Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

TABIA 20 WANAUME WA TZ:

1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyag kazi kbs, wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza!

2. Wanaume wabishi zaidi Tz- WAKINGA..Hawa kwa ubishi wanaongoza barani Africa. Mkinga anaweza kubishia hadi jina lake!! Kwa ubishi, nadhani wamechanjia!

3. Wanaume makatili zaidi Tz- WAKURYA..Hawa kwa kutembeza mkon'goto ni noma. Hata ufanyaji wao mapenzi ni wa kivitavita tu!!. Usishangae kitandani ukakuta visu, virungu, mapanga nk. Hata mapenzini utaskia akisema -"Asha, tenganisha mamiguu NILENGE shabaha"!!

4. Wanaume wambea zaidi Tz- WANDENGEREKO. Aisee hawa ni shiida, usimpe siri mdengereko hata siku moja, na ukimwambia "ni wewe tu nakwambia usimwambie mtu" ndo unamuongezea spidi ya kwenda kusimulia fastaa!

5. Wanaume wapenda pesa zaidi Tz- WACHAGA. Wachaga wako radhi wawaache wake zao Moshi mwaka mzima ili kusaka fedha Dsm. Moshi wanarudi Xmass. Hivyo msiulize kama watoto wanafanana na baba au jirani na kwani kitanda hakizai haramu!

6. Wanaume wanaojali zaidi wake zao-WADIGO. Ni nadra sana kwa Mdigo kuchepuka au kumpiga mkewe.

7. Wanaume wajuao zaidi mapenzi Tz-WABONDEI. Aisee Mbondei kwa mapenzi hana mpinzani. Umuonavyo njiwa mapenzini ndo sawa na Mbondei. Usemi wa "Mapenzi yalianzia Tanga" umetokana na Wabondei!!

8. Wanaume wanaoongoza kwa misifa na swaga Tz-WAHAYA. Aloo wahaya hata kama ana bodaboda tu atasema "Vogue langu leo linasumbua". Yaani hawa ni full kujishebedua na kujifanya wana elimu kubwa kumbe wengi ni makanjanja tu. Wana makidai sana hawa!

9. Wanaume wanaoongoza kwa ulevi Tz-WAHEHE..Mhehe kwa pombe ni kama kachanjiwa! Mtoto wa miaka 2 huanza kupewa pombe. Yaani akilia tu anapewa! Wahehe ni Walevi mno hawa majamaa na ni nadra siku ipite bila kuutwika!!

10. Wanaume wabahili zaidi Tz-WAPARE..Mpare anashindana na Mromania kwa ubahili duniani! Mpare hatumii kbs hela na mpare akighafirika na kuhonga mwanamke, lazma atatubu na kufunga kula siku 3!

11.Wanaume wanaoongoza kwa "mikono ya sweta" Tz-WANYAKYUSA. Haya majamaa ni nadra sana kukuta yametahiriwa. Waliotahiriwa ni wale tu waliopita mashuleni au kuchanganyika na jamii zingine zilizostaarabika. Wengi wamewahi kukosa unyumba kwa kugundulika wana "mikono ya sweta"!!

12. Wanaume wanaopenda ngono Tz-WANGONI. Mngoni kwa ngono ni kama kachanjiwa. Mngoni anaweza kutembea na wanawake wote mtaa mzima. Mngoni hata ndugu zake wakimkalia vby anatafuna tu. Marafiki wa mkewe wakijilengesha anawagegedua tu bila hiana! Mngoni mpe hela atafikisha, lakini ukimpa mwanamke ampeleke mahali hamfikishi n'goo wataishia vichakani au guest house!!

13. Wanaume wanaoongoza kwa ushamba Tz-WASUKUMA. Jamani wasukuma ni washamba! Khaaa!! Yaani hadi wanauzi na kutia huruma na huwa hawajifichi! Msukuma akija kwako akakuta glasi nzuri atataka apige nayo picha! Yaani wasukuma wanaheuka kbs na upigaji picha!

14. Wanaume wanaoongoza kwa kuwa nyuma Tz-WAHADZABE. Hawa wako ktk dunia ya peke yao wala hawajui lolote kuhusu teknolojia. Ni kama wanyama tu!

