Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

(1) Unakuta mtu anaongea kwa simu kwa kupaza sauti hadi inakuwa kero kwa wengine. Sijui unataka uonekane mtu wa mipango au ndo vipi? Eti unajua kwenye ile indavyuu mimi pekee ndo nilifanya vizuri. mmxxsh hiyo intavyuu yako sisi inatuhusu nini...
Logic
 
Haswa seat za nyuma kule wasukuma, wagogo na wamasai na yale makoti mazito utafikiri walinzi wanawekwa kule, huwa hawalipii nauli kamili, baba mama watoto na shemeji yake na mke wa shemeji yake wanapachikwa kule...

Sijawahi kukaa seat ya nyuma kwenye safari ndefu wala kukata ticket siku ya safari

Seat yangu mara nyingi ni ile baada ya dereva dirishani
 
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja

Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake...
Acha roho mbaya mkuu !! Ww Ni wa kike pia ,!! Sometimes uchumi unabana ! Last week nilisafiri Mara moja kwenda mkoan nilikaa na mdada wa makamo ana katoto (babygirl) , nilimsaidia Sana kukabeba , alafu mama mtu alikuwa anajisikia ovyo Sana ! Uzuri Ni kwamba kale katoto kalinipenda so hakukuwa na shida !!! Though Ni usumbufu flani lakn , saidia tu
 
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja

Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake

Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake

Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee

Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Utakaa na mimi,,
 
Hujasoma nilichoandika ama Umesoma hujaelewa labda sababu ya usingizi....lala kidogo utasoma badae
 
Nimejikuta nacheka hiyo namba5 ina maana kuna wadau kwenye gari huwa wanakoroma kama nyau wa mwituni..hahahaaaa
 
Sijawahi kukaa seat ya nyuma kwenye safari ndefu wala kukata ticket siku ya safari

Seat yangu mara nyingi ni ile baada ya dereva dirishani
Mara nyingi seat za nyuma huwa hivyo mkuu.
 
Hahahaha eti "indavyuuu".

Ila mimi hii tabia ya kuwekewa mifilamu mara manyimbo safarini inakera sana maana nyingi video hazina maadili kabisa na safarini mnakuwa watu mbalimbali inakuwa sio poa. Watu wawe wabunifu sio minyimbo ya kibongo maudhui za ngono tu mwanzo wa safari hadi mwisho.
Miss you
 
Kuna Wale wanaotapika tapika hovyo

Kuna mdada Aliwahi nitapikia kwenye Paja kidgo tuu, Likawa linasema Sorry Sorry mdogo wangu huku ananifuta...Yani nilitamani nimpige kichwaa
Yakaisha tukaongea ongea likanipa Namba , Mpaka Leo nimemsave Vomit hahah

NB, Sijaomba mzigo
 
Hahahahh najiona nikifanya kama ulivyofanya wewe
Kudeal na matapishi napo ni mtihani....imagine mie nilishatapika sehemu halafu nikawa nawaza nimwambie nani aje adeki

Kuwa na kinyaa ni tabu sana manake kuna mambo unatakiwa kusaidia lakini inashindikana kama hivyo kwa mdogo wako
Hata baadhi ya vyakula wenzako wananunua wanakula lakini wewe unashindwa kutokana na mazingira ulivyoyatafsiri

Hebu na mie nisubiri kama kitaisha baada ya kuwa na mtoto labda nikianza kufua fua itakuwa kama wewe
Hujawahi lea Mtoto mdogo?
 
Hahahaha eti "indavyuuu".

Ila mimi hii tabia ya kuwekewa mifilamu mara manyimbo safarini inakera sana maana nyingi video hazina maadili kabisa na safarini mnakuwa watu mbalimbali inakuwa sio poa. Watu wawe wabunifu sio minyimbo ya kibongo maudhui za ngono tu mwanzo wa safari hadi mwisho.
Indavyuu > itakuwa mitu ya Iringa hii kitu.
 
Back
Top Bottom