Tabia za daladala za kwenu

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Kila mtu ana mtaa wake aliotoka, na tabia mbalimbali

leo tuongelee kuhusu hizi daladala zetu

wa UBER mtuache kwanza🤣

Sisi daladala za huku kwetu huwa zinajaa mpaka KONDA anapanda BODABODA

vipi daladala za huko kwenu?
 
Sisi daladala za huku makonda ni wachafu balaa, hasa ile hasabuhi una kuta ndiyo kaamka na mahangover ya vile vipombe vina itwa (diamond)

Basi ikifika time ya kuchukua nauli akikurabia hivi unaweza ukazimia kwahiyo harufu ya
Pombe+majasho.
 
na harufu ya mdomoo
 
Masaki-kakoo
Hizi daladala Kero kubwa ni kukaa kituoni zaidi ya 30mins,
Ukipanga safari yako,unaongeza dakika 30 au 40 za kupoteza vituoni.
 
Nilishawah tembelea mkoa wa tanga aisehh zile hiace za mjini zina mziki mkubwa kitu kinu kile mdundo wa kutosha na wanaweka sauti mpaka mwisho hii ni kero kwangu sana na kwangu ni kubwa sana
 
🤣🤣🤣🤣
 
Huku kwetu kuna haya mabasi ya bluu ambayo hayana kondakta na yanapita kwenye njia zake pekee,ukikaa kituoni kusubiri gari dk 45 ni jambo la kawaida.
 
Ndio yale mnayaita mwendo kasi sijui🤣🤣
 
H
Nilishawah tembelea mkoa wa tanga aisehh zile hiace za mjini zina mziki mkubwa kitu kinu kile mdundo wa kutosha na wanaweka sauti mpaka mwisho hii ni kero kwangu sana na kwangu ni kubwa sana
Halafu mziki wenyewe wanapiga taarabu tu.
 
Usiombe uje dodoma saa nne wamelala wote njia nyeupe kuna wehu sasa saa mbili kamili wamelala wamekata root unaweza tembea kwa miguu wakati ni jiji.
 
Makumbusho posta...
Full raha mwendo wa level seat toka enzi ya mkapa
 
Back
Top Bottom