Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa

Nimecheka sana! Eti wacheza ngoma na wavaa msuli!..lol.. Nimesikia watu wengi wanasema wanaume wa kisambaa ni wakarimu ila hawajui kutunza wake zao. Ni mmoja kwa mia ndo anatunza mke.[Nakubaliana na wewe kabisaa..! Mimi nina rafiki yangu ambaye ni msambaa, kwa kweli kesi ninazopokea toka kwake ingekuwa zinashikika sasahivi ningekuwa nimejaza magunia. Tatizo jamaa anapiga sana mke wake, yaani hana mpango kabisa. Ila kitu ambacho nimegundua ni kwamba majority ya wasambaa huwa ni washamba na nahisi hicho ndicho kitu kinachomfanya mzee mwenzetu aumize kichwa kuhusu binti yake.]

Si kweli!!! ni wachache mno wenye tabia izo, na hao unaosema washamba labda ni wale wakijijini kabisa ambao hata shule wala kutembea sehemu nyingi hawajawahi.
 
ni wapole lakini wana mambo ya kichinichini sana hawatabiriki hao awe careful sana
 
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani

nakubaliana na wewe kuwa wasambaa wana mfumo tofauti katika kuhandle mambo ndoa. Hawathamini wanawake waliiolewa, anatakiwa awe ndio mzee, ajue kupika, avae mavazi ya gharama, apendelee kuongea jinsi anavyoishi na mumewe-kifupi wanapenda umbea na wanapenda mafumbo.

Awape pesa na kuwanunulia zawadi watampenda, vinginevyo watamuona choo wanaweza kumfanyia fitina na majungu hadi akimbie nyumba.
 
Mi nadhani ni vizuri kuheshimu hisia za mwanao. Hizo tabia sasa hivi ni historia tu. Wapo hata wachaga na makabila mengine wanaishi kama wasambaa.
 
Kwanza Mpwa umetutukana sana kwa kutuita wacheza ngoma, kuandika kwamba you are not offending anybody bado haiondoi maana kwamba hujatu-offend, ni sawa na mtu akuite mpuuuzi kisha akwambia sina maana wewe ni mpuuzi, so naomba paweke sawa hapo mahali; haya sasa kwenye swali la msing sasa; mlete tu binti yako, hakuna wanaume wakarimu kama Wasambaa, I swear it, kwao binti yako anakua binti yao, they will treat her as thier own daughter, hawana mambo ya ajabu ajabu japo pia sio wote ila walio wengi wako huko au umesahau kuwa Civilization ilianzia kule, ok, kwakusaidia zaidi nipe mahali mchumba mtarajiwa anapotokea kama ni Mlalo/Bumbuli/Mtae/Lushoto Mjini na baadhi ya maeneo mengine ujue umepata.

This is serious na sio uongo, uliza yoyote atakwambia, si unakumbuka kuwa ni wasambaa hawa ndio wamempa Ben Mkapa, Jaka Mwambi, Mkuchika, JK, Sumaye na wengine weengi maeneo? hio ndio nature yao. I am proud of it japo tunabaki kuwa maskini

kwa hiyo mkuu unaniahidi kunipatia baba mkwe wako plot kama mlivyompa ben?
 
Nimecheka sana! Eti wacheza ngoma na wavaa msuli!..lol.. Nimesikia watu wengi wanasema wanaume wa kisambaa ni wakarimu ila hawajui kutunza wake zao. Ni mmoja kwa mia ndo anatunza mke.

Mmh Sweetlady kama hawajui kutunza wake sasa huo ukarimu wanamfanyia nani?

