Tabia za ajabu kwa wanaume

Tabia za ajabu kwa wanaume

When you miss some points of critical reasoning,isn't wonder that you might end up in displaying your previous hidden identity, who told you that insulting is a strong catalyst in defending & making clear a suggestive idea?.why can't you argue in a friendly manner with the proper use of intellect?.
Kingereza kingi hamna lolote.Wewe kama umeishiwa cha kuongea kausha sio kujifanya kuongelea wenzio.Usijipe sifa za Kimungu chief wewe ni binadamu tu wa kawaida
 
Nimekupa mfano wangu tena ulio hai umeshindwa kunichallenge unabaki kuhemkwa na hisia za ajabu ajabu. Mtoto wa kambo anastahili haki zote na kuishi kama binadamu wengine.Kwanza wote tukikaa barabarani kuna label maalum za kusema huyu ni wa kambo au huyu sie wa kambo?
 
Have you basically understood what i have written?.if not,it's better to stay aside and wait,than to publish your innermost comprehensive capabilities before the congregation,by the way it was just a kind of basic advice,it's your choice whether to take it or not,it's not a war,.
LET BROTHERHOOD LOVE LEADS!!.
 
Ahaaaaa jamani mamboa gani hiyo simu utapata nyingine, shemela hajauza dawa zake tukapata hela ya simu?
lakini si kunawateja wanaweza kukununulia simu nyingine ?
Shemeji yako nasubiria akienda Marekani aniletee simu na kispasho
 
Nimekupa mfano wangu tena ulio hai umeshindwa kunichallenge unabaki kuhemkwa na hisia za ajabu ajabu. Mtoto wa kambo anastahili haki zote na kuishi kama binadamu wengine.Kwanza wote tukikaa barabarani kuna label maalum za kusema huyu ni wa kambo au huyu sie wa kambo?
I Haven't quoted you in what you have explained here,if that is the case it's well known to the majority that,human beings are created equally since immemorial,my intention was,
WHY CAN'T YOU ARGUE FRIENDLY WITHOUT "INSULTING" OTHERS WHO DIFFER FROM YOUR PERSPECTIVES?.
 
Have you basically understood what i have written?.if not,it's better to stay aside and wait,than to publish your innermost comprehensive capabilities before the congregation,by the way it was just a kind of basic advice,it's your choice whether to take it or not,it's not a war,.
LET BROTHERHOOD LOVE LEADS!!.
Huna cha kunishauri chief.Kawashauri wadogo zako.
 
Na wanaume sisi ndio tunachangia sana hilo tatizo kwa hiyo kama ingekuwa ni maoni yangu ningeshauri hata kwenye katiba mwanaume akizalisha mwanamke iwe kamuoa/hajamuoa iwe ni lazima kuhudumia mama na mtoto akikaidi jela miaka ya kutosha.Heshima iwapo.wakati mwingine tunahitaji sheria kali ili heshima iwapo.
Ili mfanye madudu yenu sababu sheria itawalinda akuna kitu kama hicho pambaneni na hali zeni
 
Mnabahati nyie mlioko dar makonda kawahurumia anawasaidia kuwabana wabwana walio watoanbikira na kuwazalisha
 
Back
Top Bottom