Tabia za daladala za kwenu

cocastic

JF-Expert Member
Nov 30, 2019
13,397
2,000
Dala dala za kwetu, kondakta kuvaa mlegezo halafu nguo zao za ndani chafu balaa, yaani kinyaa tupu.
 

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
922
1,000
Daladala za kwetu hazina mambo mengi, shida na makondakta wanagombania abiria ukikaa vibaya umechaniwa nguo na wallet hutaiona imepita wapi....
 

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
894
1,000
Daladala za kivukoni posta, tegete-kivukoni, k.koo-kivukoni. Daladala zinanuka shombo la samaki, abiria wananuka shombo aisee
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom