Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Ndio maana wahenga waliliona mapema wanasema, "Pata pesa tukujue tabia yako, pata madaraka tuijue akili yako"
 
Hawa hawa kina Bill Gates, Zuckerberg, Slim, Warren, Abromovich, Bakhresa, Mo etc ndio wako hivyo kumbe?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
huyo ni mwanaume anayeweza kubadilisha mboga sio mwenye pesa..
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Doesnt work with me.
Perfomance yangu imeshuka (umri nao sio rafiki), Wifi yako akajaribu technic yako hiyo lakini sikushtuka wala kujisikia vibaya.

Mbaya zaidi nilienda kwa jirani kujipima kama kweli, ajabu ni kuwa yule dada wa jirani ndie alieondoka na ch*pi mkononi.

Nilichogundua nguvu kupungua inategemeana na unapolima ardhi ikoje pia.
Ni kweli mr. Kuna ardhi zingine hazikupi mzuka wa kulima kbsa. Ukipiga jembe la kwanza unahisi kuchoka lkn zingine wala huchoki
 
Umeamau kuja kunifungulia uzi kisa nimepiga pesa ya muhindi kwenye betting???My Me too kweli tutafika kwa mambo kama haya
 
Huyo hana adabu Na amekosa Utu.
Kuna dogo mmoja alimtakia mke wake, gari yangu ni ya thamani sana kwangu kuliko wewe.
Nilijisikia vibaya sana
J3 unahitajika kwa Makonda kupima DNA
 
Ni wepesi kusahau kama ulimvumilia wakati kapauka kama sharti baada kupata hela anaanza kudharu uliye mvumilia kipindi cha ukame
Hapa kweli nakubaliana nawe, ila rekebisha kidogo isomeke "wengi wao.....maana sio wote
 
unazungumzia wanaume wa mererani wale waliopata pesa kwa kubahatisha kwenye miamba afu kichwani hakuna shule ya kumanage hizo pesa,au unazungumzia wanaume waliopata pesa then kichwani wako smart?
 
Jidanganye baba huyo alokimbia na nguo labda ulimrukia ukamchubua halafu huwajui wanawake.
Kawaida mtu akienda kiwanja cha ugenini hujiandaa sana rudia kwa huyo mara mbili kama hujaonyesha utendaji mbovu kama kwa mkeo
Ndio goma langu kwa sasa.

Full foreplay
Low perfomance 30-45 minutes (baada ya goli la kwanza ambalo ofcourse ni chini ya dakika tatu)
High Perfomance ni 45 - 60 minutes.

Mechi huisha kwa 3 kwa 4 (Umenielewa wewe ni mtu mzima).

Wife nampa hela akakere viserengeti boy huko.

Hii kitu ni Two-Way traffic dada. 90% hawajaishiwa nguvu bali wameongezewa kero na msongo.

UKIKWI UPO, UNAUWA.
 
Ndio goma langu kwa sasa.

Full foreplay
Low perfomance 30-45 minutes (baada ya goli la kwanza ambalo ofcourse ni chini ya dakika tatu)
High Perfomance ni 45 - 60 minutes.

Mechi huisha kwa 3 kwa 4 (Umenielewa wewe ni mtu mzima).

Wife nampa hela akakere viserengeti boy huko.

Hii kitu ni Two-Way traffic dada. 90% hawajaishiwa nguvu bali wameongezewa kero na msongo.

UKIKWI UPO, UNAUWA.
Kukaa kwenye match mda mrefu haimaanishi we mjuzi yaweza kuwa unatwanga tu kama mahindi kwa lisaa
 
unazungumzia wanaume wa mererani wale waliopata pesa kwa kubahatisha kwenye miamba afu kichwani hakuna shule ya kumanage hizo pesa,au unazungumzia wanaume waliopata pesa then kichwani wako smart?
Nadhani anazungumzia wale waliojikwaa wakaangukia pochi la mzungu.

Wenye hela hawana hizi tabia, huishi na watu vizuri kwa upendo. Wanajua watu ndio mtaji na soko. Hii huanzia kwenye familia
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Huyo hana adabu na amekosa Utu.
Kuna dogo mmoja alimtakia mke wake, gari yangu ni ya thamani sana kwangu kuliko wewe. Nilijisikia vibaya sana
Dahhh... Manyanyaso haya ..... Very sad.
 
Acha ujingaa wewe utakuwa unaambatana na malimbukeni tu wanaume wa ukweli hatupo hivo.
nilie nae nimempenda tangu anasoma na hata saivi hajapata kazi ila nimeoza kwake wala si limbukeni. nimeeleza kutokana na wengi wao niliobahatika kuwaona maisha yao kwenye community.
 
Kukaa kwenye match mda mrefu haimaanishi we mjuzi yaweza kuwa unatwanga tu kama mahindi kwa lisaa
Ingekuwa ikogo vertical sawa.

Lakini hii kitu nimeenda na kobiro, kigave na ruler nikagundua iko kwa ndani. Bila utaalamu haumkuni mwenzio.

Na utatwangaje kwenye feni madam?

Anyways wewe baki na unavyoamini sababu mwisho wa siku hatupewi tuzo kama SINEMA ZETU
 
Yap mamaa..... najua umenipendea hela zangu. Nisingekuwa na hela usingenipenda.
Kiukweli naringa siku hizi. Maana hata wao waliniringia.....tena Nina wanyanyasa kweli kweli..... naweza nisimtafute siku nzima....najua atanitafuta tu.....si ana shida.
Kazi kweli kweli.....
 
Back
Top Bottom