Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Hahahahh najiona nikifanya kama ulivyofanya wewe
Kudeal na matapishi napo ni mtihani....imagine mie nilishatapika sehemu halafu nikawa nawaza nimwambie nani aje adeki

Kuwa na kinyaa ni tabu sana manake kuna mambo unatakiwa kusaidia lakini inashindikana kama hivyo kwa mdogo wako
Hata baadhi ya vyakula wenzako wananunua wanakula lakini wewe unashindwa kutokana na mazingira ulivyoyatafsiri

Hebu na mie nisubiri kama kitaisha baada ya kuwa na mtoto labda nikianza kufua fua itakuwa kama wewe
Haha noma sana...

Angalia ndugu/ rafiki aliyepata mtoto hivi karibuni ukachukue experience hata kwa weekend moja. Ukisubiri wako utachelewa kujua na kuzoea vingi
 
Hahahaha eti "indavyuuu".

Ila mimi hii tabia ya kuwekewa mifilamu mara manyimbo safarini inakera sana maana nyingi video hazina maadili kabisa na safarini mnakuwa watu mbalimbali inakuwa sio poa. Watu wawe wabunifu sio minyimbo ya kibongo maudhui za ngono tu mwanzo wa safari hadi mwisho.
Unashauru waweke picha gani hasa ??, nao wanasikia hapa huenda wakajirekebisha
 
Kuna rafik yangu alinihadithia kitu kilimuuma sana. Ofisini kwao kuna mfanya usafi,maofisini na chooni na mazingira yote.

Kuna siku, jamaa alimkuta chooni anafanya usafi, akamsalimia, yule mfanya usafi,hakujibu na hata hakumtazama. Yule rafiki, akaona dharau na kuweka kinyongo. Kuna siku mfanya usafi alimkuta rafiki ananunua na kula matunda muda wa lunch hapo nje. Akamuongelesha boss, naona unapata matunda, Jamaa alimjibu SHIT sana hadi sio poa. Lakin kesho yake, ktk mazungumzo na wafanyakaz wenzie,aliwahadithia jamaa yule mnasemag ana dharau alishoboka, nikampa makavu, mmoja wa wafanyakaz akasema, Bro yule hana dharau hasikiii vizuri. Yaan ukimuongelesha, hadi akuone midomo ndio atakuelewa, mchizi ilimuuma sana, ika bidi akaenda kumuomba msamaha.

Alichojibiw ndio kilimuuma zaidi, akasema Bro, sasa mm nitaweza kweli kumtangazia kila mtu madhaifu yangu,ofisi yote kubwa hivi. Anasema kuna muda najikuta hata nimesukumwa, kumbe mtu tu alisema OYAA NAOMBA KUPITA, AU SOGEA KIDOGO. nisipo sikia unakuta nimesukumw huko, ila mwisho wa siku naelewa huyu itakuwa kanisemesha sija msikia, so nimeipokea hali yangu boss,kuwa na amani.

Kukoroma, ishu ya viooo unakuta mwingine anashida za kifua, sauti mwingine ndo mshamba wa maisha hana mazoea na hivo so inabid aenjoy muacheni, au asikiii vizuri. Sasa anatafta Decoy ya kupata atakacho.

Tuvumiliane tu, kuna yasio vumilika, kama ulevi, uchafu, kubebeshw majukum yasiyokuhusu nk.
 
Namba 5 ongezea kujamba wakati Yuko usingizini.
Kula kula ndani ya Basi hasa kinamama wanene au wavaa mawigi ya mitumba
 
Umesahau wale wanaonunua mayai, wanayamenya alafu wanakula.

Ile shombo ya mayai ni noma sana.

Ikibidi, punguzeni tabia ya kula kula hovyo.
Afu wanaanza kujamba hovyo! Ushuzi wake una harufu mbaya sana, unaweza poteza fahamu ukikukuta huo mlipuko wake...
 
Niko kwenye bas apa naelekea Arusha yaani nalazimishwa kutazama video na kuwekewa nyimbo ilimradi tu Mara alikba Mara pichaa za kihindi ...ila mpk naoan redio yao imearibika
 
Hiyo namba 5 akiwa mdada mrembo haina shida tena nitamwambia alale kwenye mapaja yangu huku namchezea nywele zake ili alale vizuri mtoto wa watu jamani safari ni ndefu, alaa!
 
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja

Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake

Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake

Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee

Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Hahahahaha! Unalako jambo wewe, sio kwa hii request ulimalizia nayo kwenda kwa mkata ticket.
 
Kuna rafik yangu alinihadithia kitu kilimuuma sana. Ofisini kwao kuna mfanya usafi,maofisini na chooni na mazingira yote.

