Tabia za wanaume Wasambaa: Binti yangu kakolea kwa Msambaa

Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?
Wasambaa ni wachapa kazi sana. Mwache aende bintiyo!
 
Nimekaa tanga mjini na vijijini. Katika makabila ya tanga, wadigo,wasambaa,waduruma(nature yao kenya), washirazi(nature yao zenj) na wabondei, hakuna kabila linalojishuhulisha na kupiga kazi kama wasambaa,na msambaa hachagui kazi,ukiacha wachaga,wahindi wanaofuatia kwa uchumi na biashara ni wasambaa,wasambaa ndio wanaoilisha tanga kuanzia pongwe hadi horohoro mpaka jasini mpakani wa tanzania na wilaya ya jimbo mkoa wa pwani kenya.na kwa tanga ndio wanaongoza kwa kabila lililopiga shule. Hivyo mzee punguza presha,wasambaa ni sawa na wabara tu,hawana tabia zile za pwani za wabondei na wadigo.ingekuwa kapata mbondei au mdigo ingekuwa imekula kwako.shukuru Mungu kwa kupata mkwe from Usambaani.

Ni kweli kabisaa..wasambaa wachapa kaz haswa tena! Tena hawachagui kaz..ila wana hasira kias na pia wananguvu sana kutokana na yale madawa yao wanayokula yakuongeza muku! Ila ni wazuri halaf wana umoja wengi wao! Wadigo ndo.ucpime! Hawafai asilani..wana gubu, hawapend kufanya kazi, wavivu! Waulize maneno mengi, kupenda kula vyakula vizuri, na kujiona wao ndo wao! Nmeolewa udigoni mbona nashika adabu! Huna utakalowafanyia wakakuona una upendo! Lkn wanawake wakidigo wanajua mambo ya ndani, wanajua kumhudumia mume kweli kweli! Ila wasambaa nawapenda sana
 
Wasambaa ni watu wakarimu sana na wachapakaz

huwa hawapendi kuishi fake life ndio maana kwa kauli tu unaweza kumgundua kwa haraka sana

kwa msambaa uhai wa familia kwa maana ya kodi ya meza ni jambo la kuonyesha uanaume

ndio maana hachagui kazi yeyote yenye kuleta rizki ya halali yeye kanyaga twende

ila kwenye ndoa za mitaala hawapo nyuma

note: siku hz tabia ya mtu haitokan na kabila lake kama bint kafall mwache aende mengine atajua huko huko!!
 
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend anybody).

Wana JF hebu nisaidieni tabia za wanaume wa Kisambaa (Lushoto).

Je nimpe green light mwanangu?

Acha mawazo potofu,mimi nimeolewa na msambaa,he is the best husband ever,yani sikuwahi kutegemea kama nitapata mwanaume wa aina hii,am real happy,resposible,loving,care, na ana misimamo,dhana ya kumjudge mtu kwa kabila sio sahihi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom