Tabia za boss wangu zinanikera

Tabia za boss wangu zinanikera

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Salaaaam wanajukwaa hili,

Awali ya yote namshukuru Maulana kwa wingi wa Rehma zake kwetu, ndio maana tumekutana tena katika jukwaa hili

Back to topic, mie hapa ni Cashier by professional. Nina boss wangu ambaye nareport kwake. In short tuko wawili tu katika office yetu. Boss huyu kiukweli hajawahi kunitaka wala kunitamkia mambo ya mapenzi na hata kuonesha dalili ila amekuwa kero sana kwangu kwa tabia zake ambazo kwazo wengi wetu tunaziita (tabia za kike).

Boss huyu ana GUBU jamani sijapata kuona, nikifanya kosa badala ya kuniambia basi atanuna the whole day or 2-3 days. Naweza kumsalimia akanyamaza tu nikimuuliza kitu hanijibu ataitikia sawa na halifanyii kazi, nikichelewa kufanya kazi fulani anazira na kuifanya mwenyewe ilhali sometimes anakuwa amenipatia (kaji kumi) kazi nyingi.

Boss huyu hawezi kutofautisha ofisini na mtaai, kila kitu cha ofisi tukifanyacho anakiexpose kwa watu. Leo nikichelewa kazini watu watajua, nikienda lunch nikachelewa kurudi watu watajua, kila ninachofanya hasa kibaya nitakikuta mtaani. Hawezi kuniita akanisahihisha bali anayapeleka mtaani na hao hao watu wanarudi kuniambia kuwa boss wako anasema hivi na vile.

Boss huyu anaamini sana maneno ya kuambiwa, akishayapeleka hayo mtaani naye ataambiwa ya kwangu ya uongo kisha anakuja anabwata kweli.

Yote tisa, kumi ni kuwa kila kinachofanyika ofisini atamwambia mwanamke wake. Nikikosea hesabu mwanamke wake atajua, nikikosea spelling mwanamke wake ataambiwa, nasema hivi kwa sababu mara kibao tu huwa anaongea na mwanamke wake kwa loud speaker akidhani nikiwa ofisini kwangu simsikii kumbe nasikia kila kitu. Huyu mwanamke akiambiwa wanaanza kucheka jambo ambalo linanikera sana.

Naomba ushauri wenu kwa yeyote ambaye ameshapitia situation kama hii huwa mnasolve vipi???
 
boss wa cashier ni...................?
 
Unaonaje nawe ukitafuta mwanaume wako uwe unaongea nae kwa loud speaker mambo yanayo muhusu bos wako?
 
Nipe kimo chake kwanza.
(najaribu kuconnect dots kutokana na post moja humu inayohusu kimo cha mtu inrelation to so called GUBU)
 
Get a life. Hicho ndo shida yako. Mnakaa kijiji kimoja? Inakuwaje habari za mtaani zinakufikia? Fanya kazi zako, jiongeze ufanisi na usihang na anaoongea nao. Wakianza kukuambia unayosema wakatishe, waambie staki majungu kama ana issue na mie aniambie. Wataacha kukuambia na watapoteza interest ya kukuongelea
 
Kila kazi ina changamoto zake na hiyo ni moja ya changamoto kwako hivyo yafaa uitatue kwa kwenda mamlaka za juu yake kulipatia ufumbuzi tatizo la Boss wako,ukiona inakuwia ngumu kwa kuhofia kupoteza kibarua chako basi vaa ujasiri kwa kumfuata na kumwambia kile ambacho anafanya hukipendi.
 
Nipe kimo chake kwanza.
(najaribu kuconnect dots kutokana na post moja humu inayohusu kimo cha mtu inrelation to so called GUBU)

Ni mrefu but nahisi akili zake fupi ndio zinazomuendesha

BADILI TABIA hebu nifafanulie nivunjeje ukimya?
 
Last edited by a moderator:
Get a life. Hicho ndo shida yako. Mnakaa kijiji kimoja? Inakuwaje habari za mtaani zinakufikia? Fanya kazi zako, jiongeze ufanisi na usihang na anaoongea nao. Wakianza kukuambia unayosema wakatishe, waambie staki majungu kama ana issue na mie aniambie. Wataacha kukuambia na watapoteza interest ya kukuongelea

Huku niliko ni mji mdogo kiasi kwamba umbea wote wa mji hutapakaa haraka sana. Akisema neno jioni asubuhi litanifikia.

Tuko ofisini wawili, nifanyacho mie anajua yeye na afanyacho yeye ninajua mie. Inakuwaje mfano nikosee hesabu aje mtu wa nje aniambie "Oyaa nasikia umepata shot leo kwenye hesabu zako kazini" nani atakuwa kamwambia isipokuwa boss?

