Tabia za ajabu kwa wanaume

Tabia za ajabu kwa wanaume

Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira

Mungu awabariki.
Mhhhhhhh
 
Yani ikifaaaa hii simu ndo kwaheri tena na JF usawa huu WA magu nianze kutoa Laki 3 bora niongeze kabati La vyombo
Ahaaaaa jamani mamboa gani hiyo simu utapata nyingine, shemela hajauza dawa zake tukapata hela ya simu?
lakini si kunawateja wanaweza kukununulia simu nyingine ?
 
kwahiyo kama mama yako alikuwa single madha na wewe ndio uoe single madha,msitupangie maisha hapa tutaoa album madha
Sio kama tunawapangia msiwaseme vibaya nyie hao hao mnawamimba na kuwaacha nanai awaoe sasa
 
1.Mwanamke aliyezaa ameshakuwa na familia tayari,
2.Mwanamke akishazaa kuna vitu vitu vingi anapoteza kimwili,
3.Mwanamke akishazaa anapoteza ule ubichi kuanzia papuchi mpaka mtindi unashuka grade,
4.Mwanamke aliyezaa anaingia kwenye familia mpya huku akiwa na majukumu ya kimalezi katika familia aliyoianzisha na mwanamme mwingine while wewe unaingia ukiwa fresher' huku ni kutokujitendea haki,
5.Mwanamke aliyezaa ni sawa na kuchukua gari used na lililochakaa while kuna kuna gari mpya za aina hyo hyo in the same show room,
6.Uncle mwanamke hawezi kukupenda wewe kuzidi anavyompenda mwanae' hilo ulitambue iwe mtoto ni wako or syo wako.

7.Mwanamke aliyekamilika atapata shida sana pale anapomsikia au anapomuona mwanamume aliyemzalisha mkewe, iwe ni kwenye msg za simu ya mkewe or hata kulisikia jina lake, Bcz yule ataoneka ni superior zaid yako bcz he was the first in everything.
Hizo ni nadharia tulizojiwekea tu chief wala hazina mashiko sana kwa sasa.mimi hata sasa hivi nikipata mwanamke mwenye mtoto sioni shida nikiishi nae ili mradi tumekubaliana mambo ya msingi hayo mengine naona ni complication tu.Kwan hata huyo ambaye hajazaa na tayari katolewa bikra si ndo yale yale tu?
 
Afadhali wewe mwelewa si hao jamani
 
Kuna tabia za wanawake za kudharau wanaume na kupenda kubebwa bebwa kubembelezwa huku hawakojoi soda, tabia mbaya sana huku walishazalishwa mitoto na wapiga debe. Hamwezi kupata wanaume wa maana kwa maana dharau zimewajaa
 
sijawahi ona maziwa ya mwanamke yamelala, huwa naona matiti yamelala tu.
 
Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira

Mungu awabariki.
umetoa dukuduku kwa hisia zote pole japo ni sahihi kuwa yamelala
 
Na wengi wao wasemao hawataki single mother wenyewe tu wamelelewa na masingle mother vile vile
Kwani ukilelewa na baba mlevi na mume utamtaka mlevi? Kumbe vichwa navyo vina shida, siyo manyonyo tu 😀😀😀.
 
Hizo ni nadharia tulizojiwekea tu chief wala hazina mashiko sana kwa sasa.mimi hata sasa hivi nikipata mwanamke mwenye mtoto sioni shida nikiishi nae ili mradi tumekubaliana mambo ya msingi hayo mengine naona ni complication tu.Kwan hata huyo ambaye hajazaa na tayari katolewa bikra si ndo yale yale tu?
Kama ni nadharia nenda kaoe mwanamke niliyemzalisha kaka, Then uangalie nature ya mahusiano ambayo nitayajenga, unachosema ww ndio nadharia, ninachosema mm kinaonekana na kinaushahidi out there kwamba mwanamke aliyezalishwa hafai kuoa, Majuto ni mjukuu brother.
Its painful brother kuona wenzio tunatoka na wake pamoja na watoto zetu huku wewe unatoka na mkeo ukiwa na watoto wa kambo.
 
Kitu cha msingi chief ni kama wawili mnapokuwa mnakubaliana mambo ya msingi mengine ni ziada tu. Mbona mimi mzee wangu alimuoa mama akiwa na mtoto mmoja na sisi wengine wawili tukazaliwa tumeishi kwa amani na upendo na maisha bado yanaendelea?Vitu vingine tunajipa sisi complication bila sababu za msingi,kwani mtoto wa kambo sio mtu kwamba hastahili kufurahia kama binadamu wengine?Haya mambo mengine ya kusema sijui siwezi chief familia nyingi ukiangalia background yake unakuta chimbuko la vitu kama hivi lipo,sema naona kama uzungu usio na tija unatupumbaza akili.
 
Hao wengine ndio wale wanaojazana upumbavu kichwani mwao wakiamini kwamba wapo sahihi kumbe sio
When you miss some points of critical reasoning,isn't wonder that you might end up in displaying your previous hidden identity, who told you that insulting is a strong catalyst in defending & making clear a suggestive idea?.why can't you argue in a friendly manner with the proper use of intellect?.
 
Back
Top Bottom