Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Katika nchi HuRU kuna makabila zaidi ya 125, Mleta Uzi ametumia Uhuru wake wa kuchangia ameandika makabila 20 yenye impact nchini, bila shaka Mleta uzi atakua miongoni kwa minority tribes.
Na hii inamfanya kujiona yupo free from criticisms. Lakini hana mfupa wa kutamka kakabila kake.
Kwasababu hakuna kabila lililo excempted na criticisms katika hali yoyote ile
Tena vikabila vidogodogo hua vina rekodi nzito za ujima, kukosa elimu na ushirikina.

All in all watu huzaliwa katika Makabila kwa natural selection. Hatuchagui pa kuzaliwa. Tumejikuta tupo huko kwenye hizo mega tribes in Tanzania.
Who cares?!
Eti bado mnaachaga wake zenu kijijini?
 
Namba 3 umetusingizia Mkuu na badala yake ulipashwa useme hivi.....Ni Mkoa ambao una Wanaume pekee Wapambanaji, wenye Nidhamu, Wakweli daima, wanajua Kupenda na Kujali, Wamejaaliwa kuwa na " mikuyenge / mitalimbo " ya haja au ya uhakika, Werevu sana na ndiyo maana pengine hata jina jingine la Mkoa wao ni Musoma kwani Msomi wa Kwanza " Genius " alitokea huko, Majasiri, hawapendi Unafiki na kudharauliwa kwa yule Wao wasiomdharau, Wana pumzi kubwa za kufanya Tendo la Ndoa na ndiyo maana hata Wanawake wengi wanapenda na kuwang'angania, Wacheshi, Wasafi na wacha Mungu wazuri mno.

Usipoolewa au ukiona hujawahi " kubanduana " na Mwanaume wa Mkoa wa Mara basi jua kuwa umekosa bahati moja kubwa sana ambayo Wanawake wengine wanaipata. I LOVE MARA REGION.

Ila katika namba 8 na 20 Mkuu UMEPATIA kwa 100% na wakija humu kukubishia nitakuongezea na zingine ambazo zinawahusu lakini hujawawekea.
Hatimae umejitokeza kutetea le kabila lakoz
 
hizo ni tafiti tu ambazo hata kwenye kabila namba 1 wanaweza kuwa na tabia no 8,9,11,20,,ila sijawaona wawanji hapo
 
Jibu swali baby au vipi?
sijapiga nao show hata mmoja Ila nshaenda mkoani kwao nkakuta tangazo la tohara kwa watu wazima!na kingine hata hapa wengi wanapigwa visu ukubwani wanafunzi wetu wengi hua wanafanyaziwa hvyoo form 3 to form four yaani wakubwa wengine jeshini huko!
 
TABIA 20 WANAUME WA TZ:

1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyag kazi kbs, wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza!

2. Wanaume wabishi zaidi Tz- WAKINGA..Hawa kwa ubishi wanaongoza barani Africa. Mkinga anaweza kubishia hadi jina lake!! Kwa ubishi, nadhani wamechanjia!

3. Wanaume makatili zaidi Tz- WAKURYA..Hawa kwa kutembeza mkon'goto ni noma. Hata ufanyaji wao mapenzi ni wa kivitavita tu!!. Usishangae kitandani ukakuta visu, virungu, mapanga nk. Hata mapenzini utaskia akisema -"Asha, tenganisha mamiguu NILENGE shabaha"!!

4. Wanaume wambea zaidi Tz- WANDENGEREKO. Aisee hawa ni shiida, usimpe siri mdengereko hata siku moja, na ukimwambia "ni wewe tu nakwambia usimwambie mtu" ndo unamuongezea spidi ya kwenda kusimulia fastaa!

5. Wanaume wapenda pesa zaidi Tz- WACHAGA. Wachaga wako radhi wawaache wake zao Moshi mwaka mzima ili kusaka fedha Dsm. Moshi wanarudi Xmass. Hivyo msiulize kama watoto wanafanana na baba au jirani na kwani kitanda hakizai haramu!

6. Wanaume wanaojali zaidi wake zao-WADIGO. Ni nadra sana kwa Mdigo kuchepuka au kumpiga mkewe.

7. Wanaume wajuao zaidi mapenzi Tz-WABONDEI. Aisee Mbondei kwa mapenzi hana mpinzani. Umuonavyo njiwa mapenzini ndo sawa na Mbondei. Usemi wa "Mapenzi yalianzia Tanga" umetokana na Wabondei!!

8. Wanaume wanaoongoza kwa misifa na swaga Tz-WAHAYA. Aloo wahaya hata kama ana bodaboda tu atasema "Vogue langu leo linasumbua". Yaani hawa ni full kujishebedua na kujifanya wana elimu kubwa kumbe wengi ni makanjanja tu. Wana makidai sana hawa!

