Tabia za ajabu kwa wanaume

Tabia za ajabu kwa wanaume

Jamani kuna baadhi ya wanaume wanakera sana naomba kabla ya kuumaliza siku ya leo naomba nitoe la moyoni,, utakuta mwanaume anaandika threads,sms au post za hivi ''unakataa kuolewa wakati ziwa limelala km ndala au anaandika umezalishwa mitoto mitatu alafu bado una ringa,,, hivi wewe mwanaume unae andika hivi una mama?? na km unae ulinyonya?? na km ulinyonya maziwa wa mama ako yakoje?? naomba kukuambia ukweli tu km wewe ni mwanaume mwenye tabia hii basi jua wewe ni taahira

Mungu awabariki.
pole naona amekugusa. tatizo mlizalishwa mlipenda dyudyu mapema kabla hajaolewa, vumilieni na matusi ndio mshahara wake.
 
Elimu ni kitu muhimu sana umkomboa kifikra binadamu, sidhani kama mtu alie-elimika anaweza kuandika hicho mleta thread ulichokisema.
 
Mwanaume kuoa single mother ni kujishushia hadhi, Mwanaume kuoa mwanamke ambaye amezalishwa ni kujishushia hadhi. Its the same principles.
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke ambaye amekwishazalishwa,
Basically true mkuu,uzalishwe na MTU mwingine huko then unigande mm nikuoe,how comes!!.
 
Matahira tu
A human being have created with a free will,he/she have to choose what suits his/her personal desires,you have to take note that,you might be stupid in accordance as you force people to live in your life frame,never be driven by whether by intuition or instinct rather than intellect,be smart enough lady never abrupt in arrogance once again as you have done,over!!.
 
Mwanaume kuoa single mother ni kujishushia hadhi, Mwanaume kuoa mwanamke ambaye amezalishwa ni kujishushia hadhi. Its the same principles.
Mwanaume aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke ambaye amekwishazalishwa,
Na mwanaume mwenye mtoto inakaaje hapo!
 
Basically true mkuu,uzalishwe na MTU mwingine huko then unigande mm nikuoe,how comes!!.
Binafsi sioni sababu ya mwanamke aliyezaa kutoolewa,mbona masingle father wapo wakikutana na wanawake ambao hawajazaa wanakubali kuishi na watoto wao? au ndio kujitoa akili? Kwani mwanamke aliyezaa ana MAPEMBE? Kumbe ndio maana wengine tunaishia kutokuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha sababu ya maneno yetu ya kipuuzi.TUBADILIKE.
 
Mbona wengi wenu wazazi wenu walikuwa masikini lakini hamtaki kuolewa na masikini wenzenu?!!
Kuolewa na masikini kivipi sasa anaweza kuwa mtu anamihela lakini kichwani hamna kitu wanini sasa si akae na hela zake tu
 
Binafsi sioni sababu ya mwanamke aliyezaa kutoolewa,mbona masingle father wapo wakikutana na wanawake ambao hawajazaa wanakubali kuishi na watoto wao? au ndio kujitoa akili? Kwani mwanamke aliyezaa ana MAPEMBE? Kumbe ndio maana wengine tunaishia kutokuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha sababu ya maneno yetu ya kipuuzi.TUBADILIKE.
Have you read between lines what I have written?.sijasema WASIOLEWE wala WATUKANWE,ninachosema ni hiki,kumezuka tabia ya "kulazimisha" na "kukebehi" mawazo ya watu wanaona SI SAW KUMUOA SINGLE MOTHER, Mimi pia nikiwa miongoni mwao,solution ni hii,YOU HAVE TO SEE A COIN FROM YOUR OWN STANDING ANGLE,DO NOT BE OVERWHELMED BY DESPAIR WHEN YOU FIND SOMEBODY IS NOT SAILING IN THE SAME BOAT WITH YOU.
 
tena siku ukimjua huyo mwanaume anayeandika hizo thread waweza kimbia amekaukiana kiuno 10mweus Kama tako la Demiss
tako jeusi kama chungu cha masizi ☻☻☻☻☻
 
Binafsi sioni sababu ya mwanamke aliyezaa kutoolewa,mbona masingle father wapo wakikutana na wanawake ambao hawajazaa wanakubali kuishi na watoto wao? au ndio kujitoa akili? Kwani mwanamke aliyezaa ana MAPEMBE? Kumbe ndio maana wengine tunaishia kutokuwa na uwezo wa kuzaa/kuzalisha sababu ya maneno yetu ya kipuuzi.TUBADILIKE.
Halafu utakuta huyo anayekataa huko kazalisha binti wawatu na kagoma kumuoa maajabu haya
 
Pambana na aliekufanya uwe single mother bila hivyo umpate ambae nae anajua kudeal na kitu ndala bila hivo kumpa papuchi mtu ambae hana mtoto wataendelea kusafisha rungu na kutembea
Kusafisha rungu na kutembea
Noma sana
 
Back
Top Bottom