Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nimeishi nao kidogo Nzega na Mwanza, so nawapata kiasikwelii binamu hawa watu in kwa ushamba hakuna yaani!!
anahisi tunafurahisha baraza!!
Nimeishi nao kidogo Nzega na Mwanza, so nawapata kiasikwelii binamu hawa watu in kwa ushamba hakuna yaani!!
anahisi tunafurahisha baraza!!
eeeehh!!,yaani anaona ufahari tena wanapenda rangi za kung'aa kama kijani mgomba,mauamaua burdaani kwao!Hahahaaaaa! Hata kama limepungua bei ye kashikilia bei aloambiwa.
hhhhaaahhhaa!!Nimeishi nao kidogo Nzega na Mwanza, so nawapata kiasi
Kuna mmoja alitembelea mahali akakuta pilau, kesho yake akapikiwa wali maharage, akaulizia kwanini hawajapika kama lile la jana(pilau), akaambiwa lile hadi nyama ndio poa, akajibu "mie mnipikiemo tu hata la maharage"Teh tafadhalini sana jamani hahahhaha
He he he he he he hatariousKuna mmoja alitembelea mahali akakuta pilau, kesho yake akapikiwa wali maharage, akaulizia kwanini hawajapika kama lile la jana(pilau), akaambiwa lile hadi nyama ndio poa, akajibu "mie mnipikiemo tu hata la maharage"
Kuna mmoja huyo chuoni alikuwa na suti yake ya purple, alafu sijui alishona ya satini! Inang'aa hiyo. Ilikuwa hazipiti siku3 anairudia.eeeehh!!,yaani anaona ufahari tena wanapenda rangi za kung'aa kama kijani mgomba,mauamaua burdaani kwao!
Hahaha atoto nakuzabuaaaaaaaaaaaKuna mmoja huyo chuoni alikuwa na suti yake ya purple, alafu sijui alishona ya satini! Inang'aa hiyo. Ilikuwa hazipiti siku3 anairudia.
Kuna mmoja huyo chuoni alikuwa na suti yake ya purple, alafu sijui alishona ya satini! Inang'aa hiyo. Ilikuwa hazipiti siku3 anairudia.
hhhhaaahhhaa!!acha vituko atotoo!!Kuna mmoja alitembelea mahali akakuta pilau, kesho yake akapikiwa wali maharage, akaulizia kwanini hawajapika kama lile la jana(pilau), akaambiwa lile hadi nyama ndio poa, akajibu "mie mnipikiemo tu hata la maharage"
hhhhaaahhaa!jamani mangoshaaaEmagine suti ya purple alafu mng'ao! Ila akiongea tu, unamsamehe unajua sio kosa lake!
Afu apige picha kachuchumaa kwenye maua tehEmagine suti ya purple alafu mng'ao! Ila akiongea tu, unamsamehe unajua sio kosa lake!
Hawa jirani zangu ni moto wa kuotea mbalihhhhaaahhhaa!!acha vituko atotoo!!
llooohh!!
wasukuma washamba sana huo ndo ukweli!Hawa jirani zangu ni moto wa kuotea mbali
Umejuaje! Anamatch na maua.Afu apige picha kachuchumaa kwenye maua teh
Mmh hakawii kung'atwa na nyuki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Umejuaje! Anamatch na maua.
Sio washamba bwana, wana upekee.wasukuma washamba sana huo ndo ukweli!
hhhhaaaahhhaaa!!!Sio washamba bwana, wana upekee.
[emoji85] [emoji85]
Mmh hakawii kung'atwa na nyuki[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaaa! Ulikutana nao wangapi?hahaaaaa!!kwenye mikono ya sweta mi naona wakurya kama hapo wameshika tena usukaniii!!