Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Yap mamaa.najua umenipendea hela zangu.
Nisingekuwa na hela usingenipenda.
Kiukweli naringa siku hizi.
Maana hata wao waliniringia.tena Nina wanyanyasa kweli kweli.naweza nisimtafute siku nzima..najua atanitafuta tu.si ana shida.
Hatari sana aisee
 
Hao ni wa uswahilini, wakianzaga kupata pata vilaki mbili tatu inakuwa kero
 
Yap mamaa.najua umenipendea hela zangu.
Nisingekuwa na hela usingenipenda.
Kiukweli naringa siku hizi.
Maana hata wao waliniringia.tena Nina wanyanyasa kweli kweli.naweza nisimtafute siku nzima..najua atanitafuta tu.si ana shida.

Duh,,
 
Mtu kuwa na Pesa anahesabika akiwa na shs ngapi?

Ili wengine tujue tunapumulia mashine au tuna pesa, harafu tujitazame tabia
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
halafu wengi ni Hater's kwa wenzao wanao taka kuwakaribia kiuchumi au wana wazidi kidogo.
na hawawezi kuwasaidia walio chini yao wao kazi yao n wivu tu.
 
Sio kidogo

Doesnt work with me.
Perfomance yangu imeshuka (umri nao sio rafiki), Wifi yako akajaribu technic yako hiyo lakini sikushtuka wala kujisikia vibaya.

Mbaya zaidi nilienda kwa jirani kujipima kama kweli, ajabu ni kuwa yule dada wa jirani ndie alieondoka na ch*pi mkononi.

Nilichogundua nguvu kupungua inategemeana na unapolima ardhi ikoje pia.
 
Huyo hana adabu Na amekosa Utu.
Kuna dogo mmoja alimtakia mke wake, gari yangu ni ya thamani sana kwangu kuliko wewe.
Nilijisikia vibaya sana
Aisee huyo katengeneza bomu kwa mke wake muda utaongea.
 
Ni wepesi kusahau kama ulimvumilia wakati kapauka kama sharti baada kupata hela anaanza kudharu uliye mvumilia kipindi cha ukame
Kuna baadhi ya wanawake waliwavumilia wanaume wao kwa upendo na kuwaheshimu lkn wanaume wao hawakuwatendea haki (Hapa hata mm nalaumu)
Kuna baadhi waliowavumilia wanaume wao kwa kuwasingamana, kuwadharau na kejeli kiasi kwamba mpaka iliwasababishia wanaume kuwa na mawazo. Hapa mwanaume akipata utashangaa anaoa mke mwingine anahama kwako kbsa. Kuna wakati unamvumilia mwanamke jeuri, kiburi na msaliti kwasbb hauna pesa za kutosha kipindi hicho sasa ukipata. Hakuna kugeuka nyuma.
N.B
Kama mwanamke alikuvumilia kwa upendo wa dhati na uaminifu na siku ukipata fedha ukamuacha hautafika popote. Fedha zitaaisha bila ww kujua zimeenda wapi.
 
Doesnt work with me.
Perfomance yangu imeshuka (umri nao sio rafiki), Wifi yako akajaribu technic yako hiyo lakini sikushtuka wala kujisikia vibaya.

Mbaya zaidi nilienda kwa jirani kujipima kama kweli, ajabu ni kuwa yule dada wa jirani ndie alieondoka na ch*pi mkononi.

Nilichogundua nguvu kupungua inategemeana na unapolima ardhi ikoje pia.
Jidanganye baba huyo alokimbia na nguo labda ulimrukia ukamchubua halafu huwajui wanawake.
Kawaida mtu akienda kiwanja cha ugenini hujiandaa sana rudia kwa huyo mara mbili kama hujaonyesha utendaji mbovu kama kwa mkeo
 
Back
Top Bottom