Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,379
- 56,095
asanteee!!Ubarikiwe.
asanteee!!Ubarikiwe.
Hahaha eti nini? Wanaweka shuka jamaniiii, me machozi uwiiiwengine wanapotaka kupiga picha wanaweka shuka mithili ya mtu anaetaka kupiga passport picture!! Kuna wengine walinunua tikiti maji baada ya kula hawakushiba wakalaani sana, wao walidhani ni chakula kumbe tunda looh wasukuma ni noooooma sana.
Hata sio parefu.... Wanawaza hela bana wenziook, ahasante kwa kunielewesha,
ila hata huo mwezi ni parefu kumuacha mke bila "kumnanihiu"
Gwa ngili ujhu aseeee.....gho matingo nkiUli gwa ngili gwe ntuta ugwe....ukanasoni ukutuka abha nyafale..?
Stupid you.....
hapana,sisi wakurya mwanaume hauajakamilika kama hujatahiriwa!hahaaaaa!!kwenye mikono ya sweta mi naona wakurya kama hapo wameshika tena usukaniii!!
He heecmon! yaani mnatazamana tuuu,
aaah! mi siwezi hiyo, lazima nikuonje at least kila wiki,
Basi sawa yakheeehee, lazima tuchangamshane miili ili tutafute pesa vizuri,
Mmmmh! Mbona sasa hata maendeleo ni duni?
Mmmmh!Haaaaaahhaa... Wapare wana Maendeleo duni???
Karibu Kilimanjaro uone hayo maendeleo duni.
Khaaa jamani wasukumaBora hao walikula, wenzao walipika kabisa tikiti wakijua boga.
Hahahaaaa! Yale mashuka yaliyodariziwa.wengine wanapotaka kupiga picha wanaweka shuka mithili ya mtu anaetaka kupiga passport picture!! Kuna wengine walinunua tikiti maji baada ya kula hawakushiba wakalaani sana, wao walidhani ni chakula kumbe tunda looh wasukuma ni noooooma sana.
Wawapi?mimi sio wa visiwani,
Afu hapo katupia shati lake la pazia. Mbona hutoelewaHahahaaaa! Yale mashuka yaliyodariziwa.
Na suruali ya mng'aoAfu hapo katupia shati lake la pazia. Mbona hutoelewa
Sawa ila inawezekana huyo aliyekugegeda alikuwa nalo ila njoo mwaka 12 watafanyiwa tohara sio vijana ni wavulana wa miaka nane mpaka 14 Kila siku mapambano kutokomeza tohara kwa wasichana halafu vijana wakiume ubaki ndani bila kufanyiwa tohara fikiri tofautihahaaaaa!!kwenye mikono ya sweta mi naona wakurya kama hapo wameshika tena usukaniii!!
Kwendraaaangarenaro
Bora hao walikula, wenzao walipika kabisa tikiti wakijua boga.
Khaaa jamani wasukuma
Hahahaaaaa! Kumbe wewe msukumaMtuwacheee!....😀😀😀😀😀