Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,217
- 3,425
😂😂😂😂Hapana havijakamilika
Viungo vyangu vingine vya 'jinsia' ya kike unavyo wewe
😂😂😂😂Hapana havijakamilika
Viungo vyangu vingine vya 'jinsia' ya kike unavyo wewe
Kweli mkuu...Mimi binafsi yamrnikuta mwaka huu kwenye harakati ya vitambulisho vya mpiga kura...Kuna rafik yangu alinihadithia kitu kilimuuma sana. Ofisini kwao kuna mfanya usafi,maofisini na chooni na mazingira yote.
Kuna siku, jamaa alimkuta chooni anafanya usafi, akamsalimia, yule mfanya usafi,hakujibu na hata hakumtazama. Yule rafiki, akaona dharau na kuweka kinyongo. Kuna siku mfanya usafi alimkuta rafiki ananunua na kula matunda muda wa lunch hapo nje. Akamuongelesha boss, naona unapata matunda, Jamaa alimjibu SHIT sana hadi sio poa. Lakin kesho yake, ktk mazungumzo na wafanyakaz wenzie,aliwahadithia jamaa yule mnasemag ana dharau alishoboka, nikampa makavu, mmoja wa wafanyakaz akasema, Bro yule hana dharau hasikiii vizuri. Yaan ukimuongelesha, hadi akuone midomo ndio atakuelewa, mchizi ilimuuma sana, ika bidi akaenda kumuomba msamaha.
Alichojibiw ndio kilimuuma zaidi, akasema Bro, sasa mm nitaweza kweli kumtangazia kila mtu madhaifu yangu,ofisi yote kubwa hivi. Anasema kuna muda najikuta hata nimesukumwa, kumbe mtu tu alisema OYAA NAOMBA KUPITA, AU SOGEA KIDOGO. nisipo sikia unakuta nimesukumw huko, ila mwisho wa siku naelewa huyu itakuwa kanisemesha sija msikia, so nimeipokea hali yangu boss,kuwa na amani.
Kukoroma, ishu ya viooo unakuta mwingine anashida za kifua, sauti mwingine ndo mshamba wa maisha hana mazoea na hivo so inabid aenjoy muacheni, au asikiii vizuri. Sasa anatafta Decoy ya kupata atakacho.
Tuvumiliane tu, kuna yasio vumilika, kama ulevi, uchafu, kubebeshw majukum yasiyokuhusu nk.
Kweli mkuu...Mimi binafsi yamrnikuta mwaka huu kwenye harakati ya vitambulisho vya mpiga kura...
Tumeamka saa 11 alfajiri ikiwa ni deadline nimepanga foleni sana sasa ndo imekaribia kufika nipo mlangoni...ghafla jamaa mmoja mule ndani ( muhusika ) akatoka akarudi na mdada (Sista duu) flani hivi amemshika mkono...kelele zikaanza huko nyuma " hatukubali,hatukubali" watu wanawazuia jamaa alikua na nguvu akafanikiwa kupita ila yule Dada alikua anazuiwa na watu na Mimi kwa kua nilikua mlangoni nikazuia tu mlango asipite kwani tulihisi ni upendeleo(rushwa)...basi yule jamaa akaniambia " hebu muangalie huyu Dada" ile nainua macho daah! " Kipofu" niliachia mlangoni nikakaa pembeni faster...nikaanza kufeel guilty palepale.
Bahati nzuri sikutamka maneno yeyote mabaya kama walivyotamka watu wengi pale..sanasana wadada ambao walidiriki kumuita Dada yule mpaka kina la "Malaya" bila majibu yeyote kutoka kwa Dada yule.
Nilichojifunza Siku ile nitaishi nach o milele.
️ #Mshikaji kataja walevi ila akina sisi tunapiga kilaji ila tuko makini sana..... muhudumu mzigo umekata plz naomba one for this UZI plzzz......🤙🏾Binafsi hii inaniboa sana. Mtu asiepitwa na kituKuna wale matumbo mpakile, yakipita mahindi ya kuchoma twende, ya kuchemsha twende, mayai twende, sijui biscuit mpaka inakua kero though pesa ni zao.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Pamoja mkuu!Poleni sana wakuu, ila ni vema sana kuzishinda emotional zetu manake sometimes tunafikia maamuzi yasiyo sahihi na majuto hufuatia tena ukute ni kitu kitakachokuumiza zaidi na si kwa siku moja...... sambaza love️ #Mshikaji kataja walevi ila akina sisi tunapiga kilaji ila tuko makini sana..... muhudumu mzigo umekata plz naomba one for this UZI plzzz......🤙🏾
Kuna rafik yangu alinihadithia kitu kilimuuma sana. Ofisini kwao kuna mfanya usafi,maofisini na chooni na mazingira yote.
Kuna siku, jamaa alimkuta chooni anafanya usafi, akamsalimia, yule mfanya usafi,hakujibu na hata hakumtazama. Yule rafiki, akaona dharau na kuweka kinyongo. Kuna siku mfanya usafi alimkuta rafiki ananunua na kula matunda muda wa lunch hapo nje. Akamuongelesha boss, naona unapata matunda, Jamaa alimjibu SHIT sana hadi sio poa. Lakin kesho yake, ktk mazungumzo na wafanyakaz wenzie,aliwahadithia jamaa yule mnasemag ana dharau alishoboka, nikampa makavu, mmoja wa wafanyakaz akasema, Bro yule hana dharau hasikiii vizuri. Yaan ukimuongelesha, hadi akuone midomo ndio atakuelewa, mchizi ilimuuma sana, ika bidi akaenda kumuomba msamaha.
Alichojibiw ndio kilimuuma zaidi, akasema Bro, sasa mm nitaweza kweli kumtangazia kila mtu madhaifu yangu,ofisi yote kubwa hivi. Anasema kuna muda najikuta hata nimesukumwa, kumbe mtu tu alisema OYAA NAOMBA KUPITA, AU SOGEA KIDOGO. nisipo sikia unakuta nimesukumw huko, ila mwisho wa siku naelewa huyu itakuwa kanisemesha sija msikia, so nimeipokea hali yangu boss,kuwa na amani.
Kukoroma, ishu ya viooo unakuta mwingine anashida za kifua, sauti mwingine ndo mshamba wa maisha hana mazoea na hivo so inabid aenjoy muacheni, au asikiii vizuri. Sasa anatafta Decoy ya kupata atakacho.
Tuvumiliane tu, kuna yasio vumilika, kama ulevi, uchafu, kubebeshw majukum yasiyokuhusu nk.
Mwanamke kuwa na kinyaa ni kujisahau kumbuka tu unapokuwa kwenye Anga LA lokabi kuelekea mwezini mnakuwaga na kaharufu amazing Ila mnavumiliwa kinyaa kwa mwanamke nao ni Ushamba tu
Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app

