mjombakaka
Member
- Apr 28, 2011
- 26
- 16
...sasa kuna baadhi ya hawa waendesha bodaboda unakuta anapaki mahala penye mkusanyiko..au karibu na nyumba ya watu huku sauti ya mchiriku,taarab,bolingo,mahubiri,n.k kaifungulia hadi mwishooo!!!!!!!halafu yeye hana hata habari anaona sawa tuuKuna wale wenye tabia ya kuweka music/radio loudspeaker alafu anaingia kwenye gari ama mkusanyiko wa watu, very comfortable, sielewi huwa wana maana gani, kujulisha watu kuwa wanamiliki simu zenye memory card/radio ama hawafahamu matumizi ya hearphones.:help::help::help::bored::bored::bored:
...sasa kuna baadhi ya hawa waendesha bodaboda unakuta anapaki mahala penye mkusanyiko..au karibu na nyumba ya watu huku sauti ya mchiriku,taarab,bolingo,mahubiri,n.k kaifungulia hadi mwishooo!!!!!!!halafu yeye hana hata habari anaona sawa tuu
Kujamba mbele ya watu je?
Uwiii nimesikiaje kinyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....KUKOHOA KOHOZI ZITO NA KULIVUTA KWA MADAHA HALAFU UNALITEMA CHINI PUUUU!!
(Tabia hii anayo Kongosho !!! LO !! (joke!!!))
hao watoto.wengine wakishachokonoa puani wanaweka mdomoni
KUKOHOA KOHOZI ZITO NA KULIVUTA KWA MADAHA HALAFU UNALITEMA CHINI PUUUU!!
(Tabia hii anayo Kongosho !!! LO !! (joke!!!))
KUKOHOA KOHOZI ZITO NA KULIVUTA KWA MADAHA HALAFU UNALITEMA CHINI PUUUU!!
(Tabia hii anayo Kongosho !!! LO !! (joke!!!))
Hizo pii yuu em bii yuu zitakuwa zinatoa unga unga...ukikinga unapata wa chapatiAu kuna ile tabia mtu anakuna pu.mbu zake alafu anatoa mkono uko chini kisha anaunusa...