15. Wanaume wanaoongoza kwa kupiga mizinga Tz-WAGOGO. Mgogo hana hiana, ye haogopi kumwomba mtu yeyote. Hata mama/baba mkwe wake anaweza kumpiga mzinga! Mgogo kwa dezo hana mpinzani

16. Wanaume wafitini zaidi Tz-WAHA. Waha wana uwezo mkubwa sana wa kufitinisha marafiki ili mradi tu watengane hapo wao hufurahia. Waha wana midomo sana na wanakera mno kwani nyoyo zao zimekaa kifitinifitini tu!!

17. Wanaume wachafu zaidi Tz- WASAFWA. Mijamaa hii ni michafu kuliko uchafu wenyewe! Msafwa akioga mara 2 kwa mwezi, shukuru Mungu. Na akifanikiwa kuoga mara 3 atasimulia mji mzima! Kwa Msafwa hakuna msamiati uitwao kufua!

18. Wanaume waroho zaidi Tz-WALUGURU.. Mluguru ni mroho hadi inakera. Wanaume wa kiluguru ndo wanaongoza kwa kushinda jikoni. Ole wake mke apike nyama afu asimwonjeshe au apike wali bila kumpa matandu mmewe.. huo mtiti wake ni kama Vita kuu ya 3 ya dunia!

19. Wanaume wanaoongoza kwa masikhara Tz-WAPEMBA. Hii mijamaa hata siku moja haiko serious. Wao kila jambo ni mzahamzaha na utani utani tu!

20. Wanaume nyoronyoro zaidi Tz-WANYATURU..Ni bora uwe na mwanamke usiku kuliko kuwa na mwanaume wa Kinyaturu. Ni waoga mno! Akiwa na mkewe usiku, chura akilia tu, ye ghafla atamkubatia mkewe kwa woga! Wengi wao lazma walale chemli inawaka kwani giza linawapa hofu sana! Gari likitoa mlio wa pancha, vumbi litakaloachwa na mbio za Mnyaturu kwa woga si la kitoto!!
Tunaomba ututaftie na makabila 100 yaliyo baki
 
Hahahaaaaa! Hivi lengo la kuacha wake zao kijijini ilikuwa nini? Hata wanawake wa kichaga ni mashujaa.
Walitangulia kuweka mambo sawa mjini wake hufata badae... Kingine unaachwa na mama mkwe kujenga urafiki[emoji12]
 
Mimi msafwa,umetupatia sana japo,tuko mbioni sana kubadilika, Lini utaleta za Wanawake,pongezi kwa utafiti hats kama ni overgeneralization,umejitahidi
unajua maana ya utafiti kweli wewe? acha kushabikia ujinga
 
sijapiga nao show hata mmoja Ila nshaenda mkoani kwao nkakuta tangazo la tohara kwa watu wazima!na kingine hata hapa wengi wanapigwa visu ukubwani wanafunzi wetu wengi hua wanafanyaziwa hvyoo form 3 to form four yaani wakubwa wengine jeshini huko!
Ubarikiwe.
 
Unakuta mwanaume kapiga picha kwenye maua alafu kachuchumaa!!
Shikamoo wasukuma.
wengine wanapotaka kupiga picha wanaweka shuka mithili ya mtu anaetaka kupiga passport picture!! Kuna wengine walinunua tikiti maji baada ya kula hawakushiba wakalaani sana, wao walidhani ni chakula kumbe tunda looh wasukuma ni noooooma sana.
 
Hahanafwa nafwatoto, post: 17290780, member: 157962"]Hapo pa kuvaa Heaven Sent ni shahidi aliwakuta mahali wameshona sare ya mapazia.
[emoji100] [emoji125] [emoji125] [emoji125][/QUOTE]
Hahahaaah
 
Likwapi tena hilo?

Halafu sijui kwanini huwa nasahau kukuambia Mrembo. Kusema ukweli " nimekutunuku " kinoma noma. Njoo PM basi tuweke mambo sawa ili kusudi " mijitu " humu yenye roho za hasidi isiroge bure!
 
Back
Top Bottom