Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Nipo tu hapa nasoma comments za wana jfMzima Shem nambie

Nipo tu hapa nasoma comments za wana jfMzima Shem nambie

HahahahahahahaKhaaaaaaa Jolie Jolie njoo maaaa
Nasubiria uzi wako tuje kupiga porojoNipo tu hapa nasoma comments za wana jf![]()
hahaha yan leo najisikia kuanzisha kauzi ka vita ya tatu ya duniaNasubiria uzi wako tuje kupiga porojo
akijibu unitag mkuuMtoa mada Una saa sita?
Basically true mkuu,uzalishwe na MTU mwingine huko then unigande mm nikuoe,how comes!!.





Na wanaume sisi ndio tunachangia sana hilo tatizo kwa hiyo kama ingekuwa ni maoni yangu ningeshauri hata kwenye katiba mwanaume akizalisha mwanamke iwe kamuoa/hajamuoa iwe ni lazima kuhudumia mama na mtoto akikaidi jela miaka ya kutosha.Heshima iwapo.wakati mwingine tunahitaji sheria kali ili heshima iwapo.
Kwa nini iwendani ya ndoa tu chief? wakati uroda mlifaidi woteLabda Kama ikathibitika kuwa huyo mwanaume alimbaka huyo mwanamke!
Lakini Kama walikubaliana Kwa ridhaa ya pande mbili itakuwa si Sawa !
Mwanamke ndiye anaetakiwa kujijua na kuelewa mzunguuko wake ili ikibidi achukue tahadhari Kwa zile Siku za uzazi!
Ila Kama ni ndani ya ndoa hapo nitakubaliana na wewe!

Vipi kuhusu vijana wa kiume na mashugamami hiyo ni sawa sio?Inasemekana ma single mother Siku hizi wamepata Tumaini jipya kupitia Kwa upatikanaji wa Viben10 !
Sijui ni ishara ya kukata tamaa au ni maroho tu
Mwanaume umri wa mdogo wako au mwanao ukamfanye kuwa bwana/Mume jamani?!
Wengine wamepishana sana umri hadi inatia kichefu chefu!
Kwa nini iwendani ya ndoa tu chief? wakati uroda mlifaidi wote
Vipi kuhusu vijana wa kiume na mashugamami hiyo ni sawa sio?
Ni kweli lakin chief kama hujaplan kuwa na mtoto vaa mpira tu. Mim hadi leo nimewakwepa wengi waliokuwa wanataka kuniingiza matatizoniInasemekana wengine wanajiachia makusudi ili wakizaa wawafanye watoto kuwa kitega uchumi!
Yani usiombe kukutwa na bwana Pepsi wengine ni Pasua kichwa, anadai matunzo kuliko ya dau kubwa kuliko Mke halali Kama ungemuoa!
Anyway ndivyo maoni ya baadhi ya watu yalivyo !
Ni kweli lakin chief kama hujaplan kuwa na mtoto vaa mpira tu. Mim hadi leo nimewakwepa wengi waliokuwa wanataka kuniingiza matatizoni