Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Brooklyn, Sep 30, 2011.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

  Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

  Je nimpe green light mwanangu?
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  we unaonekana ni mtu mzima hadi kufikia hatua ya kupata mkwe cha ajabu bado unaakili/mawazo uji!!ok kuhusu wasambaa ni kwamba wamesambaa katika mji wa wasambaa na wanacheza mdumange!
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  mmh, kwani binti yako alikuletea huyo mchumba'ke ili umuidhinishe?
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kwanza Mpwa umetutukana sana kwa kutuita wacheza ngoma, kuandika kwamba you are not offending anybody bado haiondoi maana kwamba hujatu-offend, ni sawa na mtu akuite mpuuuzi kisha akwambia sina maana wewe ni mpuuzi, so naomba paweke sawa hapo mahali; haya sasa kwenye swali la msing sasa; mlete tu binti yako, hakuna wanaume wakarimu kama Wasambaa, I swear it, kwao binti yako anakua binti yao, they will treat her as thier own daughter, hawana mambo ya ajabu ajabu japo pia sio wote ila walio wengi wako huko au umesahau kuwa Civilization ilianzia kule, ok, kwakusaidia zaidi nipe mahali mchumba mtarajiwa anapotokea kama ni Mlalo/Bumbuli/Mtae/Lushoto Mjini na baadhi ya maeneo mengine ujue umepata.

  This is serious na sio uongo, uliza yoyote atakwambia, si unakumbuka kuwa ni wasambaa hawa ndio wamempa Ben Mkapa, Jaka Mwambi, Mkuchika, JK, Sumaye na wengine weengi maeneo? hio ndio nature yao. I am proud of it japo tunabaki kuwa maskini
   
 5. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimecheka sana! Eti wacheza ngoma na wavaa msuli!..lol.. Nimesikia watu wengi wanasema wanaume wa kisambaa ni wakarimu ila hawajui kutunza wake zao. Ni mmoja kwa mia ndo anatunza mke.
   
 6. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Duh...umeshaanza kuchagua makabila? Sasa angekuletea mkwe Mngoni na zile tabia zao za kupenda naniii ungekubali au ungekataa?
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kumbe wewe ni Mgosi aisee.......................
  Ni kwei Oshie, Rafiki zangu wengi ni Wasambaa, na nimekaa kule Lushoto kidogo.
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mwanao anaenda kula starehe mkuu huko hutakuwa na kesi ooo mume wangu hanifikishi mara oo sijui nini, wanajua mapenzi, kupenda na kutunza mwanamke, acha ushamba kwani ngoma unaenda cheza wewe
   
 9. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dunia ya leo waulizia tabia ya kabila fulani?
  You are so yesterday.
  OTIS.
   
 10. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ulitaka akuletee mwanaume kabila gani? Halafu wewe unaonekana kama Mhaya halafu siyo wahaya wa siku hizi bali wa miaka ya 47.
   
 11. Baba Erick

  Baba Erick JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani
   
 12. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Usichague makabila mpenzi cha muhimu ni tabia ya huyo mkwe wako mtarajiwa, yeye kama yeye yukoje? Na sio kuangalia kabila lake kwani haolei ukoo!
   
 14. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  My shadow is next to yours OTIS. Nacement kidogo hapo kwa red.
  "He is so Yesteryear"
   
 15. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  sio wanaume wote wa pwani wanaoa wake wengi acha kupotosha uma
   
 16. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 17. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,290
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Afate vyote wanavyotaka ndugu wa mume hata vikiwa vibaya vinginevo asubiri gubu, visa, nyodo, masengenyo, majigambo, tunguli na kadhalika. Ukisikia ndugu wa mume wana visa, wanaongoza hawa.
   
 18. S

  Spellan JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  baba erick we ni msambaa?? Huo ni uongo!!
   
 19. Kipeperushi

  Kipeperushi Senior Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
   
 20. S

  Spellan JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wasambaa ni watu wakarimu, wapole na wachapa kazi! hawana matatizo, bumbuli, soni, lushoto mjini, mtae, mgwashi, nk.
   
Loading...