Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Kwanini mnatematema mate hovyo? Au mnafikiri ni ustaarabu au ni sifa kuonekana mnakinyaa? Mnafikiri sisi hiyo harufu hatujaisikia?. au mmekuwa nyoka!?. umeka ndani au ofisini hata masaa nane ukitoka tu unaanza kurusharusha mate na muda mwingine kunakuw hakuna hata chakunuka, hata kama kipo ukitema mate ndiyo kitaacha? mnasambazia wengine magonjwa bana.
Nchi za wenzetu kama US ni makosa kutema mate barabarani toka TB igundulike. Hivyo hakuna sababu za kiafya za kukufanya utemeteme mate bali zipo za kukufanya usiteme. Wenye tabia hiyo muache mara moja na ukiona mtu anafanya hivyo mdharau.