Tabia ya kutematema mate barabarani huniudhi sana

Tabia ya kutematema mate barabarani huniudhi sana

Arusha ni mabingwa kwa hili.na kupuliziana mimoshi ya sigara pia
 
Nadhani duniani waarabu wanaongoza kwa kutema mate ovyo barabarani jamani.

Wewe kumbe hujui. Wachina ndiyo vinara wa kutema mate. Wanatema popote hata ndani ya gari au ktk vioo vya magari.
 
Ni kweli kuna mijitu mingine sijui ustaharabu uko mfukoni sokoni utalikuta linapenga mikamasi huku linakwenda!
 
Kweli unayoyasema na kuna wengine wewe chunguza hata hapo ofisini kwako watakuwa wanatema tema kiholela bila wewe kuona au kujua kinachoendelea
 
Utachukia bure labda mtu ana mimba au anaumw malaria huwezi jua
 
Suna hiyo jamani msikasirike wengine wakitema ofisi zinafurika bila hivyo watoto awaendi chooni
 
aisee kama ndo hivyo basi usiombe jitu kama hilo likae siti ya mbele then we nyuma afu liteme mate bahat mbaya yakupate usoni si utajichubua sura nzima

dawa yake mtandike kibao
 
tema mdomoni mwako!
itakuwa ngumu.kikubwa unatakiwa ujue hii ni nchi ya amani kbsa.Na kila raia ana Uhuru wa kuishi atakavyo kikubwa sheria ya nchi isivunjwe.khs mate tutatema mpk watu wachanganyikiwe.kikubwa ni kutema kwa pozi ucje mtemea mwenzio
 
niliwahi kusafiri na bibi mmoja toka dom mpaka dar.
Safar nzima alikuwa anatema mate na makohozi kwenye mfuko wa plastik, ilikuwa inanitia kinyaa sana nilitamani dar tufike mapema
 
Back
Top Bottom