Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
Wavivu.,lazima binti yako ataolewa mke mwingine
Wengi wao ni wavivu na hawana akili za kujituma. Inawezekana wa binti yako akawa tofauti na wengine.
mzee mwenzangu watoto wakipendana hii biashara ya kuangalia rangi,kabila,uraia etc achana nayo,so long as wanapendana acha waoane,mi wanangu washanambia katu hawataolewa bongo hii,mi nawaangalia tu,wanasema wanaume wa kibongo wazushi.
kapata "mganga" hilo unalo...uchiteme, uchimeze wala uchimumunye.Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).
Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).
Je nimpe green light mwanangu?
Du you have given a general statement for a very variant situation. Any way between the lines I can say (Malaya=kazi wanaiweza,wanahonga sana=wamawajali wapenzi wao)nina rafiki wengi wa kisambaa'ni malaya sana halafu wanahonga sana'mshauri bint yako abadili mawazo'lakni vilevile inategemea we ni kabila gani
Four words: Shukuru kwa kila Jambo.
wapo wenye binti wakubwa kama wa kwako lakini hawaoni dalili ya kuletewa hata mmang'ati sembuse msambaa???? mwache aende besides tz hatuna masuala ya ukabila kihivyo kwa hiyo its well and good as long as she is happy and she is sure he is the man she wants to get married to, i suggest you leave it as it is and insted be happy and thankful for her Brooklyn..............:smile-big:
yeuwiiiwanapenda masandozi ya brown na yenye soli kubwa..
Kuuliza Kabila sawa na kuulizia jinsi kwa hiyo labda ulitaka akulitee msagaji!!!???
kama amegannda Nsababu ya NGOGWE, usicheze nazo atakolea sana huyo,
kwani huyo mgosi Nfundi cheehani???? au ndeeva wa gai ja ng'wana???
KAMA MBWAI MBWAI.................
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani
hicho ndo ninachoogopa na mimi. Thankx for your advice.