Haya bas kunywa kijoti kwa mangi nakuja kulipa 

Kajojo niambie basi na mm jmn , ninye japo pulizina moja ya motonivimbe kidogo jf humu
![]()
Halafu we jamaa una makusudi....😂😂😂😂Kuna mdada tulipanda basi ubungo tulikuwa seat moja kuelekea Dodoma, kufika chalinze anaanza kunilalia ,nikamwacha kabisa anilalie huku nimemshika kiuno.
Tunakaribia Dodoma nikamwambia vipi kwanini tusichukue chumba upunzike kabisa kwa uchovu wa safari.
Huo mzigo niliufaidi kirahisi baada ya uchovu wa safariHalafu we jamaa una makusudi....
Haufai kuwa mtunzi wa hadithi
Yaani hapo ni kama vile unataka kupiga chafya halafu ghafla chafya inayeyuka unabaki umeachia mdomo wazi kuisikiliza kama itakuja

yaani ukampakata nani sasa ?Bora wawili, niliwahi kukaa na mama ana watoto watatu imagine, halafu kakata siti moja tu! Ilibidi tu nimuelewe tubanane hivyo hivyo na kupakata mmoja maana hakukua na namna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja
Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari, yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi, kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake
Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana, kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake
Sio kwa ubaya, lakini ni usumbufu... kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee
Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Binafsi hii inaniboa sana. Mtu asiepitwa na kitu
Haya bas kunywa kijoti kwa mangi nakuja kulipa
![]()

zangu nitaendelea nazo ngoja kwanza nikipige kijoti zawadi kwa mtoto Kajojo...Sema Kajojo....naaam 