Tabia za ajabu kwa wanaume

Tabia za ajabu kwa wanaume

Kuna ndugu yangu mmoja mwanaume yeye alikuwa bingwa wa kuwapa mimba wanawake na kuwatelekeza mwaka 2015 kaoa. mpaka leo hata mtoto wa kusingiziwa hana.Hapo ndipo utakapojua "KARMA IS A BITCH" Unachokifanya kiwe kizuri au kibaya jua kwamba impact yake itakuja direct au indirect.Kwa hiyo kikubwa ni "KUHESHIMIANA na KUWA NA AKIBA YA MANENO" Ukishayatambua hayo hutopata shida,ila "UKIJICHETUA" jua "MUNGU"atakuchetusha zaidi.
 
A human being have created with a free will,he/she have to choose what suits his/her personal desires,you have to take note that,you might be stupid in accordance as you force people to live in your life frame,never be driven by whether by intuition or instinct rather than intellect,be smart enough lady never abrupt in arrogance once again as you have done,over!!.
Khaaaaaaa Jolie Jolie njoo maaaa
 
Kuna ndugu yangu mmoja mwanaume yeye alikuwa bingwa wa kuwapa mimba wanawake na kuwatelekeza mwaka 2015 kaoa. mpaka leo hata mtoto wa kusingiziwa hana.Hapo ndipo utakapojua "KARMA IS A BITCH" Unachokifanya kiwe kizuri au kibaya jua kwamba impact yake itakuja direct au indirect.Kwa hiyo kikubwa ni "KUHESHIMIANA na KUWA NA AKIBA YA MANENO" Ukishayatambua hayo hutopata shida,ila "UKIJICHETUA" jua "MUNGU"atakuchetusha zaidi.
Usiwe unamtumia Mungu kwenye mada ambazo ziko wazi kabisa,kama ni Mungu huyo mbona hata yeye anakataa kuoa baadhi ya wanawake wenye sifa kama hizo,(Leviticus 21:14),kingine kikubwa ni kila MTU athibitike katika anachokiamini kwa misingi ya KUHESHIMIANA IMANI,MITAZAMO NA ITIKADI za kila mtu,ikiwa wew unaona ni vyema OA wala huwezi kudharaurika na mimi nisieamin juu ya hilo nikubali pia nipo sahihi,WE HAVE TO EMANCIPATE OURSELVES FROM MENTALLY SLAVERY,NONE BUT OURSELVES CAN FREE OUR MINDS,LET EACH ONE OF US LIVE FREE,IN WHAT WE BELIEVE TO BE RIGHT BEFORE OUR SIGHTS,THERE'S NO NEED OF BEING ENGULFED WITH FURY IN WHAT I HAVE RECCOMMENDED!!.
 
Usiwe unamtumia Mungu kwenye mada ambazo ziko wazi kabisa,kama ni Mungu huyo mbona hata yeye anakataa kuoa baadhi ya wanawake wenye sifa kama hizo,(Leviticus 21:14),kingine kikubwa ni kila MTU athibitike katika anachokiamini kwa misingi ya KUHESHIMIANA IMANI,MITAZAMO NA ITIKADI za kila mtu,ikiwa wew unaona ni vyema OA wala huwezi kudharaurika na mimi nisieamin juu ya hilo nikubali pia nipo sahihi,WE HAVE TO EMANCIPATE OURSELVES FROM MENTALLY SLAVERY,NONE BUT OURSELVES CAN FREE OUR MINDS,LET EACH ONE OF US LIVE FREE,IN WHAT WE BELIEVE TO BE RIGHT BEFORE OUR SIGHTS,THERE'S NO NEED OF BEING ENGULFED WITH FURRY IN WHAT I HAVE RECCOMMENDED!!.
Kwa hiyo mwanamke mwenye mtoto kwa imani yako hata akiwa ameachana na mwanaume mlevi haruhusiwi kuolewa sio?
 
Kwa hiyo mwanamke mwenye mtoto kwa imani yako hata akiwa ameachana na mwanaume mlevi haruhusiwi kuolewa sio?
Mkuu ni wap ambapo tunashindwa kuelewana?mbona hayo yote sijasema?.Ninachosema ni hiki kuw nataifurahia ndoa nikiishi na mwanamke ambaye hajazaa/hajawahi kuolewa kabla,sijasema HAWATAKIWI KUOLEWA MKUU,WANATAKIWA COZ NI WANAWAKE KAMA WENGINE TU,NDOA NI MAAMUZI YA WATU WAWILI,MUOAJI NA MUOLEWAJI!!.
 
Ni kweli na kila mtu ana background yake.wapo walioachana na watu wao sababu ya malezi duni,ulevi uzinzi. Kwa hiyo kabla hujahukumu mtu kwanza jitafakari
 
Kuna ndugu yangu mmoja mwanaume yeye alikuwa bingwa wa kuwapa mimba wanawake na kuwatelekeza mwaka 2015 kaoa. mpaka leo hata mtoto wa kusingiziwa hana.Hapo ndipo utakapojua "KARMA IS A BITCH" Unachokifanya kiwe kizuri au kibaya jua kwamba impact yake itakuja direct au indirect.Kwa hiyo kikubwa ni "KUHESHIMIANA na KUWA NA AKIBA YA MANENO" Ukishayatambua hayo hutopata shida,ila "UKIJICHETUA" jua "MUNGU"atakuchetusha zaidi.
Ndiyo mwanzo wakuanza kuwasaka wale watoto aliowatelekeza huko kwa Makonda
 
Kwa hiyo mwanamke mwenye mtoto kwa imani yako hata akiwa ameachana na mwanaume mlevi haruhusiwi kuolewa sio?
Kuna wengine huongea ikiwa bado hata hajaoa, kitu anqchokuja kuoa mmmm mnashangaa na kujiuliza
 
Usemayo ni kweli!!..
Na wanaume sisi ndio tunachangia sana hilo tatizo kwa hiyo kama ingekuwa ni maoni yangu ningeshauri hata kwenye katiba mwanaume akizalisha mwanamke iwe kamuoa/hajamuoa iwe ni lazima kuhudumia mama na mtoto akikaidi jela miaka ya kutosha.Heshima iwapo.wakati mwingine tunahitaji sheria kali ili heshima iwapo.
 
Ni kweli na kila mtu ana background yake.wapo walioachana na watu wao sababu ya malezi duni,ulevi uzinzi. Kwa hiyo kabla hujahukumu mtu kwanza jitafakari
Unaweza kuta mke mzuri kwa kila kitu tabia safi, mme aliyempata ndiyo shida kwahiyo wanataka avumilie kisa kuitwa single mother, hapana hiyo jamani ke anaweza kuwa na mtoto na akawa mke bora kuliko hata huyo asiye hiyo ni tabia tu mtu alionayo
 
Kwani mama angu ndio anataka kuolewa tena?
 
Back
Top Bottom