JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,200
Kukaa siti jirani na mvuta sigara
Huyo mtoto akikua atakuwa baharia, yaani anakulisha nawe kishingo upande unapokea, dah!Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Huyo mtoto akikua atakuwa baharia, yaani anakulisha nawe kishingo upande unapokea, dah!
Nina kinyaa ambacho sio cha hii dunia
Sikula chochote


Sasa huo mchanganyiko, imagine..lol! 😂😂Ila Huwa wana roho nzuri ya kugawa vitu vyao, Kuna mmoja alinikaribisha ndizi za kukaangwa na kuku af asubuhi tu, kila centre kubwa tukifika ananunua kitu cha kutafuna iwe mayai, matunda hadi mahindi.
Tulipofika kituo cha kupata lunch naye akashuka kula ubwabwa na kuku. Nilishangaa kimoyomoyo ila sikumind
Aise mkuu ebu tusafiri tu tukae wote. Twende ata KIgali umbali mrefu kidogo hutojutaBila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka


Mi nilikuwa na kinyaa utotoni, kinyaa kilifanya nisome PCM badala PCB licha ya kuwa nilikuwa nachechemea kwenye hisabati ikilinganiswa na Bios. Ila sasa kimepungua baada ya interaction na watu wenye makuzi tofauti tofauti.Nina kinyaa ambacho sio cha hii dunia
Sikula chochote
Kitakuwa kinyaa cha waturuki![]()
Mi nilikuwa na kinyaa utotoni, kinyaa kilifanya nisome PCM badala PCB licha ya kuwa nilikuwa nachechemea kwenye hisabati ikilinganiswa na Bios. Ila sasa kimepungua baada ya interaction na watu wenye makuzi tofauti tofauti.
Aise mkuu ebu tusafiri tu tukae wote. Twende ata KIgali umbali mrefu kidogo hutojuta![]()
Waturuki wako nje ya dunia?![]()


Vitu vinavyoondoa kinyaa ni safari za nchi za nje, kuuguza na uzazi. Kama ukiyapitia hayo yote na ukabaki na kinyaa basi hakiwezi kuisha.Nilikuwa nacho utotoni hadi sasa,sidhani kama kuna jambo linaweza kunibadili
Tupo wengi, ila me sahivi kinaenda kinapungua. Nilikuwa nina hali mbaya ambayo hata me nilikuwa sipendezwi nayo kwa baadhi ya situations...Nina kinyaa ambacho sio cha hii dunia
Sikula chochote
Vitu vinavyoondoa kinyaa ni safari za nchi za nje na uzazi. Kama ukiyapitia hayo yote na ukabaki na kinyaa basi hakiwezi kuisha.
Kula bata tu nakurud so mbayaHahahahh mkuu,Kigali kufanya nini?
Tupo wengi, ila me sahivi kinaenda kinapungua. Nilikuwa nina hali mbaya ambayo hata me nilikuwa sipendezwi nayo kwa baadhi ya situations...
Vinyaa vinyaa hivi visivyo na msingi kuna siku nilizingua kinyama mpaka nikaona naelekea kubaya.