Kuna siku, jamaa alimkuta chooni anafanya usafi, akamsalimia, yule mfanya usafi,hakujibu na hata hakumtazama. Yule rafiki, akaona dharau na kuweka kinyongo. Kuna siku mfanya usafi alimkuta rafiki ananunua na kula matunda muda wa lunch hapo nje. Akamuongelesha boss, naona unapata matunda, Jamaa alimjibu SHIT sana hadi sio poa. Lakin kesho yake, ktk mazungumzo na wafanyakaz wenzie,aliwahadithia jamaa yule mnasemag ana dharau alishoboka, nikampa makavu, mmoja wa wafanyakaz akasema, Bro yule hana dharau hasikiii vizuri. Yaan ukimuongelesha, hadi akuone midomo ndio atakuelewa, mchizi ilimuuma sana, ika bidi akaenda kumuomba msamaha.

Alichojibiw ndio kilimuuma zaidi, akasema Bro, sasa mm nitaweza kweli kumtangazia kila mtu madhaifu yangu,ofisi yote kubwa hivi. Anasema kuna muda najikuta hata nimesukumwa, kumbe mtu tu alisema OYAA NAOMBA KUPITA, AU SOGEA KIDOGO. nisipo sikia unakuta nimesukumw huko, ila mwisho wa siku naelewa huyu itakuwa kanisemesha sija msikia, so nimeipokea hali yangu boss,kuwa na amani.

Kukoroma, ishu ya viooo unakuta mwingine anashida za kifua, sauti mwingine ndo mshamba wa maisha hana mazoea na hivo so inabid aenjoy muacheni, au asikiii vizuri. Sasa anatafta Decoy ya kupata atakacho.

Tuvumiliane tu, kuna yasio vumilika, kama ulevi, uchafu, kubebeshw majukum yasiyokuhusu nk.
Hii story yako inanikumbusha siku moja nyumban nilimkuta demu amekaa nje kibarazani, nikamsalimia Mara ya kwanza kimya, Mara ya pili akaitikia nikamuuliza unamsubiri nani kimyaa, nikaona huyu demu anadharau nikaamua nimuache nikafungua zangu mlango nikaingia ndani, sasa baadae jamaa alivyorudi ananiambia yule dada hasikii vizuri, Daah nilijisikia vibaya sana.
 
Watu wanakula hadi miwa too little
Nilikua natokea Mwanza, kufika Nzega likapanda sukuma moja bana, tulipo fika Puma Singida gari ikapata itilafu kidogo tukashuka basi yule msukuma akanunua muwa mkubwaa mrefu,
Basi lilipoanza tu kuondoka akaanza kuula
Aisee hebu just imagine mko siti moja halafu limua lirefu halafu akimenya maji maji ya muwa na viganda ganda vinakurukia
Halafu jamaa halina hata habari linaangalia video ya Mzee majuto basi linacheeeeeka huku lina kula muwa wake mara unigonge kifuani mara usoni
Ikabidi nivumilie hadi Dodoma wakashuka abiria nikahamia siti ya nyuma ili kumkwepa

Ile kipande kutoka Singida hadi Dodoma kilikua mateso kweli kwangu
 
Ila Huwa wana roho nzuri ya kugawa vitu vyao, Kuna mmoja alinikaribisha ndizi za kukaangwa na kuku af asubuhi tu, kila centre kubwa tukifika ananunua kitu cha kutafuna iwe mayai, matunda hadi mahindi.

Tulipofika kituo cha kupata lunch naye akashuka kula ubwabwa na kuku. Nilishangaa kimoyomoyo ila sikumind
Tahadhari kabla ya hatari. Epuka kula vyakula unavyopewa na abiria mwenzio usiyemfahamu. Kuna watu walilizwa kwa kuibiwa kila walichokuwa nacho mifukoni mwao kwa kula vyakula vilivyowekwa madawa ya kulevya.
 
Nilikua natokea Mwanza, kufika Nzega likapanda sukuma moja bana, tulipo fika Puma Singida gari ikapata itilafu kidogo tukashuka basi yule msukuma akanunua muwa mkubwaa mrefu,
Basi lilipoanza tu kuondoka akaanza kuula
Aisee hebu just imagine mko siti moja halafu limua lirefu halafu akimenya maji maji ya muwa na viganda ganda vinakurukia
Halafu jamaa halina hata habari linaangalia video ya Mzee majuto basi linacheeeeeka huku lina kula muwa wake mara unigonge kifuani mara usoni
Ikabidi nivumilie hadi Dodoma wakashuka abiria nikahamia siti ya nyuma ili kumkwepa

Ile kipande kutoka Singida hadi Dodoma kilikua mateso kweli kwangu
Hahhaaaah hatari sana.
 
Wasukuma bhana...
 
Back
Top Bottom