9. Wanaume wanaoongoza kwa ulevi Tz-WAHEHE..Mhehe kwa pombe ni kama kachanjiwa! Mtoto wa miaka 2 huanza kupewa pombe. Yaani akilia tu anapewa! Wahehe ni Walevi mno hawa majamaa na ni nadra siku ipite bila kuutwika!!

10. Wanaume wabahili zaidi Tz-WAPARE..Mpare anashindana na Mromania kwa ubahili duniani! Mpare hatumii kbs hela na mpare akighafirika na kuhonga mwanamke, lazma atatubu na kufunga kula siku 3!

11.Wanaume wanaoongoza kwa "mikono ya sweta" Tz-WANYAKYUSA. Haya majamaa ni nadra sana kukuta yametahiriwa. Waliotahiriwa ni wale tu waliopita mashuleni au kuchanganyika na jamii zingine zilizostaarabika. Wengi wamewahi kukosa unyumba kwa kugundulika wana "mikono ya sweta"!!

12. Wanaume wanaopenda ngono Tz-WANGONI. Mngoni kwa ngono ni kama kachanjiwa. Mngoni anaweza kutembea na wanawake wote mtaa mzima. Mngoni hata ndugu zake wakimkalia vby anatafuna tu. Marafiki wa mkewe wakijilengesha anawagegedua tu bila hiana! Mngoni mpe hela atafikisha, lakini ukimpa mwanamke ampeleke mahali hamfikishi n'goo wataishia vichakani au guest house!!

13. Wanaume wanaoongoza kwa ushamba Tz-WASUKUMA. Jamani wasukuma ni washamba! Khaaa!! Yaani hadi wanauzi na kutia huruma na huwa hawajifichi! Msukuma akija kwako akakuta glasi nzuri atataka apige nayo picha! Yaani wasukuma wanaheuka kbs na upigaji picha!

14. Wanaume wanaoongoza kwa kuwa nyuma Tz-WAHADZABE. Hawa wako ktk dunia ya peke yao wala hawajui lolote kuhusu teknolojia. Ni kama wanyama tu!

15. Wanaume wanaoongoza kwa kupiga mizinga Tz-WAGOGO. Mgogo hana hiana, ye haogopi kumwomba mtu yeyote. Hata mama/baba mkwe wake anaweza kumpiga mzinga! Mgogo kwa dezo hana mpinzani

16. Wanaume wafitini zaidi Tz-WAHA. Waha wana uwezo mkubwa sana wa kufitinisha marafiki ili mradi tu watengane hapo wao hufurahia. Waha wana midomo sana na wanakera mno kwani nyoyo zao zimekaa kifitinifitini tu!!

17. Wanaume wachafu zaidi Tz- WASAFWA. Mijamaa hii ni michafu kuliko uchafu wenyewe! Msafwa akioga mara 2 kwa mwezi, shukuru Mungu. Na akifanikiwa kuoga mara 3 atasimulia mji mzima! Kwa Msafwa hakuna msamiati uitwao kufua!

18. Wanaume waroho zaidi Tz-WALUGURU.. Mluguru ni mroho hadi inakera. Wanaume wa kiluguru ndo wanaongoza kwa kushinda jikoni. Ole wake mke apike nyama afu asimwonjeshe au apike wali bila kumpa matandu mmewe.. huo mtiti wake ni kama Vita kuu ya 3 ya dunia!

19. Wanaume wanaoongoza kwa masikhara Tz-WAPEMBA. Hii mijamaa hata siku moja haiko serious. Wao kila jambo ni mzahamzaha na utani utani tu!

20. Wanaume nyoronyoro zaidi Tz-WANYATURU..Ni bora uwe na mwanamke usiku kuliko kuwa na mwanaume wa Kinyaturu. Ni waoga mno! Akiwa na mkewe usiku, chura akilia tu, ye ghafla atamkubatia mkewe kwa woga! Wengi wao lazma walale chemli inawaka kwani giza linawapa hofu sana! Gari likitoa mlio wa pancha, vumbi litakaloachwa na mbio za Mnyaturu kwa woga si la kitoto!!
#13 umechemka.unadhani now ni mwaka 1982?
 
Mkuu uko sahihi kabisa maana ninafanya kazi karibu na asilimia 90 ya watu uliowataja na tabia zao kweli ni kama ulivyoandika......ila kwenye wasukuma hapo umeongopa,tengua kauli.
 
Wangoni hawajaonewa, mpk leo sijaona Mngoni ambaye sio namba 2 yako, wao kila sketi wanapenda kuiingia.

Lakini sio kigezo kikuu cha kuwafanya wapende kufanya mapenzi kuliko makabila mengine.
 
WAPARE sio Wabahili... Bali tunachofanya ni kukwepa matumizi yasiyo ya lazima......
 
Hahaaaa! Si walithema thiku hidhi hawana nguvu tena!! Pombe imemalisa suguli.
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nguvu zimerudi bana... Ilikua kipindi cha mpito[emoji12]
 
Back
Top Bottom