mazojms
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,625
- 2,546
Hahaha! Watoto wanasumbua sana huwa najaribu kuwaignore siwaangalii usoni lakini wapi[emoji28][emoji28][emoji28] ndio kwanza wanaanza kunivuta masikio. Wakiambiwa "muache anko" wanaanza kulia[emoji23][emoji23]Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Watoto huwa wananidominate sana.