Tabia za ajabu kwa wanaume

Tabia za ajabu kwa wanaume

Kama ndala? ndo mara ya kwanza kusikia. ila kama ivo wenzetu ULAYA wana wazifi wa stress bhn. tukiweza na sisi tumwambie mjomba ateue waziri wa kudhiti ndala na maringo kwa wahusika, MKUU HANA NOMA KWA HILO
 
Baeleze baeleze hao........jingine utasikia sioi single mother!nawakti dada zake nima single mother wenye watoto 3,4....Renyewe limelelewa na single mother......mtandaoni ndo linajitoa ......nawakat likio hako kasicha watatibuana nakuwa single dadi.Mama **yoooo!!.
Kulelewa na single mother haimaanishi kwamba ndo uoe single mother kila mtu ana vipaumbele vyake katika maisha
 
Nakupinga mkuu kwani mwanamke aliyezaa ukimuoa ana shida gani?
1.Mwanamke aliyezaa ameshakuwa na familia tayari,
2.Mwanamke akishazaa kuna vitu vitu vingi anapoteza kimwili,
3.Mwanamke akishazaa anapoteza ule ubichi kuanzia papuchi mpaka mtindi unashuka grade,
4.Mwanamke aliyezaa anaingia kwenye familia mpya huku akiwa na majukumu ya kimalezi katika familia aliyoianzisha na mwanamme mwingine while wewe unaingia ukiwa fresher' huku ni kutokujitendea haki,
5.Mwanamke aliyezaa ni sawa na kuchukua gari used na lililochakaa while kuna kuna gari mpya za aina hyo hyo in the same show room,
6.Uncle mwanamke hawezi kukupenda wewe kuzidi anavyompenda mwanae' hilo ulitambue iwe mtoto ni wako or syo wako.

7.Mwanamke aliyekamilika atapata shida sana pale anapomsikia au anapomuona mwanamume aliyemzalisha mkewe, iwe ni kwenye msg za simu ya mkewe or hata kulisikia jina lake, Bcz yule ataoneka ni superior zaid yako bcz he was the first in everything.
 
Na mwanaume mwenye mtoto inakaaje hapo!
Mimi syo mwanamke , soo i don know the perception of women kuhusu hilo, but naona wanawake wengi hawajali sana hilo. Mwaamke na mwanamme ni vitu viwili kabisa , they don need the same.
 
What makes a man are boyhood experiences and challenges,,,
Boys are still growing in terms of maturity and capability of decision making,these are the ones who does/write shit to women.After sometimes they become men and stop behaving silly and be matured.
 
Baeleze baeleze hao........jingine utasikia sioi single mother!nawakti dada zake nima single mother wenye watoto 3,4....Renyewe limelelewa na single mother......mtandaoni ndo linajitoa ......nawakat likio hako kasicha watatibuana nakuwa single dadi.Mama **yoooo!!.
Pole sana dada naon umeridhisha moyo tayar
 
Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira

Mungu awabariki.
Kwn nn uctoe mfn mwngne had uweke mama.
 
Back
Top Bottom