Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Ha po TE="OKW BOBAN SUNZU, post: 36709524, member: 52569"]
tabia isiyokera ni ile unakaa na pisi kali inasinzia inaanza kukulalia
Hah hapo mwisho wa siku kuna kula tunda kimasihara

Let's meet at the top, cheers [/QUOTE]

Hii kweli haikeri, binafsi nikiwa sijui nakaa na nani safarini huwa napendelea awe mdada, nusu ya safari kimya baada ya salamu namsomea rada, nusu nyingne namchangamkia mpaka ananizoea.
 
Kuna Wale wanaotapika tapika hovyo

Kuna mdada Aliwahi nitapikia kwenye Paja kidgo tuu, Likawa linasema Sorry Sorry mdogo wangu huku ananifuta...Yani nilitamani nimpige kichwaa
Yakaisha tukaongea ongea likanipa Namba , Mpaka Leo nimemsave Vomit hahah

NB, Sijaomba mzigo
Aaah kaka mkubwa kama hujaomba mzigo hiyo namba ya nini...Nipe mimi au uifute
 
Kuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Acha wakuze uchumi wa nchi
 
Kuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.

Let's meet at the top, cheers 🍻
Dakika 45 baadaye, anatapika....wanakeraaa!

Everyday is Saturday............................😎
 
Tupo wengi, ila me sahivi kinaenda kinapungua. Nilikuwa nina hali mbaya ambayo hata me nilikuwa sipendezwi nayo kwa baadhi ya situations...

Vinyaa vinyaa hivi visivyo na msingi kuna siku nilizingua kinyama mpaka nikaona naelekea kubaya.
Sisi wapiga mchokocho, tunaruhusiwa kureply comment hii?
 
Namba 2 na 3, nimekutana nazo sana!
Unajiuliza kwann apande basi lenye ac!

Everyday is Saturday...........................😎
 
Kati ya namba 2,na 3,ulizoandika hapo huwa zinanikera Sana,maana Mara nyingi nikiwa nasafiri nakutanaga na kero hizo.
Pole sana kiongozi ila siyo mimi niliyeziandika
 
Mkuu panda pia Abood ya Mwanza Dar, utajutraa...
Aisee serikali ianzishe route, Mwanza Ifakara. Au Mwanza Kisaki!

Everyday is Saturday........................... 😎
naweza nikaanza kulia
 
Ila yana kera hayo mambo lakn niongee kwa upande mwingine. Si, kila umuonae kalelewa ktk mazingira na ustaarabu kama wako. Unaweza kuta kitendo unachokiona kero, ni madhaifu ya mwenzio, mwingine hawezi kuanza kumtangazia kila mtu.

Sasa kama ishu ya kukoroma, kuna mtu si kwamba anapenda na ame struggle sana na hali hiyo hadi kufikia hapo.

Wengi tunao waona kero, ni kutokana na kukosa hofu ya kuishi uhalisia wao, hataki kuishi kwa hofu au kumuogopa mwingine. Eti, naulizwa kitu niseme HAPANA, huku nafsi yangu ndani inasema NDIO. kuna kero za uchafu, kuto kujali wengine, ugomvi hizi ndio kero haswa. Lakin meng tunayo yaona kero si kero hasa bali kutokuwa na uvumilivu na haja za wenzetu tukitka yale tunayo yaona sawa basi yawe sawa kwa wote, na Hiii ndio kero namba moja.
 
Back
Top Bottom