Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Tabia za wanaume kutoka makabila haya 20

Unakuta mwanaume kapiga picha kwenye maua alafu kachuchumaa!!
Shikamoo wasukuma.
hhhaaahhaa au kaweka dole gumba
uploadfromtaptalk1471724711853.jpeg

au kama huyu!!
 
Asili ya mdigo na Mbondei inafanana haswa tabia, mimi naishi nao wengi sana Tanga hapa wanakamsemo kao wanawake kwenda kwa wanaume (Waume zao) "wanakwambia ukitoka,na mie natoka"
We mama hebu njoo hapa nyumbani hotel tuendelee na hii wekeend
 
Back
Top Bottom