Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,865
- 89,793
Kula bata tu nakurud so mbaya
Hahahah tutapanga siku twende
Kula bata tu nakurud so mbaya
Aiseer wamasai wanakeraVipi lakini ushapanda basi limejaa wamasai??? Utajutaa.
Let's meet at the top, cheers![]()
Unasafiri lini tenaBila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Unasafiri lini tena
AhaaaahaaaahaaaKuna Wale wanaotapika tapika hovyo
Kuna mdada Aliwahi nitapikia kwenye Paja kidgo tuu, Likawa linasema Sorry Sorry mdogo wangu huku ananifuta...Yani nilitamani nimpige kichwaa
Yakaisha tukaongea ongea likanipa Namba , Mpaka Leo nimemsave Vomit hahah
NB, Sijaomba mzigo![]()

Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka

Masela kuoga kwao ni shida.... Wana toa harufu ya hatari.....Hizo ni tabia za wasukuma na wamasai.
Nikajua hivi karibuni tusafiri woteSina uhakika,lakini sio hivi karibuni
December iyo apo sasaHahahah tutapanga siku twende
Udini huoHamna tabia inanikwaza na kuniudhi kama kuweka nyimbo za dini za kikristo full time,basi bora hata wangekuwa wanabalance na nyimbo za wenzetu waislam Hanna.
Yani watendaji wa maabasi hawana ubunifu kabisa.
Mimi nikiwa na safiri iwe ndege au basi lazima nilale sema huwa sikoromi na siegemei mtu nikifunga mkanda..
Siongei na mtu hadi nafika ..
Sema sipendi
1. Kukaa na mtu anakulakula.mavyakula
2. Kina mama wenye watoto wadogo
3. Wenye simu ya nokia unakuta anawasha radio au mziki wakati kwenye gari kuna mziki
4. Wapambe wa safari mara dereva ongeza mwendo etc
5.. waxhimba dawa maarufu... kila kituo anachimab dawa na mara nyingine anasimamisha basi achimbe dawa..
Niliwahi safiri kwenda tanga na simba mtoto ya jioni.. nilijuta![]()

snoring is inevitable 

Haswa seat za nyuma kule wasukuma, wagogo na wamasai na yale makoti mazito utafikiri walinzi wanawekwa kule, huwa hawalipii nauli kamili, baba mama watoto na shemeji yake na mke wa shemeji yake wanapachikwa kule.Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Mtu anapanga safari kabisa halafu hafanyi maandalizi ya vitu atatumia njiani.Nilishangaa sana jamaa aliponiomba ear phones asikilize muziki. Seriously unaomba earphones za mtu humjui hakujua. Niliona kama kanidharau, hivi unaanzaje kuomba earphones.
Nikajua hivi karibuni tusafiri wote
maisha hayapo sawa, mshukuru.mungu kwa kidogo alichokujalia, hata yeye angependa watoto wake wakae kila mtoto na siti yake lakini ameshindwa. msiwaseme vibayaBora wawili, niliwahi kukaa na mama ana watoto watatu imagine, halafu kakata siti moja tu!!!
Ilibidi tu nimuelewe tubanane hivyo hivyo na kupakata mmoja maana hakukua na namna.
Sent using Jamii Forums mobile app