Mi naambiwa eti wasambaa ni maarufu kucheza ngoma na kuvaa misuli tu, si watu wa kujibidisha kwenye kazi za kimaendeleo.
 
we unaonekana ni mtu mzima hadi kufikia hatua ya kupata mkwe cha ajabu bado unaakili/mawazo uji!!ok kuhusu wasambaa ni kwamba wamesambaa katika mji wa wasambaa na wanacheza mdumange!

kweli wewe ni feis buku, nyie ndo mnaotafuta wake/waume kwenye feis buku!!
 
mmh, kwani binti yako alikuletea huyo mchumba'ke ili umuidhinishe?

mkuu lazima umpe mwongozo mtoto wako kama kweli unajli maisha yake. In maana bintiyo akikuletea ****** utakuwa huna neno?
 
nasikitika kwa mtu wa karne hii kugeneralize mambo. Kwanza nani kakwambia Lushoto ni pwani? Nani kakwambia wasambaa wa Lushoto ni wacheza ngoma? Nani kakwambia siku hizi mzazi aweza mwamulia binti yake mume wa kuolewa naye? So outdated! Kisha inakera kwa sababu kuna ubaya wa kila kabila kama nia ni kucha,bia makabiila, na kuna ubaya wa kila mtu na uzuri wake. Ukitaka yakuharibie, endekeza ukabila wako mpaka kwa binti zako
 
umpe green light?hata ukimpa red.kama kampenda kampenda tu.we huna la kuamua.unatakaje kuingilia mapenzi ya watoto...we ulichaguliwa mke wa wapi?
 
wasambaa ,wadigo na makabila mengine wapo wanaume fresh tuuu ila nikuambie kitu ukitaka binti yako ateseke mwache aolewe huko kama yeye hajaishi pwani usikubali kwani wana mfumo tofauti wa ku-handle marriage matters i.e huku watu hawaoi wake wengi kama kule na wengi tumetoka kwenye familia ambazo baba ana mke mmoja tuu lakini kule wanakuwa na mfumo wa kuoa hata wake 4 so binti yako atateseka sana kwa sababu hajazoea mfumo wa kushare mapenzi na bwana kulala njee we but kama wewe ni wa pwani nawe mwache akapaliwe na pwaaaaaaaaaaani

hicho ndo ninachoogopa na mimi. Thankx for your advice.
 
Four words: Shukuru kwa kila Jambo.

wapo wenye binti wakubwa kama wa kwako lakini hawaoni dalili ya kuletewa hata mmang'ati sembuse msambaa???? mwache aende besides tz hatuna masuala ya ukabila kihivyo kwa hiyo its well and good as long as she is happy and she is sure he is the man she wants to get married to, i suggest you leave it as it is and insted be happy and thankful for her Brooklyn..............:smile-big:
 
Afate vyote wanavyotaka ndugu wa mume hata vikiwa vibaya vinginevo asubiri gubu, visa, nyodo, masengenyo, majigambo, tunguli na kadhalika. Ukisikia ndugu wa mume wana visa, wanaongoza hawa.

du!! Hapa ndo ninapomuonea huruma binti yangu. Na kwa namna nilivyomlea na elimu yake, itakuwa ngumu sana.kwa yeye kuwa submissive kwa wacheza ngoma wa kisambaa.
 
mkuu lazima umpe mwongozo mtoto wako kama kweli unajli maisha yake. In maana bintiyo akikuletea ****** utakuwa huna neno?
Mpe mwongozo ndugu yangu. Siku hizi watoto wanasoma shule za garama sana aisee, usikubali apotee kihivyo. Uhangaike kusomesha mtoto afu aje aishie kuolewa na mcheza ngoma? No haiwezekani! Bora asiolewe kabisa.
 
Wanapenda Kunywa Mnazi, ni wataalam wakugema mnazi, pia ni mafundi wa kucheza mdumange.
 
Mmh Sweetlady kama hawajui kutunza wake sasa huo ukarimu wanamfanyia nani?

Mi naambiwa eti wasambaa ni maarufu kucheza ngoma na kuvaa misuli tu, si watu wa kujibidisha kwenye kazi za kimaendeleo.
Wako wanaojibidiisha ila ni wachache sana... Wengi sio watafutaji kivile, nafikiri ndo mana ukawaita wacheza ngoma..lol... Pole ila huyo wa bintiyo labda ni msomi mwenzie so mpe nafasi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom