Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Uelewa wangu upo hivi... Watu wanao onyesha hizi tabia ni wale ambao aidha ndo anaanza kupata pesa... Au karithi yaan kupata mali za mkupuo bila kutokwa jasho... Ila kwa wale ambao pesa zao sio za shortcut alipambana kupata noti moja hadi nyingine hadi kujijenga kupata pesa nyingi hawa watu hua ni waelewa sana..

Kuna busara flani zinapatikana wakat wa utafutaji.. Akil ina jengeka vizur sana hata unavyo pata pesa haiwez kukutawala..
 
Yaani ipo sana jamani badala ya kufaidi wote utasikia usinipangie chagua kuondoka au kuwa na mkemwenza, mpaka mtu kaongeza mwingine basi hapo uliepo hautoshi ndiyo maana yake, ila machozi ya huyo mvumilivu hayaendagi bure
Mwanamke mwaminifu, anayekushimu, kukusikiliza na anayekuvumilia hata ukiwa hauna shiling 50 mfukoni ni wa kumheshimu km mama mzazi. Maana huyu akiamua kukulaani laana zitakufikia bila tatizo na utachizika.
 
Yani mkuu hapo 1,2, 5 in Mr wangu kabisaa yeye huwa hakosi na hajui kuomba msamaha,,tena hyo kwani ina cost shngapi kuna Siku hadi nilimtandika Kofi kwa hasira nyoko zake
Hiyo ndiyo mali ya mtu. Mali yangu niombe msamaha ya nini?
 
Mmh! Hizo tabia zote ni za ex-girlfriend wangu ambaye nilikuwa namuhudumia kila kitu!!

NB:hizo ni tabia za baadhi ya wanawake hata akiwa chokoraa tu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mwanaume wa hivyo aondoke na pesa zake. Ukiwa ombaomba ndo utaweza kuishi nae maana huna jisji
 
Mwanamke mwaminifu, anayekushimu, kukusikiliza na anayekuvumilia hata ukiwa hauna shiling 50 mfukoni ni wa kumheshimu km mama mzazi. Maana huyu akiamua kukulaani laana zitakufikia bila tatizo na utachizika.
Unazani wanawazaga hilo? Wakipigwa huko ndipo akili huwarudia lakini anakuwa ameshachelewa
 
Yan yote uliyosema ni sahihi lakn kwa wale wanaume wenye vihela vya was wasi sio wale wenye mahela waliozoea hela toka wakiwa wadogo. mwanaume mwenye vihela vya wasiwasi ni shida tena umkute amesoma gumbaru English anaongea broken utaipenda.
 
Mwanaume wa hivyo aondoke na pesa zake. Ukiwa ombaomba ndo utaweza kuishi nae maana huna jisji
Kuna mama nilimsikia sitaki uchumi mkubwa katika familia yangu maana huyu me hunipa shida sana akiwa na pesa, kwahiyo tupate sehemu ya kulala nzuri, tule na tuvae vizuri basi kwanini pesa itese familia yangu!
 
Yani mkuu hapo 1,2, 5 in Mr wangu kabisaa yeye huwa hakosi na hajui kuomba msamaha,,tena hyo kwani ina cost shngapi kuna Siku hadi nilimtandika Kofi kwa hasira nyoko zake
Pole sana jamani
 
Kuna mama nilimsikia sitaki uchumi mkubwa katika familia yangu maana huyu me hunipa shida sana akiwa na pesa, kwahiyo tupate sehemu ya kulala nzuri, tule na tuvae vizuri basi kwanini pesa itese familia yangu!
Mi hata tuwe na pesa kama Dangote ukimisbehave nakuacha kweupee. Hayo sio mapenzi ni jehanam
 
Nawasalimu all MMU

Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela

1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.

2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.

3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.

4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.

5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.

6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.

7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.

8)----------
9)--------
10------

Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Ni wangapi wanaopata hizo za tatu mzuka?!!
 
Mi hata tuwe na pesa kama Dangote ukimisbehave nakuacha kweupee. Hayo sio mapenzi ni jehanam
Jehanam Jehanam kweli, unajiuliza kipindi hakuna uchumi kwanini usinge mtafuta huyo tuje tugange wote ukasubiri mpaka maisha yawe mazuri? Yaani ni upuuzi tu jamani
 
Jehanam Jehanam kweli, unajiuliza kipindi hakuna uchumi kwanini usinge mtafuta huyo tuje tugange wote ukasubiri mpaka maisha yawe mazuri? Yaani ni upuuzi tu jamani
Kwenye maisha yangu nilishasema niko tayari kutumikia mapenzi ila sio pesa. Kwanini kitu unachoweza kukitafuta kikuweke kifungoni.
 
Wanabadilisha na mwendo na wanaanza kuchagua baadhi ya vyakula,mavazi na hata sehemu ya kutembelea,vile vitu vilivyomsitiri wakati hana hela ataanza kuvionea kinyaa,utamsikia anasema "aah hiki ni cha kutupa hakina kazi"
 
Kuna vitu vyakuumiza katika maisha si pesa kwa ajili ya mapenzi no, bora nikalima shamba lakini niwe na amani na maisha yangu
 
Yan yote uliyosema ni sahihi lakn kwa wale wanaume wenye vihela vya was wasi sio wale wenye mahela waliozoea hela toka wakiwa wadogo. mwanaume mwenye vihela vya wasiwasi ni shida tena umkute amesoma gumbaru English anaongea broken utaipenda.
sijasoma coment yako, nimeishia kushangaa avatar

mchele mdogo nyama nyingi
 
Mi hata tuwe na pesa kama Dangote ukimisbehave nakuacha kweupee. Hayo sio mapenzi ni jehanam
Ndio maana alhaji dangote wa nigeria (sio diamond) pamoja na pesa kaachika mara mbili,,,and currently hana mke,, jiulize kwanini wanawake wa huko nigeria hawaolewi nae
 
Back
Top Bottom