Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Tabia za mwanaume akiwa na pesa

Ni wepesi kusahau kama ulimvumilia wakati kapauka kama sharti baada kupata hela anaanza kudharu uliye mvumilia kipindi cha ukame
Aseeeeee hapo unakuta umepoteza muda wako,ulikua unatongozwa na wenye uwezo kumzidi uliwakataa kisa yeye afu anapata pesa anakudharau
 
Ndio maana alhaji dangote wa nigeria (sio diamond) pamoja na pesa kaachika mara mbili,,,and currently hana mke,, jiulize kwanini wanawake wa huko nigeria hawaolewi nae
Heee hana mke mwanaume anadanga tu mmmm imbombo mkafu
 
Aseeeeee hapo unakuta umepoteza muda wako,ulikua unatongozwa na wenye uwezo kumzidi uliwakataa kisa yeye afu anapata pesa anakudharau
Ndiyo hapo na muda umeenda wale wote wana maisha yao, lakini Mungu hawezi kukuacha hivi hivi lazima amchape tu
 
Hiyo ya kumsahau allah iko pande zote. Tuongelee masikini wa mali na si yule masikini wa roho anayezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu. Ni masikini wachache sana watakwenda kumuomba allah huku hawajui wakirudi watakula nini. Muda wote ni kuhangaikia matumbo yao
 
Ulichoandika hapo ni Narcissistic Personality Disorder(NPD) kwa lugha nyepesi Ego.Na sijui kwanini watu wanapenda kuisingizia pesa sana kwa mambo yao binafsi.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mimi nikipata hela sitegemei kama zitani badilisha.
 
huyo anakuwa limbukeni wa maisha. Pesa sio kila kitu. UTu ndio kila kitu. Mbona watu wanapesa bado wanaheshimiana na wake zao?
 
Peugeot 504
30571405_1921232291229936_7643356381583507456_n.jpg

Very Sad Indeed. Haya yalikuwaga magari pendwa sana kwa wananchi wa Kaskazini..... Isije ikawa haya matusi yalitokea huko.....!!!!
 
Nawasalimu all MMU

Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela

1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.

2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.

3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.

4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.

5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.

6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.

7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.

8)----------
9)--------
10------

Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Hapa unawazungunzia wahaya?

Navyojua mwanaume anavyozid kupata pesa ndivyo anavyozidi kustarabika...
 
Mwanaume mwenye pesa wako soo humble , most romantic one na msikivu inabidi mdada awe matured vizur (kujielewa etc) ndo atampa kila kitu......
Mkuu bado hujakutana na wenye HELA hao unaowazunguzia ni wale waliobahatikia kuokota vijisent wanakuwaga tabu tupu katika jamiii ....
Kunywa peps kwa mangi nakuja kulipia
 
Nawasalimu all MMU

Leo naomba nidondoshe hii habari kidogo, wanawake pia mwakaribishwa kuongezea baadhi ya tabia za wanaume wachache wakiwaga na hela

1) Yeye sio mkosaji: Hapa nazungumzia kupatikana na hatia. Yaani kama kakukosea lazima atengeneze maelezo mengi mpaka akuset ujione wewe ndie uliyekosea kumbe ni yeye.

2) Hajui kuomba/kutamka SAMAHANI: Hapa hata kama kakukosea kamwe samahani hajaumbiwa kinywani mwake.

3) Hujikweza: Hapa utakuta kila mwenzie au jirani yake akifanya jambo zuri utasikia yeye anaona kama hamna kitu.

4) Ujuaji: Hapa atataka kuonesha umwamba wa kila kitu kwamba anakijua. Mfano unakuta ye ni daktari basi akifika kwa mjenzi atampelekesha kiudaktari na wakati professional ya udaktari haiingiliani na ujenzi.

5) Kiburi: Hapa huwa hasikilizi ushauri haambiwi haambiliki anaweza akanya mlangoni kwako ukimuuliza utasikia inagharimu kiasi gani kwani? Badala hata atoe excuse.

6) Sifa: Hapa akitoa hela ndani atatangaza ukoo mzima hadi wale marafiki wa utotoni wajue au akisikia michango utaona atatoa kiwango kikubwa tofauti nakilichopangwa ili aonekane zimo.

7) Wanamsahau Allah /Mungu: Hapa ibada kwao ni mwiko siku ya Ijumaa ni siku ya kununulia bia wanaita weekend mood. Wale wa Jumapili utasikia ndio nafua.

8)----------
9)--------
10------

Nawakaribisha mmalizie sifa za wanaume baadhi wakipata hela za ghafla..
Sema wenye pesa za muda usiseme wanaume "wenye pesa".
 
Hao ni wanaume wenye hela za msimu
 
Back
Top Bottom