ugonjwa wa moyo ndio lakini atapatiwa matababu ya haraka na atarejewa na fahamu zake..kwa ufupi ni kwamba hatakufa.
 
Back
Top Bottom