kwahyo huwa unaziangaliaga 🤣🤣🤣Dala dala za kwetu, kondakta kuvaa mlegezo halafu nguo zao za ndani chafu balaa, yaani kinyaa tupu.
🤣🤣🤣🤣Daladala za kwetu hazina mambo mengi, shida na makondakta wanagombania abiria ukikaa vibaya umechaniwa nguo na wallet hutaiona imepita wapi....
Kuna mdada walimvuta vuta siku moja mpaka skirt ikaachia aiseeee...anamaliza kupandisha skirt anagundua hana pochi tena...nilijisikia vibaya sana!
🤣🤣🤣Kuna mdada walimvuta vuta siku moja mpaka skirt ikaachia aiseeee...anamaliza kupandisha skirt anagundua hana pochi tena...nilijisikia vibaya sana!
Ndyo sasa si wanaonesha wenyewe.kwahyo huwa unaziangaliaga
Mkuu kila kazi inamapumzikoUsiombe uje dodoma saa nne wamelala wote njia nyeupe kuna wehu sasa saa mbili kamili wamelala wamekata root unaweza tembea kwa miguu wakati ni jiji.
🤣🤣🤣🤣Daladala za kivukoni posta, tegete-kivukoni, k.koo-kivukoni. Daladala zinanuka shombo la samaki, abiria wananuka shombo aisee
hawa Huwa wanatosheka 🤣🤣Mkuu kila kazi inamapumziko
this made ma nightnimecheka kingeseDaladala za huku kwetu zinajaa hadi Dereva anapakatwa
😅😅😅this made ma nightnimecheka kingese
khaaaaahDaladala za huku kwetu zinajaa hadi Dereva anapakatwa