Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

Tabia za kishamba za mabasi ya mikoani

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ comments za huu uzi daah!! Sawa nitajirekebisha
 
Oyaaa!!mzee baba sikila mtu kalipa nauli take?mbonaa unatufokea Kama tumepewa lift.....usinipangie hi ni public transport Kama vipi panda ndegee,afu eti wa mikoani kwani uko jijini kwenu hakunaa watu Kama hao Tena ndo vishoiaa balaa,wanataka kujifanya wajuajii kupita kila mtu
 
...tens mbaya zaidi we we upon kiti cha dirishani yeye yupo kiti cha Upande was ndani!...kila kituo anakutuma were ndio Uwe na Kazi ya kukutuma umnunulie hiki ama kile. Wanaudhi....

Haha mwisho wa siku wote mnaonekana ndio wale wale ๐Ÿ˜‚

Let's meet at the top, cheers ๐Ÿป
 
Oyaaa!!mzee baba sikila mtu kalipa nauli take?mbonaa unatufokea Kama tumepewa lift.....usinipangie hi ni public transport Kama vipi panda ndegee,afu eti wa mikoani kwani uko jijini kwenu hakunaa watu Kama hao Tena ndo vishoiaa balaa,wanataka kujifanya wajuajii kupita kila mtu
 
Sio tabia ya kishamba,ni tatizo lisilozuilika l.
Kuna Wale wanaotapika tapika hovyo

Kuna mdada Aliwahi nitapikia kwenye Paja kidgo tuu, Likawa linasema Sorry Sorry mdogo wangu huku ananifuta...Yani nilitamani nimpige kichwaa
Yakaisha tukaongea ongea likanipa Namba , Mpaka Leo nimemsave Vomit hahah

NB, Sijaomba mzigo
 
2016 nikiwa safarini kutoka kampala naelekea dar, kufika maeneo ya dodoma akapanda mama mmoja mtu mzima na akakaa siti ya pembeni yangu ... baada ya muda kidogo akaniomba tuchange siti akae dirishani nikambania, asee! yule mama alitema mate mazito na ule upepo wa nje mate yote yakanasa dirishani .... kusema ukweli pozi lote la kuangalia mandhali ya nchi lilikata na ata njaa yote iliyeyuka .....
 
Ruti za chato,bukoba,tabora nini kukuomba tiketi wanataka utaje majina yako tena kwa sauti ukiwapa tiketi waangaliewenyewe waandike wanakasirika eti si utaje tu. Mmoja keshaandika jina hujakaa vizuri anakuja mwingine kuangalia tiketi wanaboa sana
tabia iliyonikera hasa kwa mabasi ya kanda ya ziwa ni suala la kuombwaombwa tiket kila saa na kondakta wa basi
unakuta umeshaonesha mara ya kwanza uko zako umelala gafla mtu anakuamsha anaomba tena tiketi zaidi ya mara 3 WTF๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Bila kusahau wale kina mama wanaosafiri na watoto wawili huku wamekata seat moja

Nilishawahi kujikuta dada msaidizi wa mtoto mwanzo hadi mwisho wa safari,yaaani kale kadogo nimekashikilia mimi,kale kengine kadada mtu kameshikwa na mama yake

Mbaya zaidi kale katoto kalinipenda na kunizoea mapema sana,kila muda dada hivi dada vile mara kanilishe vitu kanavyopewa na mama yake

Sio kwa ubaya,lakini ni usumbufu...kama una watoto wadogo wawili jitahidi kuweka seat mbili aseee

Siku hizi namuagiza anayenikatia ticket ahakikishe nakaa na mkaka
Apia!

Hauna safari hivi karibuni?
 
Dar to mwanza, picha linaanza pale ubungo zinaingia familia tatu za ndugu zangu wasukuma (watu kama nane wakiwa na watoto wadogo).

Hawakukaa pamoja, wengine walikaa nyuma kabisa, wengine katikati. Kazi inaanza akina ngosha walipoamua kupiga story kwa lugha yao, yani jamaa yuko siti ya nyuma kabisa ila anapiga story na ngosha mwenzie aliekaa siti ya kati.

Balaa zaidi ni pale walipoanza kupasiana vikombe vya maji (walibeba maji ya kunywa kwenye ndoo ndogo ya lita kumi). Kikombe kinapasiwa toka nyuma kule mpaka kinamfikia mlengwa kule katikati.

Mara watoto wakaanza kuzurula ndani ya bus, toka nyuma kuja kati endivaisi vesa bila kusahau vilio vya hapa na pale. Kuna wakati nikahisi labda niko kwenye darasa la chekechea, kumbe niko kwenye bus asee!

Kusema kweli Mwanza nilifika, ila cha moto nilikiona.

Safari ya kurudi dar, najikuta nimekaa jirani na mbibi msumbufu. Anyway, hiyo ni story nyingine!
 
Nilishangaa sana jamaa aliponiomba ear phones asikilize muziki. Seriously unaomba earphones za mtu humjui hakujua. Niliona kama kanidharau, hivi unaanzaje kuomba earphones.
Ulimpa?
 
Dar to mwanza, picha linaanza pale ubungo zinaingia familia tatu za ndugu zangu wasukuma (watu kama nane wakiwa na watoto wadogo).

Hawakukaa pamoja, wengine walikaa nyuma kabisa, wengine katikati. Kazi inaanza akina ngosha walipoamua kupiga story kwa lugha yao, yani jamaa yuko siti ya nyuma kabisa ila anapiga story na ngosha mwenzie aliekaa siti ya kati.

Balaa zaidi ni pale walipoanza kupasiana vikombe vya maji (walibeba maji ya kunywa kwenye ndoo ndogo ya lita kumi). Kikombe kinapasiwa toka nyuma kule mpaka kinamfikia mlengwa kule katikati.

Mara watoto wakaanza kuzurula ndani ya bus, toka nyuma kuja kati endivaisi vesa bila kusahau vilio vya hapa na pale. Kuna wakati nikahisi labda niko kwenye darasa la chekechea, kumbe niko kwenye bus asee!

Kusema kweli Mwanza nilifika, ila cha moto nilikiona.

Safari ya kurudi dar, najikuta nimekaa jirani na mbibi msumbufu. Anyway, hiyo ni story nyingine!
nimecheka sana eti walipanda na ndoo ya maji ya kunywa wanapasiana kikombe Cha maji

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha eti "indavyuuu".

Ila mimi hii tabia ya kuwekewa mifilamu mara manyimbo safarini inakera sana maana nyingi video hazina maadili kabisa na safarini mnakuwa watu mbalimbali inakuwa sio poa. Watu wawe wabunifu sio minyimbo ya kibongo maudhui za ngono tu mwanzo wa safari hadi mwisho.
 
Back
Top Bottom