Hata nisipowasikiliza watatuma hata sms, ina maana ujumbe utanifikia.
 
Kimo sidhani.kuna kabila flani midume ina haiba ya kike wana mambo ya kikike kike.mpe ukweli akiwa anaanza kunywea muwahi na denda la kufa mtu.Umuone reaction yake.
 
Basi ile sredi ya ufupi na gubu haina mashiko.

Inaelekea akili yake ina umri wa miaka 12 na umriwa mwili wake una miaka 40.

Cha kufanya... Jitahidi sana kutimiza majukumu yako kwa ufanisi wa hali ya juu.... Mpuuze kwa anayoyasema... maana ufanisi wako ndio utakuuza na kukutetea... onesha kumpenda (kama Kaka/Baba) utampa nafasi ya kujirudi... kwamba pamoja na ujinga wote naomfanyia hanichukuliii vibaya na bado ananiheshimu..... ukimchukulia vibaya unampa sababu ya kuendelea kufanya ujinga wake.

Epuka kumsema vibaya kwa hao wanaokuletea maneno yake... maana haohao ndio wanampelekea unachokisema... maana ili wakuchimbe mawazo yako lazima wampake matope kwako sana kukuonesha wako bega kwa bega nawe.. kumbe wakikupa mgongo Bosi ana taarifa zote.

Kama bado huna kitu cha kuendelea kujifunza hapo na unadhani unapoeza amani yako hapo..... TAFUTA kazi sehemu nyingine....
Ni mrefu but nahisi akili zake fupi ndio zinazomuendesha

BADILI TABIA hebu nifafanulie nivunjeje ukimya?
 
Fanya kazi zako kwa ufanisi usimpe mwanya wa kusema.

Kutokana na maandiko yako ni mapungufu yako ya kikazi ndio yanampa fursa ya kuongea. Hakikisha unafika kwa wakati kazini, huchelewi ukienda lunch, hukosei spelling. Huyo anataka uwe efficient, imagine kama unakosea-kosea spelling na wewe ni cashier, siku ukikosea digit si jela hiyo?

Boss hana tatizo, tatizo ni wewe. Hilo la kuongea na mwanamke wake ni message ya kukufahamisha kuwa keep your distance, usimkaribie mkaharibu kazi.

Zaidi ya hayo labda ulitamani akutongoze na ukafikiri hiyo ndio njia ya mkato?

Fanya kazi wacha umbea.
 
Kimo sidhani.kuna kabila flani midume ina haiba ya kike wana mambo ya kikike kike.mpe ukweli akiwa anaanza kunywea muwahi na denda la kufa mtu.Umuone reaction yake.

usije ukalitaja,.maake utajuta kuijua jf
 
Leo umeandika vema.
Fanya kazi zako kwa ufanisi usimpe mwanya wa kusema.

Kutokana na maandiko yako ni mapungufu yako ya kikazi ndio yanampa fursa ya kuongea. Hakikisha unafika kwa wakati kazini, huchelewi ukienda lunch, hukosei spelling. Huyo anataka. uwe efficient, imagine kama unakosea-kosea spelling na wewe ni cashier, siku ukikosea digit si jela hiyo?

Boss hana tatizo, tatizo ni wewe. Hilo la kuongea na mwanamke wake ni message ya kukufahamisha kuwa keep your distance, usimkaribie mkaharibu kazi.

Zaidi ya hayo labda ulitamani akutongoze na ukafikiri hiyo ndio njia ya mkato?

Fanya kazi wacha umbea.
 
Nipe kimo chake kwanza.
(najaribu kuconnect dots kutokana na post moja humu inayohusu kimo cha mtu inrelation to so called GUBU)

Hapa Tized umenigusa huenda kimo ni tatizo. Lakini pia mabosi wa namna hii utakuta uboss kaupata kwa kuhonga, au ndugu yake kamfanyia manouvre ili aweze kushika nafasi hiyo. Usikute hata vyeti vya kuforge au kama ni halali alivipata kwa kutoa kitu kidogo.
Yaani point ni kwamba maboss wa namna hii hawaqualify kwa posti walizo nazo huo ndio ukweli.Mtu anayequalify hawezi kuwa ovyo kiasi hicho. Ukikosea atakusahihisha hata ukipata shoti atakudaidia jinsi ya kurekebisha mhesabu sio kukutangaza mtaani na kwa mwanamke wake.
 
Last edited by a moderator:
Fuata ushauri wa FaizaFoxy hapo juu, utamnyima nafasi ya kukusema. Ila wanaume wengine wanatu-let down sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom